Kumshambulia Hayati Magufuli kunaweza ligawa Taifa na kupunguza nguvu ya CCM kanda ya Ziwa

Kumshambulia Hayati Magufuli kunaweza ligawa Taifa na kupunguza nguvu ya CCM kanda ya Ziwa

Mimi nafikiri hapa hupaswi kumlaumu mtu labda kama wewe ni Msukuma! Kama kuna watu unapaswa kuwalaumu ni CAG kwa kuibua ufisadi wa kutisha uliofanywa na awamu ya Hayati katika Ripoti yake! Lakini hata CAG hapaswi kulaumiwa,kwani aliambiwa na Mheshimiwa Rais SSH kuwa asiwe na ndimi mbilimbili naye CAG akamua kulipua mabomu.
Harafu jamani Magufuri amekufa kwa siku yake aliyopangiwa na Mungu! Hatupaswi kulaumu kulialia kama kwamba atafufuka! Msipoangalia mtafikia hatua ya kumtukana Mungu kama akina Afande Sele.
Tukubali amekufa na kazi ya Mungu haina makosa!
 
Kwani uraiani nako watu wanamchukia Magufuli kama ilivyo kwa raia wa Jamhuri ya Muungano wa Twitter na Ufipa?

Bado naamini Rais Magufuli alikuwa anaungwa mkono na idadi kubwa ya watu walio wengi.

Na watu hao walituma ujumbe wao kipindi cha msiba wake.
Ukweli ni kuwa wengi walikuwa ni wapumbavu, jiulize kwa nchi kama Tz kati ya watu wajinga na werevu watu gani ni wengi? Basi hao wengi ndiyo walimuunga mkono Jiwe.
 
Ujinga mtupu! CCM ni nini kwanza ?

Waasisi kama Mwl alikwishasema CCM sio baba wala mama yake wakienda kinyume ataachana nao! leo hii MATAGA wakuja mnaona CCM ni kama mbingu?
 
Mkuu Hakika uliyo yasema ndio ukweli wenyewe, Binafsi Kwangu huyu mzee ni Shujaa sana hakika namuombea apumzike salama
 
Mnataka kujikosha kwamba magu alikuwa msukuma, hafanani na wasukuma kwa sura wala kwa hulka.....alijinasabisha na wasukuma ili apate kura nyingi kwa sababu ni kabila kubwa...kwa hiyo msiwaingize wasukuma kwenye hili saga, yule alikuwa na genge lake la watu wachache tu na kamwe hawawezi kuwawakilisha wasukuma, ni vizuri mkaliweka hili akilini...
 
Mimi nafikiri hapa hupaswi kumlaumu mtu labda kama wewe ni Msukuma! Kama kuna watu unapaswa kuwalaumu ni CAG kwa kuibua ufisadi wa kutisha uliofanywa na awamu ya Hayati katika Ripoti yake! Lakini hata CAG hapaswi kulaumiwa,kwani aliambiwa na Mheshimiwa Rais SSH kuwa asiwe na ndimi mbilimbili naye CAG akamua kulipua mabomu.
Harafu jamani Magufuri amekufa kwa siku yake aliyopangiwa na Mungu! Hatupaswi kulaumu kulialia kama kwamba atafufuka! Msipoangalia mtafikia hatua ya kumtukana Mungu kama akina Afande Sele.
Tukubali amekufa na kazi ya Mungu haina makosa!
Unjasema siku yake ilifika? Unauhakika? Unatambua kwamba huelewi lolote kuhusu kilichotokea?Unajitoa ufahamu mlichokifanya sio?
To be precise, bad mouthing someone especially targeting a voiceless subject who can't avail in person to defend against the mudslinging is a typical polarized despicable treatment which repercussive admotion shall badly affect the current and future political regime in Tanzania................the soul was technically robbed by crooks and not the will of Almighty God [Emphasis].....days are ticking very closer towards the advent exposure.
 
Pole sana ndugu yangu! Hakuna anayekufa kama Mungu hajaruhusu.Kila mtu ana njia yake ya kuifikia siku aliyoandikiwa na Mungu.Iwe kwa ugonjwa au kwa njaa au kwa upanga nk haijalishi sikun ikifika imefika tu.
Pole sana kila aliyempenda ana uchungu na kifo chake lakini kama nilivyosema Siku ya mtu kufa ikifiika lazima afe tu.
 
