Miss Madeko
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 4,364
- 5,609
Gasho haswa............ Ona na yule pimbi mwingine hajui kama amebadilishiwa wizara anabaki kutishia watu............. vitisho vilikatika rasmi toka tare 6.3.2021 na kuwekwa bayana tarehe 17.03.2021 na tukavizika kamili tarehe26.03.2021. wajitahidi sana lile pepo liwatoke. WasitutisheUsiumize akili yako kushindana na hiyo jamaa ni gasho.
Na iwe funzo kuongoza nchi kikanda na kikabila, KWA Sasa tunahitaji umoja wa kitaifa sio kuangalia ukanda wa mwenda zake,vyama badae taifa kwanza, na Maghufuli hii nchi haikua urithi wake,mbona hamjiulizi why hawam zote zilizopita hazisemwi KWA ubaya wa kiwango Cha Maghufuli, ni vyema mpendao Maghufuli na kuona bado mh mpya Rais hatoshi mjikite kumuombe ili akapunguziwe adhabu huko aliko, KWA Sasa wakati wake umepita ,na utafutika kabisa kwenye vinywa vyenu asema bwanaNianze moja kwa moja kutoa maoni yangu kwa hali ya kisiasa nayoiona. Kifo cha Rais Magufuli kimeacha pengo kubwa sana kwenye taifa. Kwa wale wasiopenda kusikia jina la magufuli niseme tu, Hayati alikuwa na wafuasi wengi kifo chake kimedhihirisha hivyo na atakumbukwa siku zote kwa mambo mazuri aliyolifanyia taifa hili.
Niseme tu wazi si kila jambo alilolifanya hayati ni baya kwenye taifa hili. Ameacha alama kubwa sana. Licha ya kuwa na matatizo ya moyo alijitolea usiku na mchana kulipigania taifa lake.
Najua akili ni nywere na kila mtu ana zake. Watu wanaodai magufuli alikuwa fisadi unashindwa kuelewa jinsi walivyo na kumbukumbu ndogo ya aina ya ufisadi tuliyopitia kwenye taifa hili kabla ya magufuli kuingia madarakani. Kumbukeni ufisadi wa TEGETA ESCROW, EPA, BOMBA LA GAS MTWARA. Sote tunajua viongozi wa Afrika wakiiba pesa wanapeleka wapi. Wanakimbiza nchi za magharibi..kama Hayati aliiba hayo mabillioni yako wapi? Matrillion yako wapi?
Ameanzisha ujenzi wa reli kwa gharama ndogo sana uki compare na majirani zetu tena ya kutumia umeme.
Magufuli anatoka kanda yenye nguvu kiasiasa. Ukweli ni kwamba magufuli ameumiza sana watu wa kanda hiyo na taifa kwa jumla. Kitendo cha kuendelea kumshambulia kwa tuhuma ambazo watu wenye akili za kawaida kabisa wanajua zina malengo ya kisiasa nikutengeneza mgawanyiko mkubwa huko mbeleni.
Kuna kitu magufuli kaacha kwenye mioyo ya watanzania, nacho ni uzalendo. Wamejua kuhusu ukoloni mamboleo na jinsi baadhi ya viongozi wanavyotumika na nchi za magharibi kuhujumu mataifa yao either kwa ufisadi, mikataba mibovu etc.
Nimalizie kwa kusema, magufuli hakuwa malaika. Binafsi kuna mambo kadhaa niliyapinga kwenye utawala wake lakini niseme tu ni kiongozi mzalendo hili taifa kuwahi kupata.
Kama mnataka tuamini huo ufisadi mtueleze MAGUFULI KAFICHA HELA WAPI? Alizibeba kwenye sandarusi? Ana account ya pesa ulaya? MUNGU ATAMLIPA KIUMBE WAKE. KAKIKA KILA NAFSI ITAONJA MAUTI.
