Uchaguzi 2020 Kumkata Paul Makonda kwenye Kura za Maoni CCM, siyo maamuzi yenye akili

Nini maoni yako kumhusu raia na mv bagamoyo.
Naamini hutajali kununa kwake au sio?
 
Mkuu Pole kwakumteea Mr Makonda hata CCm hawa kumchagua awe Mgombea Ubunge wa Kigamboni. Bado Mr Makonda hajakomaa Kisias kuwa Mbunge ndio maana CCm walijuwa na kutomchaguwa awe mgombea ubunge kigamboni.



 
9. Bingwa wa kufeli ktk kila jambo
 
mleta mada alikuwa anajitengenezea mazingira ya kuwa chawa wa bashite kwa siku za usoni endapo kama bashite angeukwaa ubunge na uwaziri.
 
hajakatwa...kura hazijatosha mzee vipi ? watu wamemtupa anashobo sana. Atafute private security watu wa daslama wana hasira nae sana watamla kichwa mapema sana
 
Unafikiri nimeanza kuandika leo hivyo?
Kama ni mara yako ya kwanza kusoma maandiko yangu unahaki ya kuuliza swali hilo, lakini kama ni mzoefu utakuwa mtu wa ajabu sana

Bado hujajibu swali. Sijali kama umeanza kuandika leo au karne iliyopita, unavyoweka namba ya simu unategemea nini? Au unatafuta basha akupigie simu. Sioni haja yeyote ya kuweka namba ya simu wakati mawasiliano yote yanaweza kupatikana hapa Jamiiforums
 
Kwahiyo wewe ni bora kuzidi wao?.
 
Tusha mkataaa na hatumtaki kabisa, akagombee kwao koromomije.

Hutaki kamchague wewe na familia yako.
 
Wana CCM wengi walizoeaa CCM ya kuhongana na kufikishana bungeni.

CCM oyeee!

Ile CCM ya demokrasia tuliyosubiri kwa hamu ndio hiii nipe nikupe/nisikupe, siyo zamani 100% nipe nikupe.

Sasa darasa la demokrasia limekamata penyewe kwenu; hizo kamati tarajiwa na vikao tunaomba mwendeleze demokrasia tulioanza nayo huku chini.

Pale panapotakiwa kubadilishwa kabisa basi pafanywe kwa heshima ya chamaa.

CCM oyeee!
 

Sentensi yako ya mwisho inadhilisha wewe ni member wa kundi la rabid hater wa Makonda, kwa maneno mengine mnakuwa driven na chuki binafsi na wivu juu, bahati mbaya vinara wenye chuki binafsi wako kwenye rika ya vijana!! Badala kufanya mambo ya kujiendeleza na kujipatia kipato cha ziada, wanashinda kwenye social media wakimsema vibaya MAKONDA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…