Kumshambulia au kumsifia Magufuli ni mkakati endelevu hadi pale lengo lake litakapotimia.

Wenye mkakati wapo,walilifanya hili mwenyewe akiwa hai na hakuweza kuwafanya kitu.

Waliupa uongozi wake taswira fulani walioitaka na wakafanikiwa kiasi maana upinzani dhidi ya mkakati wao ni mkubwa.

Sasa mwenyewe hayupo ila mkakati lazima uendelee hadi lengo la kuitumbukiza nchi pale wanapopataka lifanikiwe.

No wonder tuna uongozi mwingine hivi sasa lakini kuna watu kwa nguvu nyingi wanataka jamii bado imzungumzie Magufuli.

Magufuli wanayemtaka aendelee kuzungumziwa sio yule kiongozi wetu marehemu,bali ni taswira fulani waliyokuwa wamembebesha iendelee kuwepo maana ndio ufunguo wa yale watakayo kuyafanya.

Jiulizeni nchi hii imekuwa na viongozi sita sasa,kwanini hawawaoni wote wengine ila wanataka huyu mmoja tu aendelee kuzungumzwa?

Mama ana kazi kubwa.Anapaswa kuwa strong na hili kundi,asidhani wanapomuambia habari za magufuli wanazungumzia Rais wetu marehemu,hapana.
Yule ni rais wetu tulishamzika.

Hawa wana magufuli wao,ambaye ni WAO WENYEWE.

Wanataka wabaki wanatawala nchi mikononi mwao au kwa rimoti ili wamwendeshe Rais kwa maslahi yao.

Wanataka nchi iwe vile watakavyo wao.Hawamkumbuki na wala hawana uchungu na John Pombe Magufuli hata kidogo.

Wanaye magufuli wao vichwani mwao ambaye lazima aendelee kuwepo kama nembo ya taifa lote kwa maslahi yao wachache.

Mimi nashauri mama na system za usalama za nchi zikae kimya kwa mda.

Mama aendelee kujifanya hayupo hayupo hivi.Yule magufuli mwingine na wote wanaombeba watajitokeza hadharani na kujulikana hasa sura zao na yote wayapangayo.Na nadhani insubordination imeanza kuonekana.Good!Wapeni uhuru wajichoreshe vizuri!

Wakiisha kujulikana mama na system ya nchi wanajua la kufanya but this time a STRONG HAND is needed kwa maslahi ya muda mrefu ya taifa.

Na angalizo la msingi ni kuwa wakija kubanwa vizuri hawa yule magufuli wao vichwani mwao watamgeuza jina na kumwita samia.wimbo ni ule ule kusifu na kuabudu ila tu ili kuwa safe zone wakiona wamestukiwa watajificha kwenye jina la samia..ila ajenda yao ni ile ile.
Mama asijekubali kubebwa,kusifiwa na kuabudiwa na kundi la watu tuu ghafla from nowhere!!ajue ni wale wale wamebadili mbinu tu.Walitaka kumwingiza chaka marehemu,sasa wakibanwa watataka kumwingiza chaka yeye,mbinu ile ile

Tukiutumia vizuri mwaka 2021 tutakuwa na mwaka mzuri sana wa 2022.Ila tusipoutumia kwa akili mwaka huu,nadhani mwaka ujao utakuwa very challenging and unpredictable,sababu ni mahitaji ya asili(nature) kwamba huu ndio wakati wa mabadiliko makubwa ili kuanzia 2023 na inayofuata tufike huku siasa na agenda za nchi zikiwa na direction,kwa mvua kwa jua!Sasa hatuwezi kuwa na direction kama hatuko pamoja!

Ndio maana ni dhahiri miaka hii miwili 2021 na 2022 ni muhimu sana only KAMA TUNAJITAMBUA na tunajua kuusoma wakati.
 
Waingereza husema what goes around comes around. Mwendazake katika urais wake pia aliendekeza kuchafua watu Kwa tuhuma zenye malengo ya kisiasa. Aliwachunguza wengi Uraia wao kisiasa tu, aliwatuhumu wengi uhujumu uchumi na utakatishaji fedha kisiasa tu,.
 
Kumshambulia au kumsifia Magufuli ni mkakati endelevu hadi pale lengo lake litakapotimia.

Wenye mkakati wapo,walilifanya hili mwenyewe akiwa hai na hakuweza kuwafanya kitu.

