Kumruhusu Makonda kugombea ni sawa na kuruhusu mvurugano baina ya wakuu wa mikoa, wilaya na wabunge kwenye kila mkoa

Kumruhusu Makonda kugombea ni sawa na kuruhusu mvurugano baina ya wakuu wa mikoa, wilaya na wabunge kwenye kila mkoa

Wasiwasi wako tu, kwa hapa tz Ma Rc ambao sijawahi kuwakubali hata siku Moja ni huyo p na yule mama wamanyara. Wanapenda sana camera.
 
Rumors has it, kotebi sio mzawa lkn neary he is appeoaching to premiere so what do u say abt that?
 
Sote tunafahamu kuwa Makonda alikuja Arusha baada ya kuteuliwa kuwa mkuu wa Mkoa.

Kabla ya hapo, hakuwahi ishi zaidi ya mwaka mmoja.

Hana makazi ya kudumu.

Hajui matatizo ya watu wa Arusha na kuyasemea kwa undani kama mzawa.

Uwepo wake ni baada ya uteuzi tu, kama asingeteuliwa asingegombea Arusha kama alivyofanya Kigamboni alipokuwa Dar.

Kumruhusu Makonda kugombea Arusha baada ya kuwa mkuu wa mkoa, kutatengeneza alama mbaya ambayo mkuu wa mkoa yeyote atahakikisha kuwa anampiga vita Mbunge mzawa ili achukue jimbo, hii itatengeneza migogoro na kuchelewa kwa maendeleo katika mikoa husika.

Makonda anatakiwa aishie hapa, akiendelea zaidi ya hapa madhara yatakuwa makubwa sana kuliko akipita.
Wananchi wa Arusha ni kweli ni wajinga kiasi hiki?
 
Makonda hana legitimacy yeyote kuwasemea watu wa Arusha kama vile angewasemea watu wa kwao.

Pale hana mama, kaka, dada, mjomba, shangazi wala yeyote ambaye anaweza muonea huruma au aibu asipowasilisha matatizo yao.

Yeye anawatumia tu watu wa Arusha kama ngazi ya mafanikio yake.
Ni kweli kabisa! Kwa kawaida Mbunge anapaswa kulielewa vyema eneo lake la kiutawala pamoja na watu wake, ikiwemo Mila, desturi na tamaduni zao ambapo inakuwa rahisi kwake kuwawakilisha watu hao Kwa kuwafahamu Kwa undani na anaguswa na shida zao ambazo nyingine hutokana na changamoto za kiutamaduni, Mila na desturi zao. Je, huyu Makonda anazielewa vizuri Mila na desturi za watu wa Arusha kuliko anavyozielewa za wasukuma wa Misungwi???
 
Sote tunafahamu kuwa Makonda alikuja Arusha baada ya kuteuliwa kuwa mkuu wa Mkoa.

Kabla ya hapo, hakuwahi ishi zaidi ya mwaka mmoja.

Hana makazi ya kudumu.

Hajui matatizo ya watu wa Arusha na kuyasemea kwa undani kama mzawa.

Uwepo wake ni baada ya uteuzi tu, kama asingeteuliwa asingegombea Arusha kama alivyofanya Kigamboni alipokuwa Dar.

Kumruhusu Makonda kugombea Arusha baada ya kuwa mkuu wa mkoa, kutatengeneza alama mbaya ambayo mkuu wa mkoa yeyote atahakikisha kuwa anampiga vita Mbunge mzawa ili achukue jimbo, hii itatengeneza migogoro na kuchelewa kwa maendeleo katika mikoa husika.

Makonda anatakiwa aishie hapa, akiendelea zaidi ya hapa madhara yatakuwa makubwa sana kuliko akipita.
Tulia Gambo
 
Mkuu nikajua ni mtu wa facebook kaanda huu uzi,kumbe ni wewe
aiseeeee
 
Ni kosa kubwa sana kumruhusu kugombea Arusha.

Itatokea vurugu kubwa sana huko mbeleni nchi haitatawalika.

Mamlaka zitakuwa ni kusuluhisha migogoro tu ya wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya na wabunge.
Ah Polepole anasema nchi hii haitaki watu Softa hahahaha ''Softer''
 
Hata upige kelele bado atakuwa mbunge na maisha yake yataendelea wewe njoo kitaa kesho tule gambe
 
Ni kosa kubwa sana kumruhusu kugombea Arusha.

Itatokea vurugu kubwa sana huko mbeleni nchi haitatawalika.

Mamlaka zitakuwa ni kusuluhisha migogoro tu ya wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya na wabunge.
Kwenda zako huko
Ole wako ulete vurugu tuta ku fix mapema sana
 
Back
Top Bottom