Mwisho kabisa kabla haujaendelea na mkakati ovu wa kumshambulia magufuli labda ujiulize. MAUAJI YA ALBINO YAKO WAPI? UFISADI MKUBWA UKO WAPI? UJAMBAZI UKO WAPI? KUKATIKA UMEME JE? AU TUMESAHAU JINSI MAJENERETA YALIVYOKUWA YANATUUMIZA MASIKIO?
Hakika MUNGU ATAMLIPA JPM kwa kutetea wanyonge na watu wasiokuwa na nguvu. Miaka 100 ijayo utakuwepo? Basi jifunze na beba mema ya hayati JPM mabaya muachie Mungu wake atamuhukumu.
Daudi alimwaga damu lakini Mungu alimkumbuka.
Tanzania kwanza, CCM baadae. Ukilielewa hilo hutaona madhara ya kumshambulia Hayati Magu, kama tu ushambuliaji huo unatija kwa taifa.Nianze moja kwa moja kutoa maoni yangu kwa hali ya kisiasa nayoiona. Kifo cha Rais Magufuli kimeacha pengo kubwa sana kwenye taifa. Kwa wale wasiopenda kusikia jina la magufuli niseme tu, Hayati alikuwa na wafuasi wengi kifo chake kimedhihirisha hivyo na atakumbukwa siku zote kwa mambo mazuri aliyolifanyia taifa hili.
Niseme tu wazi si kila jambo alilolifanya hayati ni baya kwenye taifa hili. Ameacha alama kubwa sana. Licha ya kuwa na matatizo ya moyo alijitolea usiku na mchana kulipigania taifa lake.
Najua akili ni nywere na kila mtu ana zake. Watu wanaodai magufuli alikuwa fisadi unashindwa kuelewa jinsi walivyo na kumbukumbu ndogo ya aina ya ufisadi tuliyopitia kwenye taifa hili kabla ya magufuli kuingia madarakani. Kumbukeni ufisadi wa TEGETA ESCROW, EPA, BOMBA LA GAS MTWARA. Sote tunajua viongozi wa Afrika wakiiba pesa wanapeleka wapi. Wanakimbiza nchi za magharibi..kama Hayati aliiba hayo mabillioni yako wapi? Matrillion yako wapi?
Ameanzisha ujenzi wa reli kwa gharama ndogo sana uki compare na majirani zetu tena ya kutumia umeme.
Magufuli anatoka kanda yenye nguvu kiasiasa. Ukweli ni kwamba magufuli ameumiza sana watu wa kanda hiyo na taifa kwa jumla. Kitendo cha kuendelea kumshambulia kwa tuhuma ambazo watu wenye akili za kawaida kabisa wanajua zina malengo ya kisiasa nikutengeneza mgawanyiko mkubwa huko mbeleni.
Kuna kitu magufuli kaacha kwenye mioyo ya watanzania, nacho ni uzalendo. Wamejua kuhusu ukoloni mamboleo na jinsi baadhi ya viongozi wanavyotumika na nchi za magharibi kuhujumu mataifa yao either kwa ufisadi, mikataba mibovu etc.
Nimalizie kwa kusema, magufuli hakuwa malaika. Binafsi kuna mambo kadhaa niliyapinga kwenye utawala wake lakini niseme tu ni kiongozi mzalendo hili taifa kuwahi kupata.
Kama mnataka tuamini huo ufisadi mtueleze MAGUFULI KAFICHA HELA WAPI? Alizibeba kwenye sandarusi? Ana account ya pesa ulaya? MUNGU ATAMLIPA KIUMBE WAKE. KAKIKA KILA NAFSI ITAONJA MAUTI.
Mwisho kabisa kabla haujaendelea na mkakati ovu wa kumshambulia magufuli labda ujiulize. MAUAJI YA ALBINO YAKO WAPI? UFISADI MKUBWA UKO WAPI? UJAMBAZI UKO WAPI? KUKATIKA UMEME JE? AU TUMESAHAU JINSI MAJENERETA YALIVYOKUWA YANATUUMIZA MASIKIO?