Waliupa uongozi wake taswira fulani walioitaka na wakafanikiwa kiasi maana upinzani dhidi ya mkakati wao ni mkubwa.

Sasa mwenyewe hayupo ila mkakati lazima uendelee hadi lengo la kuitumbukiza nchi pale wanapopataka lifanikiwe.

No wonder tuna uongozi mwingine hivi sasa lakini kuna watu kwa nguvu nyingi wanataka jamii bado imzungumzie Magufuli.

Magufuli wanayemtaka aendelee kuzungumziwa sio yule kiongozi wetu marehemu,bali ni taswira fulani waliyokuwa wamembebesha iendelee kuwepo maana ndio ufunguo wa yale watakayo kuyafanya.

Jiulizeni nchi hii imekuwa na viongozi sita sasa,kwanini hawawaoni wote wengine ila wanataka huyu mmoja tu aendelee kuzungumzwa?

Mama ana kazi kubwa.Anapaswa kuwa strong na hili kundi,asidhani wanapomuambia habari za magufuli wanazungumzia Rais wetu marehemu,hapana.
Yule ni rais wetu tulishamzika.

Hawa wana magufuli wao,ambaye ni WAO WENYEWE.

Wanataka wabaki wanatawala nchi mikononi mwao au kwa rimoti ili wamwendeshe Rais kwa maslahi yao.

Wanataka nchi iwe vile watakavyo wao.Hawamkumbuki na wala hawana uchungu na John Pombe Magufuli hata kidogo.

Wanaye magufuli wao vichwani mwao ambaye lazima aendelee kuwepo kama nembo ya taifa lote kwa maslahi yao wachache.

Mimi nashauri mama na system za usalama za nchi zikae kimya kwa mda.

Mama aendelee kujifanya hayupo hayupo hivi.Yule magufuli mwingine na wote wanaombeba watajitokeza hadharani na kujulikana hasa sura zao na yote wayapangayo.Na nadhani insubordination imeanza kuonekana.Good!Wapeni uhuru wajichoreshe vizuri!

Wakiisha kujulikana mama na system ya nchi wanajua la kufanya but this time a STRONG HAND is needed kwa maslahi ya muda mrefu ya taifa.

Tukiutumia vizuri mwaka 2021 tutakuwa na mwaka mzuri sana wa 2022.Ila tusipoutumia kwa akili mwaka huu,nadhani mwaka ujao utakuwa very challenging and unpredictable,sababu ni mahitaji ya asili(nature) kwamba huu ndio wakati wa mabadiliko makubwa ili kuanzia 2023 na inayofuata tufike huku siasa na agenda za nchi zikiwa na direction,kwa mvua kwa jua!Sasa hatuwezi kuwa na direction kama hatuko pamoja!

Ndio maana ni dhahiri miaka hii miwili 2021 na 2022 ni muhimu sana only KAMA TUNAJITAMBUA na tunajua kuusoma wakati.
Umeamdika maneno mengi ya miyeyusho lakini 'there is a roadblock ahead so just keep on kidding yourself'
The exponential function
1618342570226.png

Trigonometric Integrals
cos2⁡x+sin2⁡x=1
and Fourie Series
f(x)=2a0+k=1∑∞akcosT2πkx+k=1∑∞bksinT2πkx
are applicable to align the dislocated skeleton
 
Nachojua wewe siyo mungu Wala shetani, wewe ni binadamu uliyekwenye mpango wa Mungu wa siku ngapi umesalia nawe uwe miongoni mwa waliotangulia,

Sasa, unapata wapi ujasiri wa kuhukumu wafu??
Sijahukumu wafu,, UOVU HAUDUMU,, hii ni nature. Mungu huuondoa uovu halafu amani na utulivu hubakia..
Haujapata kusoma kuwa waovu wote watatupwa kwenyeziwa la moto?

