Kumshambulia Hayati Magufuli kunaweza ligawa Taifa na kupunguza nguvu ya CCM kanda ya Ziwa

Kumshambulia Hayati Magufuli kunaweza ligawa Taifa na kupunguza nguvu ya CCM kanda ya Ziwa

Kwa hiyo ameogopa kutumbuliwa na mzimu wake siyo??

Basi huyo naye ni walewale wajinga
Ndiyo, lakini anawafumbua macho vipofu wote, muone kwamba, wapigaji ni wote, hata wewe ni wale wale (wa praise and worship team)
 
Kwani uraiani nako watu wanamchukia Magufuli kama ilivyo kwa raia wa Jamhuri ya Muungano wa Twitter na Ufipa?

Bado naamini Rais Magufuli alikuwa anaungwa mkono na idadi kubwa ya watu walio wengi.

Na watu hao walituma ujumbe wao kipindi cha msiba wake.
Uko sahihi, watu wengi mbumbumbu walishabikia utawala wake. Sababu kuu ya ukandamizaji wake ilikuwa ni kuogopesha watu wasihoji udhaifu wake.
 
Ndiyo, lakini anawafumbua macho vipofu wote, muone kwamba, wapigaji ni wote, hata wewe ni wale wale (wa praise and worship team)
Mimi kama napenda soda, basi wewe unapenda gongo!! Mambo ni Yale Yale Isipokuwa kilichomo ndani ya chupa
 
Hahahaha, sawa mkuu, onyo, mspomzidi yeye kwa jinsi alivyijenga hii nchi Kwa muda wake mfupi, mtatuomba msamaha
Sisi tunaipeleka nchi kwa speed inayotakiwa huku tukiwa hatuna chuki na mtu yeyote na hata nyinyi wekeni tofauti zenu pembeni tujenge nchi yetu TANZANIA.[emoji911]
 
Mimi kama napenda soda, basi wewe unapenda gongo!! Mambo ni Yale Yale Isipokuwa kilichomo ndani ya chupa
Hapo umekosea, mimi sipendi gongo wala soda! Jaribu tena, au kama umesha kunywa gongo, ujaribu kesho!
 
Umekalia kamsemo Ka kijiinga kama wewe ulivyo mjinga, umekaririshwa Hadi unaboa? Mshamba mkubwa wewe
Mshamba ni wewe unayetukana badala ya kuisimamia hoja yako.
 
Hutaki kunikumbuka JPM, usifuatilie mjadara wowote unaomhusu, la sivyo, mwaka huu wote nyuzi zitakuwa ni yeye na mtaendelea kumkumbuka tu
Wacha kujidanganya kama upo ndotoni wewe.

Yaani unalazimisha kungojea meli ubungo terminal?
 
Itakuwa njema Sana, nadhani hata Chadema sasa wataunga mkono
Habari za cdm usiniambie mimi watajua wao .

Alafu kumbe nilikuwa najichoosha bure kuhangaika na mtu umejiunga 18.03.2021 hapa jf.
Yaani siku moja baada ya kifo cha mwendazake.

Bila shaka ulijiunga kwa kazi maalum na sasa unaifanya.
 
Kwani uraiani nako watu wanamchukia Magufuli kama ilivyo kwa raia wa Jamhuri ya Muungano wa Twitter na Ufipa?

Bado naamini Rais Magufuli alikuwa anaungwa mkono na idadi kubwa ya watu walio wengi.

Na watu hao walituma ujumbe wao kipindi cha msiba wake.
....anakubalika na wajinga na wachumia tumbo

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Kwani Magufuli alikuwa raisi wa kanda ya Ziwa?

Kagera ni kanda ya Ziwa pia lakini aliwafanyia kitu kisicho cha ubinadamu kipindi cha tetemeko kwa hiyo sioni ni kwa namna gani wakazi wa Kagera wanaweza kumaindi Magufuli akichambuliwa unyama wake.
Hopeless
 
Back
Top Bottom