Uchaguzi 2020 Kumsimamisha Lissu siku 7 ni fursa kwake au faida kwa Tume na CCM?

Uchaguzi 2020 Kumsimamisha Lissu siku 7 ni fursa kwake au faida kwa Tume na CCM?

Anachokitafuta atakipata huyu Lissu wala asifikiri watu wamenyamaza basi wajinga. Serikali ina mkono mlefu sana
Ni wajinga nyie, tena wewe ni mjinga zaidi...!

Akipate kitu gani na kwa sheria gani? Sema sasa. Huwezi kusema kwa sababu wewe ni kama mbwa koko unayejibwekea tu...

Everything is legally calculated...

Unatumia sheria hii kufunga. Tunatumia upenyo wa sheria hiyo hiyo kufanya kilekile ulichokifunga ...!!

Mathalani utamzuia mtu kwenda sokoni kununua mahitaji yake i.e embe, nyama, vitunguu nk? Kwa sheria gani ?

Hujui na huwezi kujua...
 
Anachokitafuta atakipata huyu Lissu wala asifikiri watu wamenyamaza basi wajinga. Serikali ina mkono mlefu sana

Lissu anachotaka urais yaani uongozi wa nchi hii. Na huo tunakubaliana nawe Oct 28 ni njia halali ya kumfikishia huko.
 
Ukitaka kitabu fulani kisomwe sana na wana jamii kipige marufuku, wana jamii watakitafuta hadi wajue kwa nini kinapigwa marufuku.
Hata wimbo wa "Chura" au "nyegezi" niliujua baada ya kupigwa marufuku kabla ya hapo sikujua wimbo huu.
 
Anachokitafuta atakipata huyu Lissu wala asifikiri watu wamenyamaza basi wajinga. Serikali ina mkono mlefu sana

Huelewi? Hujasoma nahau? Hiyo maana yake serikali ina nguvu ya kumweka Lisu gelezani.

Kwi kwi kwi! 'gelezani' tena? Nenda shule dada!
 
Anachokitafuta atakipata huyu Lissu wala asifikiri watu wamenyamaza basi wajinga. Serikali ina mkono mlefu sana

Huelewi? Hujasoma nahau? Hiyo maana yake serikali ina nguvu ya kumweka Lisu gelezani.
Tumeshatuma hii comment yako kwa wenye dunia yao. Ushahidi tunazidi kuukusanya tu
 
KILA KITU ANACHOKIFANYA LISSU KIPO CALCULATED

Na Thadei Ole Mushi.

Kumzuia was a technical mistake again, Hizi siku 7 atazurura hapa Dar ambapo kuna wapiga kura 3.5 Milioni mpaka Milioni 4 Kwa kuingia mtaani inaweza kuendelea kuzivuna kwa njia Moja au nyingine....
Not only very calculated strategy but also very devastating to his opponents.
 
Anachokitafuta atakipata huyu Lissu wala asifikiri watu wamenyamaza basi wajinga. Serikali ina mkono mlefu sana

Huelewi? Hujasoma nahau? Hiyo maana yake serikali ina nguvu ya kumweka Lisu gelezani.
Gelezani ndio nini.
 
KILA KITU ANACHOKIFANYA LISU KIPO CALCULATED.

Na Thadei Ole Mushi.

Kumzuia was a technical mistake again, Hizi siku 7 atazurura hapa Dar ambapo kuna wapiga kura 3.5 Milioni mpaka Milioni 4 Kwa kuingia mtaani inaweza kuendelea kuzivuna kwa njia Moja au nyingine.

Ratiba yake kwa hizo siku ilikuwa ni Mtwara na Lindi ambapo kuna around 1.3 milion votes. Ni suala la hesabu tu hapa. Kila kitu kinahitajika discussion kabla ya decision kutolewa.

Kwa Mujibu wa Lema ratiba ya Lissu Kesho ataenda Ubungo kumkatia shangazi yake Ticket. Niliwahi kusema Lissu kila analolifanya lipo very Calculated. Ni mpinzani ambaye anajua ku provoke na yupo smart kwenye masuala ya Sheria na Kanuni.

Kwa haya Mambo anayofanya kwa hizi siku Saba ataendelea ku trend mpaka ziishe. Yaani jamii inafuatilia anafanya nn zaidi yeye kuliko wagombea wengine.

Akili kubwa ni Mali ya Rais..... Kudili naye kunahitajika akili kubwa Sana.

Ole Mushi
0712702602

FB_IMG_1602097520648.jpg
 
KILA KITU ANACHOKIFANYA LISSU KIPO CALCULATED

Na Thadei Ole Mushi.

Kumzuia was a technical mistake again, Hizi siku 7 atazurura hapa Dar ambapo kuna wapiga kura 3.5 Milioni mpaka Milioni 4 Kwa kuingia mtaani inaweza kuendelea kuzivuna kwa njia Moja au nyingine...

Iwe faida ama hasara it doesnt matter, there is no way he will win this election lakini mfundishe awe atleast anachana nywele akiwa kwenye mikutano, awe na muonekano wa ugombea
 
Eti kumkatia tiketi nani! what is there to calculate about this? au wanaDar watakuwa wamejaa kituo cha kukatia tiketi!
 
Back
Top Bottom