Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #21
Primitive thinking.
Na hapo ndipo Wazee waliopinga elimu ya mkoloni kipindi kile wanapopata point za msingi kutokana na uwe WA watu Kama wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Primitive thinking.
Huyo jamaa yako hakuwa na misingi mizuri tu ya kimaisha (kiuchumi), na pengine hakuwa anapendwa maana watoto wa kike wa vigogo wakikupenda wamekupenda for real (hawajafata mali kwako).Kuna familia bana wamefanya hili, tukashangaaa ila ndiyo hivyo!! Watu tukabaki kusema wana mambo ya kale sana, ila imeunganishwa familia yenye mafanikio na familia iliyofanikiwa zaidi...
Atakuwa alikuwa haeleweki na binti kwao wanaona umri unaenda.Huyo jamaa yako hakuwa na misingi mizuri tu ya kimaisha (kiuchumi), na pengine hakuwa anapendwa maana watoto wa kike wa vigogo wakikupenda wamekupenda for real (hawajafata mali kwako).
Usi-generalize hivyo mkuu ilikuonyesha tu kuwa yote uliyoyasema kwenye uzi wako ni valid, swala la kusema matajiri WOTE huwachagulia mabinti zao sio kweli (wapo ila sio wote), mara nyingi wao huangalia mtu smart kiakili na aliyeridhiwa na binti yao.Kwako na Kwa watu masikini ndio hayawezekaniki.
Ila Familia zote kubwa zinatumia kanuni hizo...
Halafu wewe mleta mada huna wazazi wakukemee uache kuandika mambo ya wanawake
Una Tatizo gani?
Kutwa kuandika mambo ya like
Mambo ya wanawake waachie wenyewe
Wanajua cha kufundishana kitchen party unatia aibu.Mwenye ndugu anayemfahamu Huyu mleta mada mwambieni ya wanawake aache
Mapenzi hayawezi kutengenezewa mazingira mazuri na wazazi bila ya wao wapenzi wawili kuelewana na kuridhiana mkuu, na haiwezi kuwa rahisi huko kwenye ndoa kama unavyodai.Mbona zinaoana Mkuu!
Binti anaweza akaleta Mkwe ukaweka mazingira ya Mkwe kuelewana na wewe na kukuheshimu. Mbona rahisi sana
Usi-generalize hivyo mkuu ilikuonyesha tu kuwa yote uliyoyasema kwenye uzi wako ni valid, swala la kusema matajiri WOTE huwachagulia mabinti zao sio kweli (wapo ila sio wote), mara nyingi wao huangalia mtu smart kiakili na aliyeridhiwa na binti yao...
Mapenzi hayawezi kutengenezewa mazingira mazuri na wazazi bila ya wao wapenzi wawili kuelewana na kuridhiana mkuu, na haiwezi kuwa rahisi huko kwenye ndoa kama unavyodai.
Kwamba watu fulani wapendane na waishi kwa amani kwakua wazazi wametaka, kwa miaka mingapi, vipi hao wazazi ikifikia wakati wasiwepo?
Ndio nilichomaanisha , au kama angekuwa na uhakika kabisa kuwa huyu binti ndiye atekaemuoa na kuisha nae isipokuwa mambo bado anajipanga angeenda tu kwakina binti kujitambulisha kisha akamjaza hata kibendi (kwa kumshawishi yule binti).Atakuwa alikuwa haeleweki na binti kwao wanaona umri unaenda.
Angeweka misimamo na kwenda kujitambulisha mapema anagalau wangejua yupo serious
Ukisema hivyo unaeleweka mkuu, na sio kutumia neno "MATAJIRI WOTE".Ninakuelewa Mkuu!
Ila tunajumuisha mambo Kwa kuangalia wingi/mzani ulipoegemea
Ukisema hivyo unaeleweka mkuu, na sio kutumia neno "MATAJIRI WOTE".
ndy wapo kazin iyo nikaz kam kazi zingineKama ni hivyo hakuna mwanamke Malaya Kwa falsafa hiyo
Hata Mungu amepiga marufuku mabinti wadogo kuwa wajane, wakifiwa na waume zao na waolewe mapema, hilo suala la kulea wenyewe sio haki yao.Maisha ya kizamani hayo.
Kwanini usimruhusu binti ajitegemee??
Akifika umri wa mtu mzima wacha akapambane huko, kukaa ndani kama yai na kusubili kuletewa kila kitu kunamlemaza.
Hao ndo wakiolewa na bahati mbaya waume zao wakafariki mapema baada ndoa hushindwa kuendesha famili kwakua na misingi mibovu, hawezi kitu chochote kile ye kazoea kulishwa kama kinda la ndege.
Ushauri wako unatengeneza kizazi cha wanawake waoga wasioweza kthubutu na kuchangamkia fursa, wanawake waoga wasioweza kutunza familia zao wala kulea watoto wao.
Na wanaojichagulia wenyewe wanashindwa kudumu kwenye ndoa hata kwa miezi sita Mahakamani kila siku zinafunguliwa kesi za kuomba kutalikiana na vijana hao hao waliojichagulia wachumba wenyewe, sasa kipi bora ujima au usasa? Huu usasa tuwaachie wenyewe sisi waafrika tuna tamaduni zutu ivyo tuzienzi na kuwafundisha watoto wetuHayo yalikuwa ni ya enzi za Ujima na yaliwezekana kipindi hicho.