Hakika MUNGU ATAMLIPA JPM kwa kutetea wanyonge na watu wasiokuwa na nguvu. Miaka 100 ijayo utakuwepo? Basi jifunze na beba mema ya hayati JPM mabaya muachie Mungu wake atamuhukumu.
Daudi alimwaga damu lakini Mungu alimkumbuka.
JPM anachukiwa tu humu mtandaoni lakini huku nje yaani watu wanaomboleza Sana.Kwani uraiani nako watu wanamchukia Magufuli kama ilivyo kwa raia wa Jamhuri ya Muungano wa Twitter na Ufipa?
Bado naamini Rais Magufuli alikuwa anaungwa mkono na idadi kubwa ya watu walio wengi.
Na watu hao walituma ujumbe wao kipindi cha msiba wake.
If there were free and fair elect......ons apart from undermining fredoom of express..ion you wouldn't have been talking this SHIT that your trying to make us believe.Nianze moja kwa moja kutoa maoni yangu kwa hali ya kisiasa nayoiona. Kifo cha Rais Magufuli kimeacha pengo kubwa sana kwenye taifa. Kwa wale wasiopenda kusikia jina la magufuli niseme tu, Hayati alikuwa na wafuasi wengi kifo chake kimedhihirisha hivyo na atakumbukwa siku zote kwa mambo mazuri aliyolifanyia taifa hili.
Niseme tu wazi si kila jambo alilolifanya hayati ni baya kwenye taifa hili. Ameacha alama kubwa sana. Licha ya kuwa na matatizo ya moyo alijitolea usiku na mchana kulipigania taifa lake.
Najua akili ni nywere na kila mtu ana zake. Watu wanaodai magufuli alikuwa fisadi unashindwa kuelewa jinsi walivyo na kumbukumbu ndogo ya aina ya ufisadi tuliyopitia kwenye taifa hili kabla ya magufuli kuingia madarakani. Kumbukeni ufisadi wa TEGETA ESCROW, EPA, BOMBA LA GAS MTWARA. Sote tunajua viongozi wa Afrika wakiiba pesa wanapeleka wapi. Wanakimbiza nchi za magharibi..kama Hayati aliiba hayo mabillioni yako wapi? Matrillion yako wapi?
Ameanzisha ujenzi wa reli kwa gharama ndogo sana uki compare na majirani zetu tena ya kutumia umeme.
Magufuli anatoka kanda yenye nguvu kiasiasa. Ukweli ni kwamba magufuli ameumiza sana watu wa kanda hiyo na taifa kwa jumla. Kitendo cha kuendelea kumshambulia kwa tuhuma ambazo watu wenye akili za kawaida kabisa wanajua zina malengo ya kisiasa nikutengeneza mgawanyiko mkubwa huko mbeleni.
Kuna kitu magufuli kaacha kwenye mioyo ya watanzania, nacho ni uzalendo. Wamejua kuhusu ukoloni mamboleo na jinsi baadhi ya viongozi wanavyotumika na nchi za magharibi kuhujumu mataifa yao either kwa ufisadi, mikataba mibovu etc.
Nimalizie kwa kusema, magufuli hakuwa malaika. Binafsi kuna mambo kadhaa niliyapinga kwenye utawala wake lakini niseme tu ni kiongozi mzalendo hili taifa kuwahi kupata.
Kama mnataka tuamini huo ufisadi mtueleze MAGUFULI KAFICHA HELA WAPI? Alizibeba kwenye sandarusi? Ana account ya pesa ulaya? MUNGU ATAMLIPA KIUMBE WAKE. KAKIKA KILA NAFSI ITAONJA MAUTI.
Mwisho kabisa kabla haujaendelea na mkakati ovu wa kumshambulia magufuli labda ujiulize. MAUAJI YA ALBINO YAKO WAPI? UFISADI MKUBWA UKO WAPI? UJAMBAZI UKO WAPI? KUKATIKA UMEME JE? AU TUMESAHAU JINSI MAJENERETA YALIVYOKUWA YANATUUMIZA MASIKIO?
