EP MEDICS COSMETICS STORE
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 2,826
- 4,593
Malezi na Maadili yako nyumbani sio mtaaniNdoa inatafutwa mtaani sio nyumbani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Malezi na Maadili yako nyumbani sio mtaaniNdoa inatafutwa mtaani sio nyumbani.
KUMRUHUSU BINTI AONDEKE NYUMBANI AKAJITAFUTIE MAISHA NI KUMFANYA AWE MALAYA!
Anaandika, Robert Heriel.
Mwanamke hatafuti maisha Ila anatafutiwa, maisha ya mwanamke yapo Kwa mume wake au Mzazi wake. Ni hatari na kosa kubwa kumruhusu binti yako akatafute maisha. Mwanaume ndiye anayekula Kwa jasho, neno Kula Kwa jasho linamaanisha "kutafuta" ili utafute basi itakupasa usijue kitu unachokitafuta kipo wapi na utakipata lini.
Mzazi unaanzaje kumruhusu Binti yako umpendaye akatafute maisha ambayo hajui yako wapi na atayapata lini, huo ni upumbavu, na kutokumpenda binti yako.
Binti anapaswa akishakua anaandaliwa mazingira ya kuolewa, Kama atakuwa amebahatika kupata kazi basi Alhamdulullah!
Kumruhusu binti akatafute maisha inamaanisha umeruhusu binti yako afanye umalaya,
1. Binti aombe kazi akiwa nyumbani kwako au nyumbani Kwa Ndugu yako unayemuamini bila kujali umri wa binti yako.
2. Usimruhusu binti kupanga chumba na kujitegemea ikiwa hana kazi maalumu, hajaajiriwa.
Mzazi ni Bora umuajiri binti yako mwenyewe ikiwa Ajira zinasumbua kuliko binti ajiajiri mwenyewe akiwa mbali na hapo nyumbani.
3. Binti akifikia umri wa kuolewa, hakikisheni anaolewa iwe Kwa Kupenda mwenyewe au kutokupenda.
Mwambieni umri wa kuolewa umefika, Kama anamchumba amlete nyumbani. Kama hana mwambie mnampa muda Fulani amlete mchumba akishindwa mwambieni mtamtafutia ninyi wenyewe.
4. Ni marufuku binti kufanya kazi za kujidhalilisha utu wake, au zenye mazingira ya kuudhalilisha utu wake. Kama Muziki wa kidunia. Sio binti anafanya vitu vya kipuuzi puuzi na kuanika uchi wake kwenye majukwaa Kama mwendawazimu.
5. Kama binti atapata kazi ya kuajiriwa mbali na nyumbani, akapanga nyumba basi muambieni mtampatia ndugu mdogo WA kuishi naye na kumsaidia kazi.
6. Ni vizuri umuozeshe binti yako Kwa kijana mnayeheshimiana hii itapunguza uonevu, unyanyasaji na hata kutalakiana kusiko Kwa muhimu.
Sio binti aokote wahuni wahuni wa uko mjini wasio ijua hata Imani na maana ya ndoa.
7. Mfanye binti yako akuelewe unataka nini kwake. Hii itapunguza mifarakano baina yako na yeye. Binti Yako asipokuelewa atakuwa mbaya zaidi.
8. Mtiishe mama yake na kumfanya mama yake awe Mke Bora ili aige kutoka Kwa Mama yake.
Mke wako akikushinda basi hata watoto wako watakushinda, hakikisha mkeo umemshepu vile unavyotaka ili isikusumbue katika malezi ya binti zako.
Madhara ya kushindwa kumtiiisha Mkeo utayaona Kwa watoto wako.
9. Usikubali mtu amchezee Binti Yako ungali upo hai.
Hakikisha Jambo hilo binti yako analifahamu. Hiyo itamfanya hata yeye asikubali mtu yeyote amchezee.
Ikiwa utashindwa kumlinda binti yako na kumpigania Kwa nguvu zote basi hata yeye atashindwa kujilinda na kujipigania.
Kitu chochote kisicholindwa kamwe hakiwezi ijua thamani yake. Hivyo hata chenyewe hakitaweza kujilinda.
