Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 40,051
- 51,217
- Thread starter
- #41
Makonda hana legitimacy yeyote kuwasemea watu wa Arusha kama vile angewasemea watu wa kwao.Na katika matatizo yote ya hii nchi yetu hili ndio umaona ni TATIZO; Kwamba mtu sio MZAWA ?!!!
Mbona kama tunataka kuleta matatizo kwa kuyavika jamvi la maendeleo ?!!!
Pale hana mama, kaka, dada, mjomba, shangazi wala yeyote ambaye anaweza muonea huruma au aibu asipowasilisha matatizo yao.
Yeye anawatumia tu watu wa Arusha kama ngazi ya mafanikio yake.