Kumiliki gari kuliwezaje kukupa michongo na kukutoa kimaisha?

Kumiliki gari kuliwezaje kukupa michongo na kukutoa kimaisha?

Hapana Hapa umetoa majibu mawili kwa swali moja. Yaonekana hujui unachokiuliza.

Anyway Ili twende sawa naomba unipe tofauti Kati ya Gari na chombo Cha usafiri.
Gari = Aston Martin,
Chombo cha usafiri = Paso
 
Tena kwa kujiamini siweweseki na wanaume wenye wadhifa kabisa kabisa pamoja na kwamba natokea familia maskini
Utakua ni binti mmoja hivi unaejiheshimu sana ndiyo vizuri au sio..

Ni kujitambua tu, mtu unaejitambua hawezi vutika na magari, na uzuri wa mtu na vingine ili kuanzisha mahusiano swala la mahusiano /ndoa /uchumba linahitaji mtu na tabia zake, awe na hofu na Mungu kama mali mtazitafuta mkiwa pamoja,

Kwa kifupi ukiwa mtu wakudanganyika na magari siku ya mwisho anaekuoa sio gari ni mtu na tabia zake...
 
Ujumbe maridhawa,
 
nani akupe sahivi dili la million 10 kwasababu una gari nae huyo atakua ana ushamba, watu wanaazima magari unawezaje kuchukulia gari kama kigezo cha kumpa mtu deal la pesa

Unadhani ukiwa unatembea kwa miguu na una gari hlf mtu akawaambia kuna mizigo inabidi utoke sehemu flani ufike sehemu flani,Tafuta mtu mwenye 10million aongezee tuufikishe tupige hela...

Kama wewe una marafiki wawili mmoja ana gari na mwingine hana .Kwa akili ya haraka haraka utaenda kwa rafiki yako mwenye gari ukiamini km ana milliki gari ya million 8 anaweza kuwa na ramani ya kupata hata million 10.

Point ni vile ambavyo jamii inakuchukulia hili ni muhimu ulijue...

Gari inakufanya uonekane una pesa nyingi ambazo pengine huna na hilo linawavutia watu kutaka kushirikiana na wewe kwenye masuala ya pesa na biashara
 
Habari wakuu,

Nataka mitazamo yenu wenye experience na mambo ya gari. Hivi uliwezaje kupata mchongo na kutoka kimaisha kabisa, either kupitia gari mtu kukusaidia au gari lenyewe kukusaidia, nasubiri experience zenu wakuu mfunguke.
Ukiitiwa dili usiende na boda boda au na daladala...sehemu kubwa ya michongo status yako inapanda kutokana na mwonekano gari ikiwa sehemu yake
Lakini vilevile sehemu ambayo ungekodi tax kwa 30k ukiweka mafuta yako ya 15 unaenda na kurudi na kufanya shughuli zako kwa amani
Zaidi unaweza kulitumia kama sehemu ya kipato kwa kulikodisha kwenye shughuli mbalimbali.,..epuka kumpa dereva afanye day worker itachoshwa na malipo yake hayatalingana na uharibifu wa gari
 
Jinsi wanawake wanavyowewwseka na wenye magari😂😂😂dah aisee ulimbukeni mbaya sana, utasikia anatamba sasa nimepata bwana ana gari🤔🤔, ndo maana wenye nayo nao kwa ulimbukeni huyatumia Kama chambo kwa wanawake wa akili Kama zao,
Hakuna mtu anaependa umasikini
 
Hakuna mtu anaependa umasikini
Ni kweli hata mie siupendi umaskini, ila kwa kupapatikia wenye magari wakakugonga wakasepa haiondoi umaskini zaidi inaongeza msongo wa mawazo, kudhalilishwa na kupoteza utu wako tu
 
Ni kweli hata mie siupendi umaskini, ila kwa kupapatikia wenye magari wakakugonga wakasepa haiondoi umaskini zaidi inaongeza msongo wa mawazo, kudhalilishwa na kupoteza utu wako tu
Nilikuuliza siku moja hiyo miguu ya kwako?
Hujajibu
 
Jinsi wanawake wanavyowewwseka na wenye magari😂😂😂dah aisee ulimbukeni mbaya sana, utasikia anatamba sasa nimepata bwana ana gari🤔🤔, ndo maana wenye nayo nao kwa ulimbukeni huyatumia Kama chambo kwa wanawake wa akili Kama zao,
Noelia
Mi nawe yetu daladala na twashibana
 
Nilienda ku-bargain deal na gari ya kuazima, mambo ya bei yalikuwa mepesi sana. Dau lilitoka zuri kweli.

Kujibu swali lako; Gari (ya kuazima) ilipandisha bei ya huduma nazotoa mpaka leo bei imekuwa nzuri (japo gari sina)
 
Back
Top Bottom