Binafsi huwa naona watu wanaostahili kulalamika ni Nurses.
Kazi nyingi na departments nyingi wao ndio wanafanya kazi.
Kazi zote za kujaza MTUHA, kufanya usafi ni wao.
Kazi mpaka Weekends, sikukuu na usiku wa maanane.
Kazi za Labour kila siku cases mpya tena siku hizi Primes kibao, nurses hawalali usiku. Na sasa hivi mama mjamziti akifia Labour sijui utatoa maelezo gani mpaka serikali ikuelewe.
Na baya zaidi Bachelor Nursing ni 4 good years lakini mshahara wao ni TGHS C ambayo ni sawa na watu wa Lab, EHS, na HSM ambao husoma Bachelor miaka 3.
Co kulipwa laki 6 unalialia ni upuuzi wakati hata kazi nyingi huna. Unajipa umuhimu usiokuwa nao.