Kumruhusu Makonda kugombea ni sawa na kuruhusu mvurugano baina ya wakuu wa mikoa, wilaya na wabunge kwenye kila mkoa

Kumruhusu Makonda kugombea ni sawa na kuruhusu mvurugano baina ya wakuu wa mikoa, wilaya na wabunge kwenye kila mkoa

Kwa nini watu wanaumiza vichwa kuhusu wabunge? Binafsi ningefurahi bunge lisingekuwepo kwa sababu kama ni kuwakilisha wananchi basi hiyo kazi inafanywa na wengi tena bure kwenye huu ulimwengu wa digital. Naweza kuwa Mutukula nikajua kinachoendelea Bombambili, Songea. Kama ni kutunga sheria ni kwamba wabunge hawatungi sheria.... wao kazi yao kuu ni kupitisha tu miswada kwa kura ya ndiyo. Mtu kama Babutale anatunga sheria gani? Huo muswada anaweza soma akaelewa? Wabunge ni wawakilishi wetu kwenye kuila keki ya taifa.
 
Back
Top Bottom