10. Mfanye binti yako asiwe na Shaka juu ya Maisha. Mwambie hapo nyumbani ni kwao. Asiwe na presha ya kujitegemea kwani mwanamke hapaswi kuwa na fikra hizo. Mwambie, mwanamke ananyumba mbili, Kwao na Kwa mume wake.
Wakati mwanaume hana nyumba hata moja. Hata alizojenga sio zake.
Kuruhusu mwanamke kutafuta maisha NI Kumtupa kwenye shimo lenye nyoka wakali.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Safarini kuelekea Arusha,
Washauri wa ndoa wanapendekeza
1.kuoa mke aliyetoka Chini ya imaya ya wazazi wake (kwenda kuwa chini ya mume)-NDOA KUWA NZURI NI UHAKIKA
2.Na kuchukua tahadhari zote kuoa mwanamke aliyeanza kujitegemea (WENGI WANAISHI KWA HISANI YA WANAUME WENGI, UCHI WAO UKIWA NI DHAMANA AA KUISHI KWAO)-NDOA ZINAKUWA HALI TETE!

Primitive thinking.
Ha ha ha
Maake aPo ncheke 😂😂😂!
We mwanamke huyo wa kumfanya hivyo labda awe kasomea chuo cha madrasa. Ila kama aliPitia miaka 3 ya chuo basi tambua tu kuwa haliwezekani
Hiyo dhana ya umyafutie binti maisha yake inapendeza sana kuisikia ila ukweli wa mambo ni kuwa si kila baba anaweza kufanikiwa hilo kwa asilimia mia, la msingi ni kule mabinti wawe mahodari na wapambanaji wawezao kumudu changamoyo nyingi za kidunia, huwezi kulinda binti yake maisha yake yote lazima akue mkubwa aweze kusimama yeye kama yeyeKwa jinsi maisha yalivyo ni Bora umtafutie binti maisha yake, mwanaume ndiye mtafutaji
Utafiti gani uliwahi kufanya ukasema mwanamke lazima awe muoga??? Uoga ni tabia inayoweza kutokomezwa kwa malezi, lea binti yako awe binti shupavu asiwe muoga muogaMwanamke bila uoga haitwi mwanamke.
Unasomea mwanamke jua unamzungumzia kiumbe gani!
Ni wewe huyu huyu mwisho wa siku utaishia kusema wanawake wanataka kututawalaUtafiti gani uliwahi kufanya ukasema mwanamke lazima awe muoga??? Uoga ni tabia inayoweza kutokomezwa kwa malezi, lea binti yako awe binti shupavu asiwe muoga muoga
Huyo binti yako ndio mama wa wajukuu wako, imagine awe mama mzembe mzembe hao wajukuu wako atawalea mazingira gani dunia hii???!!!! /
Safari njema…
Ila uhuni/ umalaya ni tabia ya mtu tu, hata kama yuko nyumbani anaweza akafanya vile vile unless uwe unashinda nae asubuhi mpk usiku…
Imagine baba na mama wote mnatoka kurudi ni jioni/ usiku… na yeye si atatoka kurudi atawafanyia timing.
Muhimu ni malezi..
Umalaya ni tabia
Lakini tabia hudhibitiwa mapema utotoni.
Malezi ndio kila kitu kwenye Maisha ya binadamu.
Mlee mtoto katika njia impasayo naye hataiacha mpaka atakapokuwa Mzee.
90% ya tabia mbovu za vijana ni malezi mabovu kutoka Kwa wazazi. Hiyo ipo hivyo popote pale Duniani
Kweli huwezi kupeleka pumbu unaenda kuoa kwa tajiri kama huna cash na weweKwako na Kwa watu masikini ndio hayawezekaniki.
Ila Familia zote kubwa zinatumia kanuni hizo,
Mtoto umzae mwenyewe alafu akushinde labda uwe umeamua mwenyewe.
Matajiri wote na watawala huchagulia watoto wao watu wa kuwaoa au kuolewa nao.
Jambo linalowashinda wengi/masikini ndilo hilohilo wanalolifanya wachache waliofanikiwa
Kwa hiyo wazee wetu walilelea watoto kuwa mashoga why 1/3 kwenye familia?
Kwa nini siyo wote kama issue ni malezi,?
Unajua levels za malezi?
Salute kwako unajitahidi sana kutoa Ilim.
Kama ni hivyo hakuna mwanamke Malaya Kwa falsafa hiyo