Ila sasa mambo yamebadilika, huwezi kumchagulia binti mtu wa kuolewa nae na wala huwezi kumlazimisha kuolewa.
Kwa kifupi uliyoyaandika karibia yote hayawezekani.
Usiseme hivyo jamani,sawa unaweza kusema maana hamna kanuni uliyoivunja.Lakini ujue(kwa mtazamo) siyo VYEDI!Primitive thinking.
Kila mzazi angependa hivyo ila tatizo linakuja, hauna uhakika kama huyo binti yako atakuja kuolewa na mtu sahihi. Anaweza akajituliza akaja kuolewa na mtu mshenzi ukaja kujuta kuwa bora mwanao angeweza kujitegemea hivyo angeepuka kunyanyasa. Si hivyo tu, utakuta familia nyengine binti ndio kasoma na ana nafasi amabayo akitumia vizuri atamsaidia familia, sasa kwa hali hiyo, unataka wazazi wamng'ang'anie aache kujitafutia fursa na riziki zake????!!!!!KUMRUHUSU BINTI AONDEKE NYUMBANI AKAJITAFUTIE MAISHA NI KUMFANYA AWE MALAYA!
Anaandika, Robert Heriel.
Mwanamke hatafuti maisha Ila anatafutiwa, maisha ya mwanamke yapo Kwa mume wake au Mzazi wake. Ni hatari na kosa kubwa kumruhusu binti yako akatafute maisha. Mwanaume ndiye anayekula Kwa jasho, neno Kula Kwa jasho linamaanisha "kutafuta" ili utafute basi itakupasa usijue kitu unachokitafuta kipo wapi na utakipata lini.
Mzazi unaanzaje kumruhusu Binti yako umpendaye akatafute maisha ambayo hajui yako wapi na atayapata lini, huo ni upumbavu, na kutokumpenda binti yako.
Binti anapaswa akishakua anaandaliwa mazingira ya kuolewa, Kama atakuwa amebahatika kupata kazi basi Alhamdulullah!
Kumruhusu binti akatafute maisha inamaanisha umeruhusu binti yako afanye umalaya,
1. Binti aombe kazi akiwa nyumbani kwako au nyumbani Kwa Ndugu yako unayemuamini bila kujali umri wa binti yako.
2. Usimruhusu binti kupanga chumba na kujitegemea ikiwa hana kazi maalumu, hajaajiriwa.
Mzazi ni Bora umuajiri binti yako mwenyewe ikiwa Ajira zinasumbua kuliko binti ajiajiri mwenyewe akiwa mbali na hapo nyumbani.
3. Binti akifikia umri wa kuolewa, hakikisheni anaolewa iwe Kwa Kupenda mwenyewe au kutokupenda.
Mwambieni umri wa kuolewa umefika, Kama anamchumba amlete nyumbani. Kama hana mwambie mnampa muda Fulani amlete mchumba akishindwa mwambieni mtamtafutia ninyi wenyewe.
4. Ni marufuku binti kufanya kazi za kujidhalilisha utu wake, au zenye mazingira ya kuudhalilisha utu wake. Kama Muziki wa kidunia. Sio binti anafanya vitu vya kipuuzi puuzi na kuanika uchi wake kwenye majukwaa Kama mwendawazimu.
5. Kama binti atapata kazi ya kuajiriwa mbali na nyumbani, akapanga nyumba basi muambieni mtampatia ndugu mdogo WA kuishi naye na kumsaidia kazi.
6. Ni vizuri umuozeshe binti yako Kwa kijana mnayeheshimiana hii itapunguza uonevu, unyanyasaji na hata kutalakiana kusiko Kwa muhimu.
Sio binti aokote wahuni wahuni wa uko mjini wasio ijua hata Imani na maana ya ndoa.
7. Mfanye binti yako akuelewe unataka nini kwake. Hii itapunguza mifarakano baina yako na yeye. Binti Yako asipokuelewa atakuwa mbaya zaidi.
8. Mtiishe mama yake na kumfanya mama yake awe Mke Bora ili aige kutoka Kwa Mama yake.
Mke wako akikushinda basi hata watoto wako watakushinda, hakikisha mkeo umemshepu vile unavyotaka ili isikusumbue katika malezi ya binti zako.
Madhara ya kushindwa kumtiiisha Mkeo utayaona Kwa watoto wako.
9. Usikubali mtu amchezee Binti Yako ungali upo hai.
Hakikisha Jambo hilo binti yako analifahamu. Hiyo itamfanya hata yeye asikubali mtu yeyote amchezee.
Ikiwa utashindwa kumlinda binti yako na kumpigania Kwa nguvu zote basi hata yeye atashindwa kujilinda na kujipigania.
Kitu chochote kisicholindwa kamwe hakiwezi ijua thamani yake. Hivyo hata chenyewe hakitaweza kujilinda.
10. Mfanye binti yako asiwe na Shaka juu ya Maisha. Mwambie hapo nyumbani ni kwao. Asiwe na presha ya kujitegemea kwani mwanamke hapaswi kuwa na fikra hizo. Mwambie, mwanamke ananyumba mbili, Kwao na Kwa mume wake.
Wakati mwanaume hana nyumba hata moja. Hata alizojenga sio zake.
Kuruhusu mwanamke kutafuta maisha NI Kumtupa kwenye shimo lenye nyoka wakali.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Safarini kuelekea Arusha,