Uchaguzi 2020 Kumkata Paul Makonda kwenye Kura za Maoni CCM, siyo maamuzi yenye akili



Duuuh!
 
Ni kawaida nikiandika nawekaga Mkuu. Hata nikikosoa naweka pia
Lengo lako ili utafutwe na upatikane, eti? Huwezi jua, waweza kumbukwa kwenye ufalme wa Bashite na Babaye. Lakini swali ni hili, kwa nini Bashite kakaidi maagizo na ushauri wa babaye?
 
Sababu kuu ya kukatwa:
Ni mhalifu -mvamizi wa kituo cha habari(matumizi mabaya ya madaraka), mwizi(taaluma na mali za watuhumiwa wa madawa).Nitawashangaa wakimpitisha na itakuwa ni uthibitisho tosha kuwa ccm ni chama la wezi!
 
Lengo lako ili utafutwe na upatikane, eti? Huwezi jua, waweza kumbukwa kwenye ufalme wa Bashite na Babaye. Lakini swali ni hili, kwa nini Bashite kakaidi maagizo na ushauri wa babaye?

Sio vibaya kuonyesha matamanio yako kwa Baba yako.
Hata Suleiman aliambiwa na Mungu asiwe na wake wengi lakini alikaidi. Hiyo haikuvunja mahusiano yake na Mungu. Sio kosa kuonyesha matamanio yako
 
Sababu kuu ya kukatwa:
Ni mhalifu -mvamizi wa kituo cha habari(matumizi mabaya ya madaraka), mwizi(taaluma na mali za watuhumiwa wa madawa).Nitawashangaa wakimpitisha na itakuwa ni uthibitisho tosha kuwa ccm ni chama la wezi!

Mkuu, muda utaongea hayo mengine hayatasaidia hapa
 
Hitler wa Ujerumani alifanya makubwa sana kwa Inchi yake lakini leo hakumbukwi kabisa kwa wema ailiofanyia Inchi yake bali yale mabaya aliyoyafanya kwa manufaa ya Inchi yake kwa kuua watu wa mataifa mengine na hata kuwauwa wapinzani wake huko Ujerumani.
Katika kumwongoza au kumtawala mwanadamu kitu muhumi ni utu wa kiongozi kwa watu wake, majirani zake na Mataifa mengine.
Kiongozi au mtawala awe tayari kufa kwa ajili ya watu wake kama alivyofanya Yesu Kristo.
Hakuna upendo uanozidi ule upendo wa mtu kuutoa uhai wake kwa ajili ya rafiki zake.
Iddi Amini wa Uganda katika utawala wake alijaribu kuipigania Uganda bila kuwa na utu.
Mtawala au Kiongozi yeyote ni lazima afanane na MFALME SULEIMAN ambaye utawala wake unaheshimika hadi leo kwa sababu ulikuwa na utu, hekima na busara.
Mtawala yeyote ni lazima afanane na Hayati Mwalimu Nyerere kwa sababu alikuwa na utu, hekima na Busara katika kuwaongoza watu wake na kusaidia MATAIFA mengine kupata Uhuru.
Mtawala yeyote ni lazima afanane na Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. John Pombe Makufuli kwani amejali sana utu na ana hekima na Busara katika kuitawala Inchi bila kumuumiza au kumdhuru mwemye haki. Kubwa zaidi kuliko yote amepigania sana maslahi ya Inchi na kuifanya Serikali kuwa Tajiri kuliko watu Binafsi, makampuni na hata Mabenki.
Vijani wetu wa SASA hawana utashi wa Kisiasa bali ni watu wenye kutafuta Sifa , wenye magidai na kuufanya uongozi kama mchezo wa kuigiza.
 
Kuwakata wagombea wote waliotoka serikalini itakuwa ni uonevu provided watashinda kura za maoni.

Haki aitaki mambo ya ‘double jeopardy’ uwezi muadhibu mtu mara mbili kwa kosa moja.

Kama waliamua kuwafuta kwenye nafasi zao za uteuzi baada ya kuchukua fomu ni adhabu tosha tayari.

Personal feelings za Magu, Bashiru na Polepole aziwezi kuwa kigezo cha kuzuia uhuru wa watu, wao washafanya yao sasa ni muda wa demokrasia kufanya yake.
 

Unamharibia kijana wetu. Itachukuliwa km unampigia kampeni kabla ya kipyenga kupulizwa, na wengine wanaweza kudhani kuwa amekutuma, na hivyo umemtia doa. Kila kitu kwa wakati wake, CCM ya sasa ni makini sana.
 
Hayo ni mawazo yako ukiona shida saana mpe ubunge kwako kisha umpe uwaziri kwa familia yako.
CCM ina utaratibu na sio watu kuwaza vyeo tu, hayo mawazo yako ndo yalihalibu chama huko nyuma.
Kama atachaguliwa si lazima awe waziri, kwa kuwa hata huo ubunge anaweza kutumikia watu na kuwapa maendelei bila kuwa waziri.
 
Kibaya kuliko vyote ni Dhambi ya kuondoka Dsm kwenda Dodoma akiwa na magari mawili Nissan nyeupe ikiwa na Cyprian Musiba Heri kisanduku nyaulingo na Asiyejulikana mmoja na kwenye Vx akiwepo Bashite, Le mutuz, Jerry muro na mmoja Asiyejulikana kwenda kumshambulia Tundu lisu kwa Risasi, hii ni Dhambi kubwa kuliko zote alizopata kuzifanya hapo Dsm na kwingineko Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…