Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
KILA KITU ANACHOKIFANYA LISSU KIPO CALCULATED
Na Thadei Ole Mushi
Kumzuia was a technical mistake again, Hizi siku 7 atazurura hapa Dar ambapo kuna wapiga kura 3.5 Milioni mpaka Milioni 4 Kwa kuingia mtaani inaweza kuendelea kuzivuna kwa njia Moja au nyingine.
Ratiba yake kwa hizo siku ilikuwa ni Mtwara na Lindi ambapo kuna around 1.3 milion votes. Ni suala la hesabu tu hapa. Kila kitu kinahitajika discussion kabla ya decision kutolewa.
Kwa Mujibu wa Lema, ratiba ya Lissu Kesho ataenda Ubungo kumkatia shangazi yake Ticket. Niliwahi kusema Lissu kila analolifanya lipo very Calculated. Ni mpinzani ambaye anajua ku provoke na yupo smart kwenye masuala ya Sheria na Kanuni.
Kwa haya Mambo anayofanya kwa hizi siku Saba ataendelea ku trend mpaka ziishe. Yaani jamii inafuatilia anafanya nini zaidi yeye kuliko wagombea wengine.
Akili kubwa ni mali ya Rais. Kudili naye kunahitajika akili kubwa Sana.