Kumshambulia Hayati Magufuli kunaweza ligawa Taifa na kupunguza nguvu ya CCM kanda ya Ziwa

Nyumbu mkubwa wewe, utahalalishaje ufisadi wake bila ya wewe kutoa huduma bora kulikoni yeye??

Utahalalishaje ufujaji wa fedha wake, Ikiwa wewe hutofanya mara tano yake,??

Ujinga mzigo
Utapata ugonjwa wa moyo bure wewe mataga.
 
Hajui huyo inawezekana kipindi hicho alikuwa bado yupo ngokoro secondari maana kajiunga jf 18.03 2021.
Kuna vitu Melo anatakiwa ajiongeze, kuwe na madaraja ya majukwaa, siyo kutuchanganya na vitoto vidogo!
 
Kashindane naye umtoe bungeni, shida iko wapi, class 7 anakuwa bungeni halafu wewe msomi unakuwa unashinda mitandaoni Tu, Nani mjinga Kati yako na Lusinde ambaye yeye ni mbunge na wewe mtoa matusi mitandaoni??

Daaah!!
Hakuna mtu anatoa matusi kuliko wewe
 
Sasa kama unajua Mungu atamlipa Magufuli kelele za nini, si kaa kimya!

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
 
Hujui tu ni kwa namna gani uchagani walivyoumizwa na kuonewa. Bahati nzuri wachaga ni wapambanaji, ukishindana nao utaishia kupotea mwenyewe
 
Nachofurahia zile biashara zenu haramu za madawa ya kulevya zilikomeshwa, pumbavu zenyu kabisa

Mmeuwa vijana wengi Sana wauza ngada nyny
[emoji3][emoji3] pole sana mkuu,, mambo ya kujimwambafai yamekwenda na maji.
Niliwaambia wenzio ,,Uovu haudumu.
Hata ufanyeje ,, uovu utapita tu ndo maana shetani kaandaliwa jehanamu.
Usipoacha uovu nawe jehanam ni yako.

Ila pole sana,, honestly kutoka moyoni.
[emoji1666]

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Ambao wengi ni wajinga kama baadhi ya tafiti zilivyosema

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Haitakuwa na maana yoyote Ikiwa fisadi amei
Habari za cdm usiniambie mimi watajua wao .

Alafu kumbe nilikuwa najichoosha bure kuhangaika na mtu umejiunga 18.03.2021 hapa jf.
Yaani siku moja baada ya kifo cha mwendazake.

Bila shaka ulijiunga kwa kazi maalum na sasa unaifanya.
Hahaha!!

Ni namna tu mkuu, hata wewe unaweza kuonekana umejiunga Jana, kumbe upo hapa zaidi ya muongo mmoja nyuma
 
Magufuli ndio nani? Yule mwizi ambaye hapendi kusemwa?

Huyo mjinga alikuwa ni kama kansa ya taifa
Ukweli usemwe kwa mabaya aliotenda, matusi no, you have crossed the red line.
 
Sio kunaweza kumeshaligawa, kinacho takiwa sasa ni viongozi kutafuta mwarobani wa kutibu majeraha haya ambayo yako kwenye nyoyo za Watanzania wengi tayari. Kama hili halitafanyika ukweli huu utajidhihirisha ifikapo 2025. Na mpongeza PM Majaliwa kwa hotuba ya ofisi yake leo Bungeni ameonesha hayumbishwi na mijizi na mafisadi.

Mwanasiasa yeyote awe ndani ya au nje ya CCM atakaye tumia kudhalilishwa kwa hayati JPM vizuri na alijiepusha kujiingiza na hakukaa kimya akatbubutu kuikemea tabia hii atakuwa na mtaji wa kutosha wa kisiasa.
 
Huyo ni CHAWA
Mtu wa Kwanza kabisa Mimi kumwajili, nilikuwa namlipa 1M, je ungependa kuajiliwa na Mimi, mshahara mnono,gari ya kwendea kazini na Mahali pa kulala papo, lkn hii ni Kwa watu wenye akili zao, sasa wewe ninamashaka na wewe
 
Usichoshwe na ujinga unaoonekana mitandaoni mkuu, hakuna cha Taifa kugawanyika Wala nini,

Mbona kitaani Maisha ni mazuri yaani fulu shangwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…