Kumruhusu binti akajitafutie maisha ni kumfanya awe Malaya

namuapiza mana amehukumu baadhi ya watu unjustly bila kujali background za watu
Wengine hali za maisha ni ngumu they're just to survive
Ana uhakika atakuwepo na atakua na uwezo binti wakiwa wakubwa?
The only way is to wait aone kama atayaishi
Dunia haiko fair na wote tunajua hilo

No solution fits all...
Kila mtu na lwake anajipambania
 
Lakini tabia hudhibitiwa mapema utotoni.

Malezi ndio kila kitu kwenye
Tabia nyingine zipo kweny damu,
Huwezi shindanisha damu ya kichaga na damu ya kirangi au kimbulu.
Kila kitu kina. Asili yake
 
Hao ni wale wavivu wa kazi za kilimo na kazi nyingine ngumu, wanaona njia rahisi ni kuuza miili yao, wanapenda maisha laini laini yasio toa jasho,
Pia kurudi makwao au kijijini wanaona aibu
 
Mbona una negativity sana wewe dada?
Unataka kutuaminisha kwamba nyinyi wanawake huwa mna entatain Upuuzi huo wa kujipangia muwe na Uhuru mnaoutaka cyo

Au probably we ni lust nn naona una defend sana hizo tabia na ishara za ki proschucha😂😂
 
Hadi nimesahau hii mada ilikua ni issue gani

But hakuna ajuae kesho
Mwenyezi atustiri tu Amiin
 
Mi namfahamu binti mmoja,anafanya kazi za mahotelini,kama mwaka sasa aliondolewa ktk hotel moja pale Arusha na akaanza kutafuta kazi tena,yaani anavyo nyanyasika ni balaa...sasa hivi yuko huko Zanzibar anatafuta kazi za mahotelini utadhani hana wazazi,sometimes mpaka namhurumia,ni kweli kabisa mzazi kumuacha binti aende kujitegemea yaani panga pangua atakua malaya tu,either malaya wa wazi au malaya mstaarabu,ktk kubahatisha bahatisha kazi lazima atachezewa sana sana,na hata akipata kazi na amepanga amejitegemea bado atacgezewa tu maana wao wamezoea kupewa pewa mahitaji na by the way ndiyo asili ilivyo,unakuta anabadilisha wanaume yamkini kwa mwaka watatu mpaka wanne,achana na wale wa kutokea tu kama mawingu ya mvua,yaani aisee
 
vijana siku hizi wanataka tu namba ya sim bac
 

Hatari Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…