MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 3,294
- 4,920
Ndiyo hivyo. Kiongozi makini na mstaarabu kamwe abadani hawezi mpa nafasi Makonda. Lakini kwa CCM hii imetokea kwa sababu Hayati Magufuli alishawazoesha siasa chafu.
Hapo katikati walijaribu kurudi lakini hoja za siasa toka upande wa pili zinawashinda majukwaani.
Wameamua kurudisha warusha matusi ili kuvuruga nchi kama ilivyokua wakati wa mwendazake.
Ili kurudisha fadhila hawa akina Makonda ambao hawakustahili kupewa nafasi watafanya juu chini kuwafurahisha waliowateua.
Tupo tunamwangalia mama kama atafunua mdomo tena kuhubiri siasa za kistaarabu.
Rais Samia kauzika ustaarabu rasmi kwa mikono yake sasa hana wa kumlaumu