Geniustin
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 4,371
- 2,834
Kweli maslahi ya Nesi yanahitajika kuangaliwa upya, Waboreshewe.Wazee wa kugugo Diagnosis na kusoma prescription kwenye vitabu.
Kila Diagnosis ni UTI [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawa watu bana.
Nurses wanakomaa na Labour, RCH, CTC, Triage
Vituo visipokuwa na pharmacist wao ndio wanakaa kubabakee,[emoji1787]
Halafu kinatokea ki-CO kimoja na shule yake ya Tandabui kinaona mshahara hautoshi[emoji1787]