Hakika MUNGU ATAMLIPA JPM kwa kutetea wanyonge na watu wasiokuwa na nguvu. Miaka 100 ijayo utakuwepo? Basi jifunze na beba mema ya hayati JPM mabaya muachie Mungu wake atamuhukumu.
Daudi alimwaga damu lakini Mungu alimkumbuka.
Kuna wapuuzi wanasema watu walitaka kushuhudia huyu aliefananishwa na yesu,malaika na mungu kama amekufa kweli.Kwani uraiani nako watu wanamchukia Magufuli kama ilivyo kwa raia wa Jamhuri ya Muungano wa Twitter na Ufipa?
Bado naamini Rais Magufuli alikuwa anaungwa mkono na idadi kubwa ya watu walio wengi.
Na watu hao walituma ujumbe wao kipindi cha msiba wake.
Kweli kaka, hata watu wa hali ya chini mambo yalienda vizuri, fikiria mpaka mchoma mahindi anaweza kumiliki bastola!Kwani uraiani nako watu wanamchukia Magufuli kama ilivyo kwa raia wa Jamhuri ya Muungano wa Twitter na Ufipa?
Bado naamini Rais Magufuli alikuwa anaungwa mkono na idadi kubwa ya watu walio wengi.
Na watu hao walituma ujumbe wao kipindi cha msiba wake.
Kuna wabunge walianza kumkosoa wengine kumkejeli bungeni baada ya kuipata feedback mtaani naona bunge limegeuka wanataadhalishana juu ya Magufuli kuna ukweli wameuona mitaani. Mitaa ilimuelewa Magufuli na hakuna unachoweza waambia tofauti wakuelewe.Kwani uraiani nako watu wanamchukia Magufuli kama ilivyo kwa raia wa Jamhuri ya Muungano wa Twitter na Ufipa?
Bado naamini Rais Magufuli alikuwa anaungwa mkono na idadi kubwa ya watu walio wengi.
Na watu hao walituma ujumbe wao kipindi cha msiba wake.
Watuache kabisa.hawa yalama Wa kisiasa,bwana wao waliemfananisha na masihi yesu tulitegemea angefufuka siku ya pasaka hakufufuka .Gasho haswa............ Ona na yule pimbi mwingine hajui kama amebadilishiwa wizara anabaki kutishia watu............. vitisho vilikatika rasmi toka tare 6.3.2021 na kuwekwa bayana tarehe 17.03.2021 na tukavizika kamili tarehe26.03.2021. wajitahidi sana lile pepo liwatoke. Wasitutishe
Wizi mtupu!!!!. Nchi alishaigawa vipandevipande. Wewe sijui unaishi wapi, inawezekana kanda ya ziwa au Dar. Humu nchini kuna maeneo unayoyaongea hawayajui, hali kwao imezidi kuwa mbaya, umeme umezidi kukatika,ujambazi umezidi. Kilichopungua ni kutangazwa kwa mambo mabaya kwa sababu vyombo vimezibwa midomo. Raha ya nchi kuendeshwa gizani. Watu wanafikiria wanayoyaona wao tu machoni, tembea ushangae anavyolaaniwa huyu ndugu yako na wastu wanavyofurahia kuondoka kwakeNianze moja kwa moja kutoa maoni yangu kwa hali ya kisiasa nayoiona. Kifo cha Rais Magufuli kimeacha pengo kubwa sana kwenye taifa. Kwa wale wasiopenda kusikia jina la magufuli niseme tu, Hayati alikuwa na wafuasi wengi kifo chake kimedhihirisha hivyo na atakumbukwa siku zote kwa mambo mazuri aliyolifanyia taifa hili.
Niseme tu wazi si kila jambo alilolifanya hayati ni baya kwenye taifa hili. Ameacha alama kubwa sana. Licha ya kuwa na matatizo ya moyo alijitolea usiku na mchana kulipigania taifa lake.
