Gari = Aston Martin,Hapana Hapa umetoa majibu mawili kwa swali moja. Yaonekana hujui unachokiuliza.
Anyway Ili twende sawa naomba unipe tofauti Kati ya Gari na chombo Cha usafiri.
Vidole huwa inakataa kupita kimya kimya bila kuchapisha majibu, nipe mbinu basi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna uongo ukikutana nao unapita kimya kimya tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Utakua ni binti mmoja hivi unaejiheshimu sana ndiyo vizuri au sio..Tena kwa kujiamini siweweseki na wanaume wenye wadhifa kabisa kabisa pamoja na kwamba natokea familia maskini
Ujumbe maridhawa,Utakua ni binti mmoja hivi unaejiheshimu sana ndiyo vizuri au sio..
Ni kujitambua tu, mtu unaejitambua hawezi vutika na magari, na uzuri wa mtu na vingine ili kuanzisha mahusiano swala la mahusiano /ndoa /uchumba linahitaji mtu na tabia zake, awe na hofu na Mungu kama mali mtazitafuta mkiwa pamoja,
Kwa kifupi ukiwa mtu wakudanganyika na magari siku ya mwisho anaekuoa sio gari ni mtu na tabia zake...
nani akupe sahivi dili la million 10 kwasababu una gari nae huyo atakua ana ushamba, watu wanaazima magari unawezaje kuchukulia gari kama kigezo cha kumpa mtu deal la pesa
Ukiitiwa dili usiende na boda boda au na daladala...sehemu kubwa ya michongo status yako inapanda kutokana na mwonekano gari ikiwa sehemu yakeHabari wakuu,
Nataka mitazamo yenu wenye experience na mambo ya gari. Hivi uliwezaje kupata mchongo na kutoka kimaisha kabisa, either kupitia gari mtu kukusaidia au gari lenyewe kukusaidia, nasubiri experience zenu wakuu mfunguke.
Hakuna mtu anaependa umasikiniJinsi wanawake wanavyowewwseka na wenye magari😂😂😂dah aisee ulimbukeni mbaya sana, utasikia anatamba sasa nimepata bwana ana gari🤔🤔, ndo maana wenye nayo nao kwa ulimbukeni huyatumia Kama chambo kwa wanawake wa akili Kama zao,
Ni kweli hata mie siupendi umaskini, ila kwa kupapatikia wenye magari wakakugonga wakasepa haiondoi umaskini zaidi inaongeza msongo wa mawazo, kudhalilishwa na kupoteza utu wako tuHakuna mtu anaependa umasikini
Nilikuuliza siku moja hiyo miguu ya kwako?Ni kweli hata mie siupendi umaskini, ila kwa kupapatikia wenye magari wakakugonga wakasepa haiondoi umaskini zaidi inaongeza msongo wa mawazo, kudhalilishwa na kupoteza utu wako tu
Mwakani nivute vitzWale kikubwa matairi manne. Iwe STL STK T112AAA au T232DUA wao hawajui.
😲😲Duh Naona unahamisha magoli Sasa, ndio ni yanguNilikuuliza siku moja hiyo miguu ya kwako?
Hujajibu
Kwani gari ni utajirHakuna mtu anaependa umasikini
NoeliaJinsi wanawake wanavyowewwseka na wenye magari😂😂😂dah aisee ulimbukeni mbaya sana, utasikia anatamba sasa nimepata bwana ana gari🤔🤔, ndo maana wenye nayo nao kwa ulimbukeni huyatumia Kama chambo kwa wanawake wa akili Kama zao,
NoeliaJinsi wanawake wanavyowewwseka na wenye magari😂😂😂dah aisee ulimbukeni mbaya sana, utasikia anatamba sasa nimepata bwana ana gari🤔🤔, ndo maana wenye nayo nao kwa ulimbukeni huyatumia Kama chambo kwa wanawake wa akili Kama zao,
Wapo wataodai hii ni I'd ya mtu mmoja eti😂😂Ilmradi usiridhike na daladala mi Ni kukutia moyo na imani kuwa unaweza
Walimwengu wasikubabaishe, 😝Wapo wataodai hii ni I'd ya mtu mmoja eti😂😂