Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahah we utakuwa unazungumzia wages mzee! Kuna wages na mshahara na hii tofauti yake ni kwenye ajira, kazi na kibarua!
Ukiona unalipwa not less than 50K per day jua upo kwenye ajira mzee. Hapa kuna ambao wanalipwa kati ya laki 1 mpaka laki 3 kwenye taasisi hizi hizi za serikali ama NGO za kimataifa. Huwezi sema ati mshahara hautoshi wakati account yako inaingiziwa 7.5M kila mwezi!
Less than 30K jua upo kwenye kazi. Hawa ni vibarua waliochangamshwa kidogo na overtimes.
Less than 20K jua unaenda kibaruani. Hawa ndio wanakula wages sema zimekuwa extended kwa mwezi tu.
And this is the bottom line, umemaliza mkuu....Analipwa hivyo sababu hayupo kwenye level ya maamuzi ya Kodi yake, wanasiasa wanajipendelea malipo makubwa sababu wapo kwenye mfumo wa maamuzi
Hao wanakuwa wanabwabwaja vitu wasivyokuwa na uelewa navyo, wengine wanatumwa kukandamiza mijadala ambayo inaonekana mwiba kwa watawala, ni wa kuwapuuza tu......Kwahiyo unataka kusema nurse ndie anayetengeneza diagnosis? na treatment plan? au sio? mgonjwa anapokwenda hospitalini anaanza kwa nurse anampa matibabu alafu daktari anafuata au sio? tunapopataga dharura pale emergency usiku yule kwenye chumba cha daktari kumbe ni nurse asanteni kwa kutufungua sisi wasomi tusioelewa.
Sio unyama tu bali ni ujinga usio na mfanoUnaomba rushwa kwa wagonjwa huu ni unyama sana..kuna mmoja alidakwa kaiba w.i na cannula hii ni aibu sana asee.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa tunazungumzia wingi wa kazi au aina ya majukumu yanayofanyika?Kwahiyo unataka kusema nurse ndie anayetengeneza diagnosis? na treatment plan? au sio? mgonjwa anapokwenda hospitalini anaanza kwa nurse anampa matibabu alafu daktari anafuata au sio? tunapopataga dharura pale emergency usiku yule kwenye chumba cha daktari kumbe ni nurse asanteni kwa kutufungua sisi wasomi tusioelewa.
Ipo hivi, zamani daktari au tabibu ndio alikuwa kila kitu. Yani kuanzia diagnosis , dawa , maabara na kila kitu. Ikaonekana ni mzigo mzito, ndipo zikamegwa taaluma saidizi ili kupunguza mzigo kwa daktari, yani allied sciences, kama unurse, maabara nk...sasa unapokuja kutudanganya hapa usidhani hatuelewi, huo ujinga wa kuwavimbia madaktari na ata kujifananisha nao ni dharau na kebei, japo kiukweli kazi yao pia sio ya maana kwa maana ya uwiano wa kazi na maslahi. manesi kwanza ndio wa hovyo kuliko, mahospitali kuchafu huduma mbaya na yote hayo yanasababishwa na manesi, kwanza lugha zao ni za ajabu ajabu, hovyo kabisa. kama CO alifeli shule, sasa wewe nesi sijui, na ndio maana hamruhusiwi kuandika dawa, kwanza ata thinking process ya ku arrive kwenye diagnosis hamna. Usitudanganye wewe, tumesoma tuna info, skuizi tunajua kutofautisha daktari na nesi.Hapa tunazungumzia wingi wa kazi au aina ya majukumu yanayofanyika?
Sasa ukitaka vyote hivyo afanye nurse huyo CO atafanya kazi gani tena?
Maliza shule kwanza. Inaonekana utoto unakusumbua sana.Ipo hivi, zamani daktari au tabibu ndio alikuwa kila kitu. Yani kuanzia diagnosis , dawa , maabara na kila kitu. Ikaonekana ni mzigo mzito, ndipo zikamegwa taaluma saidizi ili kupunguza mzigo kwa daktari, yani allied sciences, kama unurse, maabara nk...sasa unapokuja kutudanganya hapa usidhani hatuelewi, huo ujinga wa kuwavimbia madaktari na ata kujifananisha nao ni dharau na kebei, japo kiukweli kazi yao pia sio ya maana kwa maana ya uwiano wa kazi na maslahi. manesi kwanza ndio wa hovyo kuliko, mahospitali kuchafu huduma mbaya na yote hayo yanasababishwa na manesi, kwanza lugha zao ni za ajabu ajabu, hovyo kabisa. kama CO alifeli shule, sasa wewe nesi sijui, na ndio maana hamruhusiwi kuandika dawa, kwanza ata thinking process ya ku arrive kwenye diagnosis hamna. Usitudanganye wewe, tumesoma tuna info, skuizi tunajua kutofautisha daktari na nesi.
