Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyu vipi?!mwenyewe kasema kuwa yanga labda awe amekufa. sasa kwa nini asionekana ni deadbodyKuwa mwangalifu na kauli zako,haya maisha hayana fomula , kesho yenyewe unaweza usitoboe. Mkosoe kwa mengine ila uzima wetu ni Mungu tu anajua.
Hivi unadhani Simba ni mtu? Yaani uwe na tatizo na CEO na Chairman halafu useme sina tatizo na Simba. Wakati hawa ndio madereva wa SimbaHuyu hana tatizo na Simba bali Mo na Babra. Ila hata kuja Yanga siyo kuwa ni ishu za michezo tu, bali ni muendelezo wa ushindani wa kibiashara kati ya GSM na Mo.
Muda mrefu,ndo maana Simba wakamtimua.Hili mmeligundua lini ?
Wajinga ndio wanaweza mkubali mimi ni yanga sijawahi mkubali akiwa simba na sasa yangaUnajua binadam sisi kila mmoja kazaliwa na kitu chake na nguvu fulani iliyo ndani mwake.
Tunatofautiana kuitumia.
Haji Manara, haraharaka ukimchek sio kitu ILA JAMAA ANA NGUVU KUBWA SANA , NGUVU YA KIUONGOZI NDANI YAKE, JAMAA ANA MAMLAKA.
nandicho kinamuweka mjini, Sisi tunapiga kelele, hafai hafai, ila ndio ivo imeshakua !!!.
Usishangae siku akatoka Yanga, akaenda Azam na BADO AKAKUBALIKA.
Kasikilize press yake ya ukaribisho alivyopiga fitna za wazi kwa club ya Simba utakuja kufuta comment yako hapa.Huyu hana tatizo na Simba bali Mo na Babra. Ila hata kuja Yanga siyo kuwa ni ishu za michezo tu, bali ni muendelezo wa ushindani wa kibiashara kati ya GSM na Mo.
Daaaaah! Kumbe mlikuwa mnamtamani eeeeeeeh?Sisi Yanga Tumempokea Vema
Hatafanya Kama Simba Ila Atakuwa Na Nidhamu Kubwa
Aliewaitaga nyani hakukosea kabisa,mpira sio maneno wala sio uhamasishaji,bado mna akili za kijamaa na kishoshalist kuamini propaganda inaweza kufanya kazi!!Haji Manara ana Power kubwa katika soka letu, kinywa chake ni dhahabu naanza kuamini alikuwa anafanya wachezaji wa simba wapate nguvu ya kujituma uwanjani, spirit aliyonayo katika kuzungumza ni ya kiwango kikubwa sana
Acha aendelee kupata Mkate wake
Kataa kubali...Wajinga ndio wanaweza mkubali mimi ni yanga sijawahi mkubali akiwa simba na sasa yanga
Ogopa mungu na TeknolojiaMmechukua reject hamjamshinda mpinzani yoyote, kwanza mmesajili deadbodyView attachment 1906609
Katika football hakunaga rafiki wala adui wa kudumu.Aliewaitaga nyani hakukosea kabisa,mpira sio maneno wala sio uhamasishaji,bado mna akili za kijamaa na kishoshalist kuamini propaganda inaweza kufanya kazi!!
Mpira ni uwekezaji,na management nzuri,duniani kote uko mpira ulipopiga hatua kuna uwekezaji mkubwa umefanyika kuanzia kwenye wataalamu wa benchi la ufundi,wachezaji wazuri,vifaa vya mazoezi,vifaa tiba,lishe,na program tofauti za kiufundi.
Suala la makelele halina tofauti na waliopigana vita ya majimaji,kuamini kwenye propaganda kuwa wanaweza kuwashinda watu wanaotumia zana zenye teknolojia ya kisasa mwisho wa siku watu wakafa kwa kuamini ujinga,au walioamini propaganda za babu wa loliondo mwisho wa siku wakatumia kikombe kisicho na utaalamu na uthibitisho wa kisayansi wakafa!!
Watu wa Yanga kwa sababu ya ulofa wao, GSM amepoka madaraka kinyemela na sasa wanaongoza timu kwa manufaa ya kibiashara ya jina lao,bila kujali utamaduni wa timu hio,kama kweli yanga wanaitaji mafanikio waache kuwekeza kwenye propaganda wawekeze kwenye utaalamu zaidi.
Ukweli mtupuUnajua binadam sisi kila mmoja kazaliwa na kitu chake na nguvu fulani iliyo ndani mwake.
Tunatofautiana kuitumia.
Haji Manara, haraharaka ukimchek sio kitu ILA JAMAA ANA NGUVU KUBWA SANA , NGUVU YA KIUONGOZI NDANI YAKE, JAMAA ANA MAMLAKA.
nandicho kinamuweka mjini, Sisi tunapiga kelele, hafai hafai, ila ndio ivo imeshakua !!!.
Usishangae siku akatoka Yanga, akaenda Azam na BADO AKAKUBALIKA.
Yah!huu usajili wa nanara ni wa kuwakera tu mikia,leo hii mikia usingizi wataupata kwa shida sana,nanara anajua kukera aiseeSema matatizo ya uongozi wa Simba na Yanga Mtani sababu hata na nyie yalishawakuta haya.
Shida wanatanguliza kukomoana mbele. 🙁