Kumrudisha Makonda Katika Uongozi ni Ishara Tosha kuwa CCM Hawaziwezi Siasa za Kistaarabu Kama Wanavyojinasibu

Ndiyo hivyo. Kiongozi makini na mstaarabu kamwe abadani hawezi mpa nafasi Makonda. Lakini kwa CCM hii imetokea kwa sababu Hayati Magufuli alishawazoesha siasa chafu.

Hapo katikati walijaribu kurudi lakini hoja za siasa toka upande wa pili zinawashinda majukwaani.

Wameamua kurudisha warusha matusi ili kuvuruga nchi kama ilivyokua wakati wa mwendazake.

Ili kurudisha fadhila hawa akina Makonda ambao hawakustahili kupewa nafasi watafanya juu chini kuwafurahisha waliowateua.

Tupo tunamwangalia mama kama atafunua mdomo tena kuhubiri siasa za kistaarabu.

Rais Samia kauzika ustaarabu rasmi kwa mikono yake sasa hana wa kumlaumu
Kifupi wamekata umeme wanataka goli la mkono la police na wakurugenzi
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Ukiondoa makandokando take, Konda Boy is the best on that position!.

Mimi nilianza nae hapa Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
Nikaja hapa Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni
Alipopitia misukosuko tukasimama nae kwanza kwa kutoa wito Ndugu, Jamaa na Marafiki, Njooni Tumtetee Makonda Dhidi ya Mapapa Wauza Unga Wanaomzushia... kisha tukamshauri Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho Dhidi ya Mafanikio Yake!. Makonda Wapuuze! .
Kuna watu wenye roho za kwanini tukawaambia Wale mnaosubiri kwa hamu Makonda atumbuliwe, mtasubiri sana!. Ukiwa ni mpakwa mafuta, ni mpakwa mafuta!
Na mwisho nikapendekeza Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze...

Hivyo mheshimiwa sana Mwenezi Paul Christian Makonda, Konda Boy is the best in that post ila asi overdo things!.

P
Mchumia tumbo sasa huna tofauti na lowasa uzee na kuchoka utadhania umri sawa nae utaacha kuishi kwa kutegemea taulo ndio maisha ya nzi wa kijani maisha yao. Nilikuona siku moja mahali Arusha nilitaka kulia km kizee hata kutembea huwezi utaacha kutafuta taulo babu hustle tena Huwezi ukiwa tv ulikuwa handsome na kukubali sana
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Ukiondoa makandokando take, Konda Boy is the best on that position!.

Mimi nilianza nae hapa Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
Nikaja hapa Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni
Alipopitia misukosuko tukasimama nae kwanza kwa kutoa wito Ndugu, Jamaa na Marafiki, Njooni Tumtetee Makonda Dhidi ya Mapapa Wauza Unga Wanaomzushia... kisha tukamshauri Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho Dhidi ya Mafanikio Yake!. Makonda Wapuuze! .
Kuna watu wenye roho za kwanini tukawaambia Wale mnaosubiri kwa hamu Makonda atumbuliwe, mtasubiri sana!. Ukiwa ni mpakwa mafuta, ni mpakwa mafuta!
Na mwisho nikapendekeza Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze...

Hivyo mheshimiwa sana Mwenezi Paul Christian Makonda, Konda Boy is the best in that post ila asi overdo things!.

P
Makandokando yanayoumiza wengine pasipo sababu unaona bora sio!?hivi huwa mna chuo cha unafiqw au shida shekeli!?.
 
Ndiyo hivyo. Kiongozi makini na mstaarabu kamwe abadani hawezi mpa nafasi Makonda. Lakini kwa CCM hii imetokea kwa sababu Hayati Magufuli alishawazoesha siasa chafu.

Hapo katikati walijaribu kurudi lakini hoja za siasa toka upande wa pili zinawashinda majukwaani.

Wameamua kurudisha warusha matusi ili kuvuruga nchi kama ilivyokua wakati wa mwendazake.

Ili kurudisha fadhila hawa akina Makonda ambao hawakustahili kupewa nafasi watafanya juu chini kuwafurahisha waliowateua.

Tupo tunamwangalia mama kama atafunua mdomo tena kuhubiri siasa za kistaarabu.

Rais Samia kauzika ustaarabu rasmi kwa mikono yake sasa hana wa kumlaumu
WAMEMRUDISHA MUUAJI WAWARUDISHE NA KINA SABAYA NA HAPI

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom