Kumlipa Clinical Officer laki 6 sio haki hata kidogo

Kumbe CO ana salary ndogo hivyo laaa pole yao
 
The bad news n kwamba wakat kijana anaenda kusoma anakua hana taarifa za huko nje mambo yalivo. Yy anachojua Ni kusoma koz zenye title kama vile injinia daktar etc asijue kuna koz za michongo watu wanavuta kibunda kirefu mwisho mwa mwez. Just assume mtu hana taarifa co wanalipwa sh ngap,, au system admin wanalipwa sh ngap,,,,au HR wanalipwa sh ngap ye anajua tu nkisoma PCM ntakuwa injinia then ntakua na maisha mazur
 
Sasa mtu una dddd unataka ulipwe kiasi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…