Umeamdika maneno mengi ya miyeyusho lakini 'there is a roadblock ahead so just keep on kidding yourself'
The exponential function
View attachment 1751293
Trigonometric Integrals
cos2x+sin2x=1
and Fourie Series
f(x)=2a0+k=1∑∞akcosT2πkx+k=1∑∞bksinT2πkx
are applicable
Umeamdika maneno mengi ya miyeyusho lakini 'there is a roadblock ahead so just keep on kidding yourself'
The exponential function
View attachment 1751293
Trigonometric Integrals
cos2x+sin2x=1
and Fourie Series
f(x)=2a0+k=1∑∞akcosT2πkx+k=1∑∞bksinT2πkx
are applicable to align the dislocated skeleton
Nature ina Hisabati yake nyingine na sio hii yako.
Nikumegee kidogo tu,huyu ni Rais wa sita.
Ni jinsia tofauti na marais wote wa Tz.Ameingia bila kupigiwa kura.
Mwenyezi Mungu aliumba dunia kwa siku SITA na ya SABA akapumzika.
Binadamu aliumbwa siku ya sita.
Sita ni ukamilifu wa hesabu za kibinadamu(ikiwezekana na hizo trigi zako hapo juu).
Kuanzia hapa tunaingia kwa saba.Hapana hesabu za kibinadamu tena.Mwenyewe aliyeiumba Tanzania atasimama
na utaratibu mpya.
Kwa sasa tunashuhudia ukamilifu wa hesabu za kibinadamu,system iliyokuwepo ikifikia mwisho wake na mtikisiko wa anguko lake ni dhahiri.
Tegemea mambo mengi ya ajabu katika miaka hii miwili mitatu na utawala huu wa sita,yatakuja mengi ya ajabu yasiyozuilika kushape nchi hii na watu wake kama mwenyewe kiongozi alivyokuja bila kura ya mwanadamu.
Hata Samia mwenyewe ukimuuliza kafikaje pale hawezi kujua na ana kazi nzito sana.
Najua hunielewi na utatukana tena "miyeyusho" ila muda utakuwa chaki (hasa mwakani 2022) na Tanzania itakuwa ubao!
Mwisho naomba sana msiwaingize ndugu zetu wasukuma kwenye ugomvi usiowahusu.
Watanzania tuna chapa yetu ambayo ni hulka.Tunajuana kwa tabia.Wasukuma ni wapole,watu wakarimu sana.Watanzania wenzetu haswaa!
Lengo lenu la kuwaplant mentality mpya halitofanikiwa.
That group doesnt deserve the name "sukuma gang".Sababu waliomo hawana tabia za kisukuma.Its just a disguise!..and TIME will reveal it!