Kumlipa Clinical Officer laki 6 sio haki hata kidogo

Kumlipa Clinical Officer laki 6 sio haki hata kidogo

Mpaka 2030 graduates watukawa wengi kiasi kwamba ajira zilizopo kwa sasa zisipo ongezeka mara 5 hazitawatosha hata kwa utoshelezezali wa sasa......
 
Ingekuwa rahisi hivyo kila mmoja angefungua.
Shida wote mnapenda kuwa mijini vijana wakati huko pembezoni kila siku kwenye vyombo vya habari mnasikia vilio zahanati tu mtu anasafiri km.45 mpaka 50 kupata huduma
 
CO anatakiwa apewe 1.2 m
MD apewe 3m...
Nurse degree apewe 2.5
Mfamasia ..2.5m
Dentist ...3m
Lab scientist 2.5m
.......
Itatokea ...pale maisha yatakapopanda sana ambapo hakutakuwa na tofauyi na sasa
.......hii mishahara ya mwisho wa mwezi jnafanya asubuhi mpaka jioni ...sikunyingine mpaka usiku ni uchawi yu.....
Itakuwa hivyo huenda miaka 50 ijayo.
 
Hahahahhahah kwa hali ya maisha japo hela haitoshi ila ni bora kupata laki 6 kuliko nothing!
Mimi ningelikuwa nina ajira alafu kila mwisho wa mwezi nalipwa laki sita aisee ningeitafuna mimyakimya na nibgrlijipanga kufanya mambo nje ya ajira nina imani ukiwa na akiba yako,ukawekeza pesa yako kwa wataalamu wa jambo husika na waaminifu basi Mungu anakufungia tu.

Waajiriwa waache lawama ni muda wa kukubali kwamba mshahara hautoshi.

Mtumishi anataka kuongezewa mshahara alafu ukiongozeka inaongezeka laki moja ambayo kwa mwezi kila siku ni kama 3000 tu.

Kuna rafiki ake wife kaajiriwa na degree shule ya msingi lakini analipwa kama laki nne tu na ushehe,mtu ana diploma anachukua 600k anaona hana bahati.
 
Boss Mtuha kila idara wanajaza za kwako Opd watajaza Wa Opd,DTC watajaza za kwao, FP watajaza za kwao na siku hizi kwa mfumo wa Got-Homis umerahishisha mambo kidogo taarifa nyingi mnavuta toka kwenye mfumo kumbuka Co's wengi ndio wanakataa OPd hasa hospitali/zahanati za vijijini kwa siku anaweza kuona wagonjwa 60 bado hajaingia labor in case kuna complications na Nurse baadhi ya vitu hawezi Fanya bila idhini ya Tabibu/dokta.
 
Siku zote medical ni team work ukiniambia nurse anakomaa kwenye hizo idara its not true Hebu nipe kazi ya nurse CTC,CTC lazima pawepo na Tabibu/Dokta hebu rudi kasome job description za kada mbalimbali za Afya na Co Wa kijijini anapiga hadi hizo kazi za nurse utamkuta RCH anachoma Measles utamkua FP anatoa Depo, utamkuta Labor anacheck dilation tusifike sana afya tunafiacha udhaifu wetu Ila hakuna bora kuliko mwenzake Ndio nurse atakaa dispensing room lakin anayeprescribe ni Co/Dr etc nenda kijijini unakuta kuna watumishi 2 zahanati Nurse akienda likizo Co/MD anapiga zigo lote
 
Kuna watu wanakomenti vitu hata hawafahamu narudia Afya tunafichiana siri mengine watuachie wenyewe ndio tunafahamu
 
Kuna watu wanakomenti vitu hata hawafahamu narudia Afya tunafichiana siri mengine watuachie wenyewe ndio tunafahamu
Mkuu hapa, tulikuwa tunajaribu kuonesha ni nani ana mzigo mkubwa wa kazi na siyo kuangalia ni nani muhimu sana kuliko mwenzake.

In short, kada ya Afya ni team work na kujifunza kila siku. Hakuna mtu anaeweza kujifanya yeye ndio yeye, ukiona mtu analazimisha kubishana sana kwamba taaluma A ya Afya ni bora sana kuliko B ujue huyo bado ni mwanafunzi au Jobless.
 
Clinical officers wanafanya kazi kubwa sana kunusuru Maisha ya watu, kumlipa CO laki 6 ambayo ni sawa na Tsh elfu 20 kwa siku tena hapo bado makato sio haki hata kidogo.

Tukianza na sekondari, huyu Co alilipa ada kubwa tofauti na wanafunzi wengine wanaosoma michepuo ya biashara na sanaa.

Pia asilimia kubwa ya CO's wa sasa walipita ngazi ya advance na walilipa ada kubwa mno tofauti na michepuo mingine mf PCM, HKL, HGE, ECA nk.

CO hata Kwenda field tu analipia wakati fani zingine field hulipii Bali wewe ndiye unalipwa.

Serikali wajitahidi kumuongezea Hela CO angalau laki 8 kwa mwezi.
Ndugu poleee....
Hakuna field iliyo Bora kuliko nyengine.

Kama mshahara mdogo ACHA KAZI AU HAMA NENDA HUKO KWENYE MKUBWA.

#YNWA
 
Watu wa afya mnajimwambafai sana Kumbe Scale zenu ndo utopolo ivi!? Wakati tunamaliza School Kuna masela wa PCB walienda Advance na Kugonga MD wengine wamesukuma CO yani nimepitia huu Uzi nimeona jamaa hawakupita Njia sahihi, Yani Usome MD 5 yrs uje uvute 1.5. Serious kweli!??
Kitu usichokijua kusoma hii fani ni passion kwanza then maslahi yanafuata.
 
Kwani kuna tofauti ndugu? MD ni 1,000,000/=. Hawezi hata kupanga Sinza. Serikali haoni umuhimu wa wataalam wetu. Wanaona "umuhimu" wa wabunge tu!!
Halafu mijitu inawalaumu wakipotelea nje ya nchi, huku mitoto ya mifisadi na mipapa yote inalipwa pesa za maana japo mahela yakuiba yamejaa makwao,
 
Ukiona inakubana acha kazi mkuu. Very simple. Uje mtaani uumize kichwa ili upate 5000 per day
Inaweza ikawa tunawakomoa kwamba wanalazimika kubaki kazini lakini yale mambo tunayoyalalamikia basi pia tuache kulalamika kama vile wizi wa madawa, lugha zisizoonyesha utumishi wao na huduma zisizoridhisha.
 
Back
Top Bottom