Come27
JF-Expert Member
- Dec 1, 2012
- 7,723
- 7,408
Umezungumzia Sinza. Watu waliopo mkuuungu Dodoma watapafahamu apoKwani kuna fofauti ndugu? MD ni 1,000,000/=. Hawezi hata kupanga Sinza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umezungumzia Sinza. Watu waliopo mkuuungu Dodoma watapafahamu apoKwani kuna fofauti ndugu? MD ni 1,000,000/=. Hawezi hata kupanga Sinza.
Mie nakubaliana na ww asilimia mia ,ila ukiangalia kwa undani mishahara inapangwa kulingana na level ya elimu.cha muhimu Fanya kazi kwa mda kasome MD .ulipwa hiyo 1.5 M
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Laki 6 ya CO na hiyo milioni moja ya MD ni ipi kubwa?
Maana hoja ya jamaa ni kuongeza salari.
😂😂😂😂😂😂Kubwa laki sita ya CO
Umezungumzia Sinza. Watu waliopo mkuuungu Dodoma watapafahamu apo
Laki 6 ya CO na hiyo milioni moja ya MD ni ipi kubwa?
Maana hoja ya jamaa ni kuongeza salari.
Binafsi huwa naona watu wanaostahili kulalamika ni Nurses.Clinical officers wanafanya kazi kubwa sana kunusuru Maisha ya watu, kumlipa CO laki 6 ambayo ni sawa na Tsh elfu 20 kwa siku tena hapo bado makato sio haki hata kidogo.
Tukianza na sekondari ,huyu Co alilipa ada kubwa tofauti na wanafunzi wengine wanaosoma michepuo ya biashara na sanaa.
Pia asilimia kubwa ya CO's wa sasa walipita ngazi ya advance na walilipa ada kubwa mno tofauti na michepuo mingine mf PCM,hkl,hge eca nk.
CO hata Kwenda field tu analipia wakati fani zingine field hulipii Bali wewe ndiye unalipwa.
Serikali wajitahidi kumuongezea Hela CO angalau laki 8 kwa mwezi.
MD Mshahara sio chini ya 1.4-1.5 kama sikosei hiyo 1M sijui mmeitoa wapiUsome miaka 5 + 1 internship ili uje uongeze msharaha kwa laki 4??!!
Clinical officers wanafanya kazi kubwa sana kunusuru Maisha ya watu, kumlipa CO laki 6 ambayo ni sawa na Tsh elfu 20 kwa siku tena hapo bado makato sio haki hata kidogo.
Tukianza na sekondari ,huyu Co alilipa ada kubwa tofauti na wanafunzi wengine wanaosoma michepuo ya biashara na sanaa.
Pia asilimia kubwa ya CO's wa sasa walipita ngazi ya advance na walilipa ada kubwa mno tofauti na michepuo mingine mf PCM,hkl,hge eca nk.
CO hata Kwenda field tu analipia wakati fani zingine field hulipii Bali wewe ndiye unalipwa.
Serikali wajitahidi kumuongezea Hela CO angalau laki 8 kwa mwezi.
Hakuna kitu kigumu kama CO kwenda MD. Ukipata ni bahati ya Mungu kakuangazia tu.Rudi chuo kasome uwe daktari (MD).
MD Mshahara sio chini ya 1.4-1.5 kama sikosei hiyo 1M sijui mmeitoa wapi
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Huyu dogo anatafuta attention tu hakuna asilolijua...Binafsi huwa naona watu wanaostahili kulalamika ni Nurses.
Kazi nyingi na departments nyingi wao ndio wanafanya kazi.
Kazinzote za kujaza MTUHA, kufanya usafi ni wao.
Kazi mpaka Weekends, sikukuu na usiku wa maanane.
Kazi za Labour kila siku cases mpya tena siku hizi Primes kibao, nurses hawalali usiku. Na sasa hivi mama mjamziti akifia Labour sijui utatoa maelezo gani mpaka serikali ikuelewe.
Na baya zaidi Bachelor Nursing ni 4 good years lakini mshahara wao ni TGHS C ambayo ni sawa na watu wa Lab, EHS, na HSM ambao husoma Bachelor miaka 3.
Co kulipwa unalialia ni upuuzi wakati hata kazi nyingi huna. Unajipa umuhimu usiokuwa nao.
Mara nyingi hizi huwa ni vijianafunzi, havijui hali halisi.Huyu dogo anatafuta attention tu hakuna asilolijua...
Mshahara siku zote huwa hautoshi...
kama kazi imekushinda acha ili wengine wachukue hiyo nafasi maana kuna watu wengi wanaelimu zao kukuzidi wewe wamejazana mitaani hawana hata kazi ya kusingiziwa na wanahamu na kazi kwelikweli.Clinical officers wanafanya kazi kubwa sana kunusuru Maisha ya watu, kumlipa CO laki 6 ambayo ni sawa na Tsh elfu 20 kwa siku tena hapo bado makato sio haki hata kidogo.
Tukianza na sekondari ,huyu Co alilipa ada kubwa tofauti na wanafunzi wengine wanaosoma michepuo ya biashara na sanaa.
Pia asilimia kubwa ya CO's wa sasa walipita ngazi ya advance na walilipa ada kubwa mno tofauti na michepuo mingine mf PCM,hkl,hge eca nk.
CO hata Kwenda field tu analipia wakati fani zingine field hulipii Bali wewe ndiye unalipwa.
Serikali wajitahidi kumuongezea Hela CO angalau laki 8 kwa mwezi.
Nakuunga mkono watu wanaoapaswa kulipwa hela na posho za kutosha ni manesi..mana waaanza na mgonjwa mpaka anapotoka either mzima au amefariki..co wazee wa kuguugo diagnosis na treatment hata laki 6 wanapendelewa sana.Binafsi huwa naona watu wanaostahili kulalamika ni Nurses.
Kazi nyingi na departments nyingi wao ndio wanafanya kazi.
Kazi zote za kujaza MTUHA, kufanya usafi ni wao.
Kazi mpaka Weekends, sikukuu na usiku wa maanane.
Kazi za Labour kila siku cases mpya tena siku hizi Primes kibao, nurses hawalali usiku. Na sasa hivi mama mjamziti akifia Labour sijui utatoa maelezo gani mpaka serikali ikuelewe.
Na baya zaidi Bachelor Nursing ni 4 good years lakini mshahara wao ni TGHS C ambayo ni sawa na watu wa Lab, EHS, na HSM ambao husoma Bachelor miaka 3.
Co kulipwa laki 6 unalialia ni upuuzi wakati hata kazi nyingi huna. Unajipa umuhimu usiokuwa nao.