Najua akili ni nywere na kila mtu ana zake. Watu wanaodai magufuli alikuwa fisadi unashindwa kuelewa jinsi walivyo na kumbukumbu ndogo ya aina ya ufisadi tuliyopitia kwenye taifa hili kabla ya magufuli kuingia madarakani. Kumbukeni ufisadi wa TEGETA ESCROW, EPA, BOMBA LA GAS MTWARA. Sote tunajua viongozi wa Afrika wakiiba pesa wanapeleka wapi. Wanakimbiza nchi za magharibi..kama Hayati aliiba hayo mabillioni yako wapi? Matrillion yako wapi?
Ameanzisha ujenzi wa reli kwa gharama ndogo sana uki compare na majirani zetu tena ya kutumia umeme.
Magufuli anatoka kanda yenye nguvu kiasiasa. Ukweli ni kwamba magufuli ameumiza sana watu wa kanda hiyo na taifa kwa jumla. Kitendo cha kuendelea kumshambulia kwa tuhuma ambazo watu wenye akili za kawaida kabisa wanajua zina malengo ya kisiasa nikutengeneza mgawanyiko mkubwa huko mbeleni.
Kuna kitu magufuli kaacha kwenye mioyo ya watanzania, nacho ni uzalendo. Wamejua kuhusu ukoloni mamboleo na jinsi baadhi ya viongozi wanavyotumika na nchi za magharibi kuhujumu mataifa yao either kwa ufisadi, mikataba mibovu etc.
Nimalizie kwa kusema, magufuli hakuwa malaika. Binafsi kuna mambo kadhaa niliyapinga kwenye utawala wake lakini niseme tu ni kiongozi mzalendo hili taifa kuwahi kupata.
Kama mnataka tuamini huo ufisadi mtueleze MAGUFULI KAFICHA HELA WAPI? Alizibeba kwenye sandarusi? Ana account ya pesa ulaya? MUNGU ATAMLIPA KIUMBE WAKE. KAKIKA KILA NAFSI ITAONJA MAUTI.
Mwisho kabisa kabla haujaendelea na mkakati ovu wa kumshambulia magufuli labda ujiulize. MAUAJI YA ALBINO YAKO WAPI? UFISADI MKUBWA UKO WAPI? UJAMBAZI UKO WAPI? KUKATIKA UMEME JE? AU TUMESAHAU JINSI MAJENERETA YALIVYOKUWA YANATUUMIZA MASIKIO?
Hakika MUNGU ATAMLIPA JPM kwa kutetea wanyonge na watu wasiokuwa na nguvu. Miaka 100 ijayo utakuwepo? Basi jifunze na beba mema ya hayati JPM mabaya muachie Mungu wake atamuhukumu.
Daudi alimwaga damu lakini Mungu alimkumbuka.
Mnalazimisha sana aonekane anaheshima lakini hilo halita wezekana nyie ni wafuasi wake tu mlio kuwa mnanufaika naye poleniMbona watu mmejaa chuki na ukabila sana au rais kuwa msukuma au ulitaka atokee kabila lako? Daima chuki sio jambo jema.HESHIMA YA MAGUFULI ITABAKI DAIMA.
sidhani km ni miaka 5 yoteCAG huyu kaja na ukaguzi wa miaka mitano yote, Je Hilo la Tr1.5 umeliskia Kwenye hii ripoti??
KwendraaaaaaSina vyeti feki na sijawahi kufanya kazi serikalini
Ila ukweli ndio huo hta km huutaki! Magufuli alikuwa rais wa hovyo sana
Kilifanya watu km nyie kumuona mtu wa maana ni propaganda zake baada kupiga pini vyombo vya habari vyote
Kwa akili zenu finyu mkamuona malaika wakati alikuwa anaidumbukiza nchi shimoni
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
[emoji81][emoji81][emoji81]Kwendraaaaaa
Wewe ni mtu duni mno" Huna ujuacho kaa kimya!!Sina vyeti feki na sijawahi kufanya kazi serikalini