Uchaguzi 2020 Kumsimamisha Lissu siku 7 ni fursa kwake au faida kwa Tume na CCM?

Uchaguzi 2020 Kumsimamisha Lissu siku 7 ni fursa kwake au faida kwa Tume na CCM?

Kama unamiliki nyumba?? Au Biashara yakueleweka kabisa ilosimama.


ni bahati.
Sio moja wala mbili, acha kulialia mtoto wa kiume fanya kazi utafanikiwa. Mnavyopenda slope mnataka kuweka rehani madini kwa wazungu msipoangalia mtaweka hadi wake zenu
 
Sio moja wala mbili, acha kulialia mtoto wa kiume. Mnataka kuweka rehani madini kwa wazungu msipoangalia mtaweka hadi wake zenu
So moja wala mbili... Kwa unavyosomeka labda kama umemaanisha Moja mbili (Pombe).

Rehan kwa ajili yann?? T.Lissu Akili kubwa.
 
So moja wala mbili... Kwa unavyosomeka labda kama umemaanisha Moja mbili ( Pombe ).



Rehan kwa ajili yann?? T.Lissu Akili kubwa.
Nimegundua napoteza muda wangu kukujibu sababu uwezo wangu na wako wa kufikiria ni tofauti sana, na uelewa wako ni mdogo kabisa. Pia uzoefu wa mambo yahusuyo maisha huna.

Siku ukipata uelewa kidogo utaniambia
 
Anachokitafuta atakipata huyu Lissu wala asifikiri watu wamenyamaza basi wajinga. Serikali ina mkono mlefu sana.
Alishapata tayari. Si wasiojulikana walimpiga risasi? Au unataka apate nini zaidi? Bila shaka apate uraisi. Au???? Nadhani huo ndio unabiii wako kuwa anachotafuta atakipata huyu Lissu. Amen. Naiwe hivyo!!!
 
Ukikubali kutofautisha matatizo yako binansfi na yale matatizo ya serikali utakua umepona
Shule za kata plan wafaulu wote kwenda secondary lakin watoto hawajui kusoma ayo ni ya Nani mpendwa.mishahara kutopandishwa kwa miaka mitano ,daa haya nambie ni binafsi au serikali
 
Shule za kata plan wafaulu wote kwenda secondary lakin watoto hawajui kusoma ayo ni ya Nani mpendwa.mishahara kutopandishwa kwa miaka mitano ,daa haya nambie ni binafsi au serikali
Hayo ya wafaulu kutokujua kusoma ni ya miaka ipi? Unajua kanuni za kupandisha mishahara?
 
naona kiswahili kinakusumbua, unawezaje kujibu hoja pasipo kujua kiswahili kwa ufasaha
Aliwahi kusikia senteso kama hiyo pahala fulani hivyo akaona ni rahisi tu kuiwasilisha kwa kuandika
 
Back
Top Bottom