Kumiliki gari kuliwezaje kukupa michongo na kukutoa kimaisha?

Jinsi wanawake wanavyowewwseka na wenye magari😂😂😂dah aisee ulimbukeni mbaya sana, utasikia anatamba sasa nimepata bwana ana gari🤔🤔, ndo maana wenye nayo nao kwa ulimbukeni huyatumia Kama chambo kwa wanawake wa akili Kama zao,
 
Kutoka kimaisha maana yake ni kutoka kwenye hali mbaya kimaisha na kwenda au kuelekea kwenye hali ya unafuu kimaisha......unafuu wa kimaisha ni kuwa na uhakika wa kupata mahitaji yako ya kimsingi kupitia shughuli unayoifanga au vitega uchumi vyako......
This is is so relative and vague that it is meaningless.
 
Gari kama chombo cha usafiri
Hapana Hapa umetoa majibu mawili kwa swali moja. Yaonekana hujui unachokiuliza.

Anyway Ili twende sawa naomba unipe tofauti Kati ya Gari na chombo Cha usafiri.
 
Kwahiyo faida ya Gari ni kupata mwanamke tu??
 
Kumbe gari hua zina kazi nyingine zaidi ya kukutoa point A kwenda point B ?
 
Gari inakupa status ambayo mtu asiyekuwa nayo hapati...

Ukiwa na gari mtu akikuitia mchongo basi anakuitia mchongo wa hela ndefu kuanzia million 10 huko....

Anaamini hiyo pesa utakuwa nayo na deal la pesa hizo ndo size yako....

Sasa kwenye kukupa hizo deals ndo unaweza kupata moja ambalo ni bora zaidi.

Pili,Unanunua vitu vya gharama kwa bei ndogo.Wana wanakuja wanajua kwa flani naweza kupata pesa ya fasta.
Mfano mashamba yote niliyonunua mengi nilifuata tunashida ya million,tuna kesi mahakamani basi unanunua shamba zuri kweli kweli eka 2 kwa Million kisa tu wanashida na wana amini wewe ndo una hela ya fasta.Unaweza kuwa huna pale ila kama fursa ni nzuri sana basi ni rahisi kukopa.
 
Habari wakuu,

Nataka mitazamo yenu wenye experience na mambo ya gari. Hivi uliwezaje kupata mchongo na kutoka kimaisha kabisa, either kupitia gari mtu kukusaidia au gari lenyewe kukusaidia, nasubiri experience zenu wakuu mfunguke.
Mimi ninachojua gari ni mke wa pili
 
Jinsi wanawake wanavyowewwseka na wenye magari😂😂😂dah aisee ulimbukeni mbaya sana, utasikia anatamba sasa nimepata bwana ana gari🤔🤔, ndo maana wenye nayo nao kwa ulimbukeni huyatumia Kama chambo kwa wanawake wa akili Kama zao,

wewe ukitongozwa na mtu Ana G5 wagon class upapatikii?
 
Gari natumia kutoka from.point A to B....Basi
Zaidi ya hapo....mafuta ndo yaanipeleka puta...
Ila Gari Raha sanaaaa....yaaani sanaaaa
 
Habari wakuu,

Nataka mitazamo yenu wenye experience na mambo ya gari. Hivi uliwezaje kupata mchongo na kutoka kimaisha kabisa, either kupitia gari mtu kukusaidia au gari lenyewe kukusaidia, nasubiri experience zenu wakuu mfunguke.
Imeniongezea matatizo tu,
 
Gari inakupa status ambayo mtu asiyekuwa nayo hapati...

Ukiwa na gari mtu akikuitia mchongo basi anakuitia mchongo wa hela ndefu kuanzia million 10 huko....

Anaamini hiyo pesa utakuwa nayo na deal la pesa hizo ndo size yako....

Sasa kwenye kukupa hizo deals ndo unaweza kupata moja ambalo ni bora zaidi.

Pili,Unanunua vitu vya gharama kwa bei ndogo.Wana wanakuja wanajua kwa flani naweza kupata pesa ya fasta.
Mfano mashamba yote niliyonunua mengi nilifuata tunashida ya million,tuna kesi mahakamani basi unanunua shamba zuri kweli kweli eka 2 kwa Million kisa tu wanashida na wana amini wewe ndo una hela ya fasta.Unaweza kuwa huna pale ila kama fursa ni nzuri sana basi ni rahisi kukopa.
mchango mzuri
 
Jinsi wanawake wanavyowewwseka na wenye magari[emoji23][emoji23][emoji23]dah aisee ulimbukeni mbaya sana, utasikia anatamba sasa nimepata bwana ana gari[emoji848][emoji848], ndo maana wenye nayo nao kwa ulimbukeni huyatumia Kama chambo kwa wanawake wa akili Kama zao,
Wewe huweweseki na gari,
 
Gari inakupa status ambayo mtu asiyekuwa nayo hapati...

Ukiwa na gari mtu akikuitia mchongo basi anakuitia mchongo wa hela ndefu kuanzia million 10 huko....

Anaamini hiyo pesa utakuwa nayo na deal la pesa hizo ndo size yako....

Sasa kwenye kukupa hizo deals ndo unaweza kupata moja ambalo ni bora zaidi.

Pili,Unanunua vitu vya gharama kwa bei ndogo.Wana wanakuja wanajua kwa flani naweza kupata pesa ya fasta.
Mfano mashamba yote niliyonunua mengi nilifuata tunashida ya million,tuna kesi mahakamani basi unanunua shamba zuri kweli kweli eka 2 kwa Million kisa tu wanashida na wana amini wewe ndo una hela ya fasta.Unaweza kuwa huna pale ila kama fursa ni nzuri sana basi ni rahisi kukopa.
nani akupe sahivi dili la million 10 kwasababu una gari nae huyo atakua ana ushamba, watu wanaazima magari unawezaje kuchukulia gari kama kigezo cha kumpa mtu deal la pesa
 
nani akupe sahivi dili la million 10 kwasababu una gari nae huyo atakua una ushamba, watu wanaazima magari unawezaje kuchukulia gari kama kigezo cha kumpa mtu deal la pesa
Kuna uongo ukikutana nao unapita kimya kimya tu😂😂😂
 
Habari wakuu,

Nataka mitazamo yenu wenye experience na mambo ya gari. Hivi uliwezaje kupata mchongo na kutoka kimaisha kabisa, either kupitia gari mtu kukusaidia au gari lenyewe kukusaidia, nasubiri experience zenu wakuu mfunguke.
Wakati mwingine gari inakufanya unaaminika kwa urahisi....imagine unakwenda kufanya interview za mashirika makubwa makubwa, ukiwa na gari inakuweka kwenye position nzuri ya ku-negotiate allowances mbali mbali ikiwemo mafuta kwa mwezi e.t.c Pia unaonekana ni mtu ambaye huna njaa na unajiamini! Ni mtazamo wangu tu huo ninavyoonaga huku mjini
 
Back
Top Bottom