4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]we jamaa bana, so ukilipwa hii hutalalamika ? maana navyojua 'mshahara' hua hautoshi
utalipwa iyo baada ya 'mda' utakujalalamika ulipwe 'walau' laki 10
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]we jamaa bana, so ukilipwa hii hutalalamika ? maana navyojua 'mshahara' hua hautoshi
utalipwa iyo baada ya 'mda' utakujalalamika ulipwe 'walau' laki 10
Nimesikia imesitishwa!Kasome AMO miaka 2 tu utapanda mshahara
[emoji23][emoji28] si mlipenda kusoma masomo magumu ili muonekane mna akili...
Kuna watu wamesoma course za utopolo tena level ya diploma tu ila kwa mwezi wanavuta take home 1.2 Million bado hajapata posho zisizokua na kichwa wala miguu... Vijana mnaposoma anagalieni na future... Otherwise enjoy your problems
Binti yangu mzuri, wewe inaonekana una shida ya akili, pole na mshahara wako wa utopolo... Umesoma chuo hadi unamaliza umetumia zaid ya million 10 😂 halafu unakuja kuajiriwa mshahara laki 6.Mkuu Upo Sawa kiakili au
Wewe shukuru umepata ajiraClinical officers wanafanya kazi kubwa sana kunusuru Maisha ya watu, kumlipa laki 6 ambayo ni sawa na Tsh elfu 20 kwa siku tena hapo bado makato sio haki hata kidogo.
Tukianza na sekondari, huyu alilipa ada kubwa tofauti na wanafunzi wengine wanaosoma michepuo ya biashara na sanaa.
Pia asilimia kubwa ya Clinical Officers wa sasa walipita ngazi ya advance na walilipa ada kubwa mno tofauti na michepuo mingine mf PCM, HKL, HGE, ECA nk.
Hata Kwenda field tu analipia wakati fani zingine field hulipii Bali wewe ndiye unalipwa.
Serikali wajitahidi kumuongezea Hela Clinical Officer angalau laki 8 kwa mwezi.
Hata hii 200k ukiipata shukuru Mungu.Hakuna kitu kigumu kama CO kwenda MD. Ukipata ni bahati ya Mungu kakuangazia tu.
Na sasa hivi CO wamejaa mtaani kama nzige.Na wengine manalipwa mpaka Laki 2 kwa mwezi kwenye vijiwe.
Kupata ajira ni suala moja, na haki za aliyepata ajira ni suala jingine. Hatuwezi kusema aliyepata ajira asipewe haki anasostahili eti kisa Kuna ambao hawana ajira . No! huo ni wendawazimu.! Tusilinganishe mambo haya. Mwenye ajira astahili ujira sahihi kwa kazi yake , na asiye na ajira anastahili ajira sahihi kwa utaalamu wake.Wewe shukuru umepata ajira
Course gani hii?[emoji23][emoji28] si mlipenda kusoma masomo magumu ili muonekane mna akili...
Kuna watu wamesoma course za utopolo tena level ya diploma tu ila kwa mwezi wanavuta take home 1.2 Million bado hajapata posho zisizokua na kichwa wala miguu... Vijana mnaposoma anagalieni na future... Otherwise enjoy your problems
Kama ndo hivyo kwa baadhi ya sekta ya afya basi walimu mko vizuri sanaWalimu tunacomment wapi
Umezaliwa mwaka gani bwana mdogo?Course gani hii?
Binti yangu mzuri, wewe inaonekana una shida ya akili, pole na mshahara wako wa utopolo... Umesoma chuo hadi unamaliza umetumia zaid ya million 10 [emoji23] halafu unakuja kuajiriwa mshahara laki 6.
Wakat wenzako waliosoma kwa malengo wanalipwa monthly salary zaid ya Million
Akikujibu huyo shangingi ni kozi gani nitagCourse gani hii?
Akikujibu huyo shangingi ni kozi gani nitag
Nimezaliwa 1998 mama yangu ..Nimekutag binti yangu... Umezaliwa mwaka gani..? Punguza ushoga upate akili
- aisee Mkuu Kuna dogo mmoja ana Diploma ya Accounts Yuko shirika fulani la umma anakula 1.8M, wakati BVM,MD wanakula 1.4M😂😅 si mlipenda kusoma masomo magumu ili muonekane mna akili...