Simama katika haki angalau vile uwezavyo. Mimi siwezi kuside na mwonevu, nitamtetea anayeonewa.
baba yenu alikuwa mwonevu kupitiliza,,kwa sisi wapenda haki ni lazima tutawaonea huruma wanaoonewa. Uonevu ni jambo baya sana maana unautweza utu wa binadamu mwenzio ambaye nae ana feelings kama zako. Wewe ulikuwa unafurahi, lakini Mungu kawatetea waonewao.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hata idi amini alikuwa hakosi swala hadi kile kidoti wanaita sigda(sina hakika hilo jina) kiliota kwenye paji la uso wake.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
unashindwa kuelewa jinsi walivyo na kumbukumbu ndogo ya aina ya ufisadi tuliyopitia kwenye taifa hili kabla ya magufuli kuingia madarakani. Kumbukeni ufisadi wa TEGETA ESCROW, EPA, BOMBA LA GAS MTWARA. Sote tunajua viongozi wa Afrika wakiiba pesa wanapeleka wapi. Wanakimbiza nchi za magharibi..kama Hayati aliiba hayo mabillioni yako wapi? Matrillion yako wapi?
Je! Kauli ya hii ina maana unakubali kuwa alikuwa fisadi ila ufisad wake ni mdogo kulinganisha na wengine kabla yake? Unapouliza ameficha wapi mabilioni ulitegemea uone kayaanika barabarani au sokoni?
 
Kichwa cha habari tu kimeonyesha ukabila, primitive thinking, kwanini isiwe watanzania wote washabiki wa CCM au watu wa Nyanda za juu kusini.

Hii Sukuma gang siyo conspiracy ni real!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Kwani uraiani nako watu wanamchukia Magufuli kama ilivyo kwa raia wa Jamhuri ya Muungano wa Twitter na Ufipa?

Bado naamini Rais Magufuli alikuwa anaungwa mkono na idadi kubwa ya watu walio wengi.

Na watu hao walituma ujumbe wao kipindi cha msiba wake.
Bungeni nako ni tweeter?kama hachukiwi kelele zote za nn? Huko tweeter na ufipa hakuna wanaotokea mitaani??
 
Hayo ni maoni yako tu.

Na hao unaowaita Watanzania wajinga na wasio na uelewa nao wanaweza kukuona wewe u mjinga na uliye na uelewa wa chini.

Kujiona una akili haimaanishi kwamba una akili kweli.

Haupo vile ujidhaniavyo.
Ni kweli waliokuwa wanampenda ni wajinga wajinga wenye uelewa mdogo. Wanashindwa hata kung'amua kwa nn alizuia uhuru wa habari na kutoa maoni.Wanashindwa kufikiri kwa nn atake wabunge wote wawe wa ccm. Hawakuweza kusikia kauli zake na kuona matendo yake ya kubagua na kudhalilisha wengine. Na wewe ni miongoni mwa hao.
 
Nianze moja kwa moja kutoa maoni yangu kwa hali ya kisiasa nayoiona. Kifo cha Rais Magufuli kimeacha pengo kubwa sana kwenye taifa. Kwa wale wasiopenda kusikia jina la magufuli niseme tu, Hayati alikuwa na wafuasi wengi kifo chake kimedhihirisha hivyo na atakumbukwa siku zote kwa mambo mazuri aliyolifanyia taifa hili.

Niseme tu wazi si kila jambo alilolifanya hayati ni baya kwenye taifa hili. Ameacha alama kubwa sana. Licha ya kuwa na matatizo ya moyo alijitolea usiku na mchana kulipigania taifa lake.

Najua akili ni nywere na kila mtu ana zake. Watu wanaodai magufuli alikuwa fisadi unashindwa kuelewa jinsi walivyo na kumbukumbu ndogo ya aina ya ufisadi tuliyopitia kwenye taifa hili kabla ya magufuli kuingia madarakani. Kumbukeni ufisadi wa TEGETA ESCROW, EPA, BOMBA LA GAS MTWARA. Sote tunajua viongozi wa Afrika wakiiba pesa wanapeleka wapi. Wanakimbiza nchi za magharibi..kama Hayati aliiba hayo mabillioni yako wapi? Matrillion yako wapi?

Ameanzisha ujenzi wa reli kwa gharama ndogo sana uki compare na majirani zetu tena ya kutumia umeme.

Magufuli anatoka kanda yenye nguvu kiasiasa. Ukweli ni kwamba magufuli ameumiza sana watu wa kanda hiyo na taifa kwa jumla. Kitendo cha kuendelea kumshambulia kwa tuhuma ambazo watu wenye akili za kawaida kabisa wanajua zina malengo ya kisiasa nikutengeneza mgawanyiko mkubwa huko mbeleni.

