Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingekuwa rahisi hivyo kila mmoja angefungua.Unakusanya mtaji nawe unafungua yako maisha yanasonga
Shida wote mnapenda kuwa mijini vijana wakati huko pembezoni kila siku kwenye vyombo vya habari mnasikia vilio zahanati tu mtu anasafiri km.45 mpaka 50 kupata hudumaIngekuwa rahisi hivyo kila mmoja angefungua.
Halafu wanakulipa laki 2 kama internPrivate siku hizi hawaajiri kizembe. Wanakutumisha kama Intern.
Maana yake huwezi kuwadai NSSF, Likizo, maternatal leave wala nini. Unafanya kazi ili ulipwe.
Itakuwa hivyo huenda miaka 50 ijayo.CO anatakiwa apewe 1.2 m
MD apewe 3m...
Nurse degree apewe 2.5
Mfamasia ..2.5m
Dentist ...3m
Lab scientist 2.5m
.......
Itatokea ...pale maisha yatakapopanda sana ambapo hakutakuwa na tofauyi na sasa
.......hii mishahara ya mwisho wa mwezi jnafanya asubuhi mpaka jioni ...sikunyingine mpaka usiku ni uchawi yu.....
Acha dharau wew, sisi ndo tupo huku vijijin tunawatibu shangaz na bibi zenu mliowatelekeza na kukimbilia huko mjini, na wanapona fresh ukija unawakuta wana afya njema.
Mimi ningelikuwa nina ajira alafu kila mwisho wa mwezi nalipwa laki sita aisee ningeitafuna mimyakimya na nibgrlijipanga kufanya mambo nje ya ajira nina imani ukiwa na akiba yako,ukawekeza pesa yako kwa wataalamu wa jambo husika na waaminifu basi Mungu anakufungia tu.Hahahahhahah kwa hali ya maisha japo hela haitoshi ila ni bora kupata laki 6 kuliko nothing!
Hatari sana aisee.Hii nchi watu wamesoma madude magumu ambayo huwezi tia pua na bado pesa yao kawaida tuu.
Sent from my SM-N986B using JamiiForums mobile app
Wakuu ulizieni C.O na MD wa SMZ analipwaje huko zanzibarHalafu wanakulipa laki 2 kama intern
Mkuu hapa, tulikuwa tunajaribu kuonesha ni nani ana mzigo mkubwa wa kazi na siyo kuangalia ni nani muhimu sana kuliko mwenzake.Kuna watu wanakomenti vitu hata hawafahamu narudia Afya tunafichiana siri mengine watuachie wenyewe ndio tunafahamu
Ndugu poleee....Clinical officers wanafanya kazi kubwa sana kunusuru Maisha ya watu, kumlipa CO laki 6 ambayo ni sawa na Tsh elfu 20 kwa siku tena hapo bado makato sio haki hata kidogo.
Tukianza na sekondari, huyu Co alilipa ada kubwa tofauti na wanafunzi wengine wanaosoma michepuo ya biashara na sanaa.
Pia asilimia kubwa ya CO's wa sasa walipita ngazi ya advance na walilipa ada kubwa mno tofauti na michepuo mingine mf PCM, HKL, HGE, ECA nk.
CO hata Kwenda field tu analipia wakati fani zingine field hulipii Bali wewe ndiye unalipwa.
Serikali wajitahidi kumuongezea Hela CO angalau laki 8 kwa mwezi.
Kitu usichokijua kusoma hii fani ni passion kwanza then maslahi yanafuata.Watu wa afya mnajimwambafai sana Kumbe Scale zenu ndo utopolo ivi!? Wakati tunamaliza School Kuna masela wa PCB walienda Advance na Kugonga MD wengine wamesukuma CO yani nimepitia huu Uzi nimeona jamaa hawakupita Njia sahihi, Yani Usome MD 5 yrs uje uvute 1.5. Serious kweli!??
Halafu mijitu inawalaumu wakipotelea nje ya nchi, huku mitoto ya mifisadi na mipapa yote inalipwa pesa za maana japo mahela yakuiba yamejaa makwao,Kwani kuna tofauti ndugu? MD ni 1,000,000/=. Hawezi hata kupanga Sinza. Serikali haoni umuhimu wa wataalam wetu. Wanaona "umuhimu" wa wabunge tu!!
Kitu usichokijua kusoma hii fani ni passion kwanza then maslahi yanafuata.
Inaweza ikawa tunawakomoa kwamba wanalazimika kubaki kazini lakini yale mambo tunayoyalalamikia basi pia tuache kulalamika kama vile wizi wa madawa, lugha zisizoonyesha utumishi wao na huduma zisizoridhisha.Ukiona inakubana acha kazi mkuu. Very simple. Uje mtaani uumize kichwa ili upate 5000 per day