Hamumu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2021
- 1,439
- 3,587
ufinyu wa kifikra pia ni mzigo.Umepewa likes nyingi but wewe ni pimbi sana. Madaktari, CO na wahudumu wengine wa afya na mahospitalini ni muhimu mnoo kwa sababu iwe umeajiriwa au kujiajiri sote hapa hatuwezi kukwepa mahospitalini. Imagine mbunge analipwa milioni 11 (mishahara na ma posho mbalimbali) kwa nini maslahi ya hawa wenzetu yasiboreshwe ili wafanye kazi na kutuhudumia vizuri?
"Hakuna mtu yeyote aliyelipwa pesa akaridhika mkuu". Kilichopo ni kuridhika na kilekile unachokipokea. Ikumbukwe pia kuna madaraja, so kama mtu anahisi hatosheki na mshahara anaolipwa, afanye alternatives apande daraja.
Nimemjibu vile kwa sababu anasahau kuwa kuna wataalam wengi sana wa afya mitaani ambao wanatamani kufanya kazi hata kwa pesa ndogo kuliko hio anayoona kwake haitoshi.
Kingineeeee, akihisi anafanya kazi kubwa saaaaana ambayo hailingani na mshahara, ni bora aache hio kazi.... Cjui upimbi wangu hapo uko wapi[emoji16][emoji16].
Hauwez kufanya kazi yenye thamani ya 100 ukalipwa 15 af uendelee nayo. Aje mtaani afanye kazi ya 10 imlipe 9.9.