Kumshambulia Hayati Magufuli kunaweza ligawa Taifa na kupunguza nguvu ya CCM kanda ya Ziwa

Usingefuatilia huu mjadara kama Kweli hutaki umkumbuke Magu, na kuhusu yeye mwaka huu wote nyuzi za kumhusu yeye zitakuwa nyingi kuliko hata mradi wa kifisadi na Mkataba wa hovyo wa bandari ya Bagamoyo na kuliko propesa Muongo!!
Utavimba upasuke mwaka huu
 
[emoji3][emoji3][emoji3] jitetea yake unaikumbuka wakati huo uwezo anao?
Ye alikuwa anakuumiza tu.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Utavimba upasuke mwaka huu
Hutaki kunikumbuka JPM, usifuatilie mjadara wowote unaomhusu, la sivyo, mwaka huu wote nyuzi zitakuwa ni yeye na mtaendelea kumkumbuka tu
 
Upo sahihi..sipendi kabisa siasa za ubaguzi..sote ni watanzanja, sote ni waafrika, ubaguzi wa nini?

..tatizo ni kwamba siasa za ubaguzi na propaganda za kuligawa taifa zinalipa hapa Tanzania.

..naamini mbinu chafu za kuwagawa Watanzani zitaendelea kutumika ktk siasa, na uchaguzi, mpaka pale tutakapokataa upuuzi huo.
 
KATI YA KANDA ZINAZOISHI WAPUMBAVU BASI NI HUKO KANDA YA ZIWA
 
Nimemwangalia MB. Lusinde nimeona amejiweka katika wakati mgumu sana , muda wote alikuwa akisema Samia samia bila kutambua urais wa Mhe. Samia Suluhu huku akimuenzi Mh.magufuli kwa kutambua Urais kwa kutamka Rais Magufuli vilevile hakuishia hapo akamalizia kwa kumpongeza Bashiru na kusema mnyonge mnyongeni na haki yake mpeni inamaanisha hajakubaliana na maamuzi ya Bashiru kupelekwa Bungeni.
 

1) Ujenzi wa reli kwa gharama ndogo! Kuna gharama ndogo kisiasa (kimaneno) na kiuhalisia. Je umepata kuuona huo mkataba uliosainiwa? Kama haukuona basi hakuna ushahidi wa moja kwa moja juu ya hilo.

2) serikali ya Magufuli ilikuwa na usiri mkubwa sana hakukuwa na ushirikishwaji wa mihimili mingine kama vile bunge (yeye ndiye kila kitu) hivyo hata ubadhilifu uliofanyika umegubikwa na usiri mkubwa tofauti na serikali zilizopita iliipa mihimili yote uhuru wa kufuatilia, kuhoji na kufanya kazi zao kiufasaha. Hakika angeachia mihili yote ifanye kazi kiufasaha basi tungeyajua mengi mno
 
Unauliza kitu gani hapo??
Rejea CAG report kaka. Mifuko yote ya Wastahafu NSSSF na PSSSF imekauka Wazee wana stahafu hakuna mafao au malipo yao. Kisa? MAGUFULI KACHOTA HELA KUPELEKA SGR, BWAWA LA NYERERE, BOMBADIER, FLYOVERS, CHATO AIRPORT n.k.
Halafu jamaa alivokuwa hana AIBU utamsikia, " HII NCHI TAJIRI SANA INAWEZA KUWA DONA KANTRI...."The late JPM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…