Wewe acha kujimwambafai, mimi sio wa level zako, ila huwezi kudanganya watu kama watoto wadogo, wewe kama ni nesi, pambana na vinyesi na madamu yako, fani zenu kwanza wote ni za kishenzi tu. Hakuna mjanja au mtu mwenye maono ya mbali anaweza kukimbilia unesi au udaktari zama hizi, wanaoenda huko ni maboya tu, sema ndo hivo lazima wawepo wasaidie wajanja.Maliza shule kwanza. Inaonekana utoto unakusumbua sana.
Mwaka unabadilika, labda 2022 utakuwa na akili japo ya kuvukia barabara.Wewe acha kujimwambafai, mimi sio wa level zako, ila huwezi kudanganya watu kama watoto wadogo, wewe kama ni nesi, pambana na vinyesi na madamu yako, fani zenu kwanza wote ni za kishenzi tu. Hakuna mjanja au mtu mwenye maono ya mbali anaweza kukimbilia unesi au udaktari zama hizi, wanaoenda huko ni maboya tu, sema ndo hivo lazima wawepo wasaidie wajanja.
Njia waliopita ni sahihi ila destination sio sahihi! Mfano huyo MD unayemcheka akienda Amref ndani ya 5 yrs za mshahara wewe utafanya kazi 15yrs na bado hutamkuta kimaendeleo.Watu wa afya mnajimwambafai sana Kumbe Scale zenu ndo utopolo ivi!? Wakati tunamaliza School Kuna masela wa PCB walienda Advance na Kugonga MD wengine wamesukuma CO yani nimepitia huu Uzi nimeona jamaa hawakupita Njia sahihi, Yani Usome MD 5 yrs uje uvute 1.5. Serious kweli!??
vyote hapo anafanyaga daktari. Hakuna jukumu la nurse hapo.Hapa tunazungumzia wingi wa kazi au aina ya majukumu yanayofanyika?
Sasa ukitaka vyote hivyo afanye nurse huyo CO atafanya kazi gani tena?
Ata akiwa nazo, si ndo mpaka apate hiyo nafasi, sio kila mmoja anaweza kwenda kwenye hizo NGOs, sasa si zitajaa?Njia waliopita ni sahihi ila destination sio sahihi! Mfano huyo MD unayemcheka akienda Amref ndani ya 5 yrs za mshahara wewe utafanya kazi 15yrs na bado hutamkuta kimaendeleo.
Akipiga hatua akafanikiwa kupenya UN ndio basi tena huyo gap lake kwa mwaka mmoja tu ni miaka yako 10!
Yani labda awe kilaza pro max ambaye hana ambitions katika maisha.
Hahahahah akiacha kazi ndio ataona jinsi buku ilivyo na nguvu😅!In short, kama una uwezo wa kuzalisha pesa kubwa kwa mwezi kuliko kile unacholipwa kazini, ACHA KAZI.
Ila usije ukaacha kazi ukafikiri IDEAS na MOTIVATIONAL QUOTES zinalipa BILLS.
Akili kichwani.
Ufanisi gani wakati Kazi za udaktari inahitaji mtu mwenye sharp mind na sio kilaza.Mmeanza tena mnataka kuwaita watu vilaza,kuna watu wenye ufaulu mdogo wanapokuwa kazini wanafanya kazi kwa ufanisi kuliko wewe mwenye ufaulu mkubwa.
Binadamu tunajisahau sana. Mara nyingi hata tukipata kidogo tunadhani tunastahili zaidi.Hahahahah akiacha kazi ndio ataona jinsi buku ilivyo na nguvu😅!
Kuikusanya laki 6 kwa hustling bila jasho na damu kukutoka sio masihara! Unahitaji so many sleepless nights to make that money unless otherwise uwe na mchongo umenyooka kuwa ukitia hela tu inaingiza hela.
Mkuu hii haiondoi ukweli kwamba maslahi kibongobongo ni kidogo sana....Binadamu tunajisahau sana. Mara nyingi hata tukipata kidogo tunadhani tunastahili zaidi.
Leo mtu analipwa laki 6 analalamika lakini kuna watu wenye taaluma kama yake hawapati hata 100 mbovu🤣.
Maisha yasikie tu.
Unaweza kuona CO anafanya kazi kwenye NGO anakunja 3M ukatamani. Lakini acha kazi uone kama utaweza kupata hata hiyo laki 6 kwa mwezi.
Mimi nashukuru Mungu maisha niliyopitia yamenifunza kuangalia kila kitu kwa UHALISIA.
Kwenye maisha usipende sana kuishi kwa "INGELIKUWA HIVI, NINGE......."
Hicho unachokiona ndio halali yako kwa wakati huo.
Tembea mtaani uone watu wanarogana mpaka kwenye vibarua vya kulipwa 40,000 kwa mwezi.