safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
Mimi nakubali.Kwahiyo unakubali kuwa passion ni kitu cha kwanza kabla ya vyote?
Kuna dogo wangu nikimuuliza unapenda nini anasema anapenda sana kuwa daktari,anapenda vilw mtu kaja anamsikiliza anamuhoji na anamtibu.
Huyu dogo hajui mshahara wa daktari hata nini ila ukimuuliza anasema anapenda udaktari kwa sababu ametoka nao moyoni.
Ila ukipigika na mtaa ukaijua Jf utaona kama huna passion kwa sababu watu wanabeza sana mshahara humu hivyo mtu anafanya kazi atajidharau ila ukiingia mtaani sasa uone pesa ilivyo ngumu ndipo utagundua kwamba una neema kubwa sana.
Ila passion ndio kitu cha mwanzo kama tukitaka kufanikiwa.