Kuna kitu magufuli kaacha kwenye mioyo ya watanzania, nacho ni uzalendo. Wamejua kuhusu ukoloni mamboleo na jinsi baadhi ya viongozi wanavyotumika na nchi za magharibi kuhujumu mataifa yao either kwa ufisadi, mikataba mibovu etc.

Nimalizie kwa kusema, magufuli hakuwa malaika. Binafsi kuna mambo kadhaa niliyapinga kwenye utawala wake lakini niseme tu ni kiongozi mzalendo hili taifa kuwahi kupata.

Kama mnataka tuamini huo ufisadi mtueleze MAGUFULI KAFICHA HELA WAPI? Alizibeba kwenye sandarusi? Ana account ya pesa ulaya? MUNGU ATAMLIPA KIUMBE WAKE. KAKIKA KILA NAFSI ITAONJA MAUTI.

Mwisho kabisa kabla haujaendelea na mkakati ovu wa kumshambulia magufuli labda ujiulize. MAUAJI YA ALBINO YAKO WAPI? UFISADI MKUBWA UKO WAPI? UJAMBAZI UKO WAPI? KUKATIKA UMEME JE? AU TUMESAHAU JINSI MAJENERETA YALIVYOKUWA YANATUUMIZA MASIKIO?

Hakika MUNGU ATAMLIPA JPM kwa kutetea wanyonge na watu wasiokuwa na nguvu. Miaka 100 ijayo utakuwepo? Basi jifunze na beba mema ya hayati JPM mabaya muachie Mungu wake atamuhukumu.

Daudi alimwaga damu lakini Mungu alimkumbuka.
Mwenda zake
 
Umeamdika maneno mengi ya miyeyusho lakini 'there is a roadblock ahead so just keep on kidding yourself'
The exponential function
View attachment 1751293
Trigonometric Integrals
cos2⁡x+sin2⁡x=1
and Fourie Series
f(x)=2a0+k=1∑∞akcosT2πkx+k=1∑∞bksinT2πkx
are applicable

Umeamdika maneno mengi ya miyeyusho lakini 'there is a roadblock ahead so just keep on kidding yourself'
The exponential function
View attachment 1751293
Trigonometric Integrals
cos2⁡x+sin2⁡x=1
and Fourie Series
f(x)=2a0+k=1∑∞akcosT2πkx+k=1∑∞bksinT2πkx
are applicable to align the dislocated skeleton
Nature ina Hisabati yake nyingine na sio hii yako.
Nikumegee kidogo tu,huyu ni Rais wa sita.
Ni jinsia tofauti na marais wote wa Tz.Ameingia bila kupigiwa kura.
Mwenyezi Mungu aliumba dunia kwa siku SITA na ya SABA akapumzika.
Binadamu aliumbwa siku ya sita.
Sita ni ukamilifu wa hesabu za kibinadamu(ikiwezekana na hizo trigi zako hapo juu).
Kuanzia hapa tunaingia kwa saba.Hapana hesabu za kibinadamu tena.Mwenyewe aliyeiumba Tanzania atasimama
na utaratibu mpya.
Kwa sasa tunashuhudia ukamilifu wa hesabu za kibinadamu,system iliyokuwepo ikifikia mwisho wake na mtikisiko wa anguko lake ni dhahiri.
Tegemea mambo mengi ya ajabu katika miaka hii miwili mitatu na utawala huu wa sita,yatakuja mengi ya ajabu yasiyozuilika kushape nchi hii na watu wake kama mwenyewe kiongozi alivyokuja bila kura ya mwanadamu.

Hata Samia mwenyewe ukimuuliza kafikaje pale hawezi kujua na ana kazi nzito sana.

Najua hunielewi na utatukana tena "miyeyusho" ila muda utakuwa chaki (hasa mwakani 2022) na Tanzania itakuwa ubao!

Mwisho naomba sana msiwaingize ndugu zetu wasukuma kwenye ugomvi usiowahusu.

Watanzania tuna chapa yetu ambayo ni hulka.Tunajuana kwa tabia.Wasukuma ni wapole,watu wakarimu sana.Watanzania wenzetu haswaa!

Lengo lenu la kuwaplant mentality mpya halitofanikiwa.

That group doesnt deserve the name "sukuma gang".Sababu waliomo hawana tabia za kisukuma.Its just a disguise!..and TIME will reveal it!
 
Back
Top Bottom