mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Sio moja halafuKama unamiliki nyumba?? Au Biashara yakueleweka kabisa ilosimama.
ni bahati.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio moja halafuKama unamiliki nyumba?? Au Biashara yakueleweka kabisa ilosimama.
ni bahati.
Sio moja wala mbili, acha kulialia mtoto wa kiume fanya kazi utafanikiwa. Mnavyopenda slope mnataka kuweka rehani madini kwa wazungu msipoangalia mtaweka hadi wake zenuKama unamiliki nyumba?? Au Biashara yakueleweka kabisa ilosimama.
ni bahati.
Tatizo lako ni kuwa!, moyo wako upo karibu sana na mfuko wa haja kubwa.Anachokitafuta atakipata huyu Lissu wala asifikiri watu wamenyamaza basi wajinga. Serikali ina mkono mrefu sana
Huelewi? Hujasoma nahau? Hiyo maana yake serikali ina nguvu ya kumweka Lisu gelezani.
So moja wala mbili... Kwa unavyosomeka labda kama umemaanisha Moja mbili (Pombe).Sio moja wala mbili, acha kulialia mtoto wa kiume. Mnataka kuweka rehani madini kwa wazungu msipoangalia mtaweka hadi wake zenu
bila shaka nduguUkitaka kitabu fulani kisomwe sana na wana jamii kipige marufuku, wanajamii watakitafuta hadi wajue kwanini kinapigwa marufuku.
ukiachana na maelezo hayo ilo tusi linaitwaje?Tatizo lako ni kuwa!, moyo wako upo karibu sana na mfuko wa haja kubwa.
mikono milefu ni ya watu weziAnachokitafuta atakipata huyu Lissu wala asifikiri watu wamenyamaza basi wajinga. Serikali ina mkono mlefu sana.
tutamfikishia jumbe zenuNashauri afike pia Muhimbili a ocean road muda kusalimia wagonjwa asikie live kilio wagonjwa utata huduma za bima.
Nimegundua napoteza muda wangu kukujibu sababu uwezo wangu na wako wa kufikiria ni tofauti sana, na uelewa wako ni mdogo kabisa. Pia uzoefu wa mambo yahusuyo maisha huna.So moja wala mbili... Kwa unavyosomeka labda kama umemaanisha Moja mbili ( Pombe ).
Rehan kwa ajili yann?? T.Lissu Akili kubwa.
Alishapata tayari. Si wasiojulikana walimpiga risasi? Au unataka apate nini zaidi? Bila shaka apate uraisi. Au???? Nadhani huo ndio unabiii wako kuwa anachotafuta atakipata huyu Lissu. Amen. Naiwe hivyo!!!Anachokitafuta atakipata huyu Lissu wala asifikiri watu wamenyamaza basi wajinga. Serikali ina mkono mlefu sana.
mgombea wao akitembea by foot ujue hapo raia watakaa mita 60 hakuna kumgusaSafi sana. Upande wa pili full hasira na full kuweweseka.
Mlefu=MrefuAnachokitafuta atakipata huyu Lissu wala asifikiri watu wamenyamaza basi wajinga. Serikali ina mkono mlefu sana.
Sio tusi hilo!ukiachana na maelezo hayo ilo tusi linaitwaje?
Shule za kata plan wafaulu wote kwenda secondary lakin watoto hawajui kusoma ayo ni ya Nani mpendwa.mishahara kutopandishwa kwa miaka mitano ,daa haya nambie ni binafsi au serikaliUkikubali kutofautisha matatizo yako binansfi na yale matatizo ya serikali utakua umepona
Hayo ya wafaulu kutokujua kusoma ni ya miaka ipi? Unajua kanuni za kupandisha mishahara?Shule za kata plan wafaulu wote kwenda secondary lakin watoto hawajui kusoma ayo ni ya Nani mpendwa.mishahara kutopandishwa kwa miaka mitano ,daa haya nambie ni binafsi au serikali
Kamanda unajipa moyo tu,anaropoka hovyo na anaharibu sana.Lissu kila analolifanya lipo very Calculated. Ni mpinzani ambaye anajua ku provoke na yupo smart kwenye masuala ya Sheria na Kanuni
Anachokitafuta atakipata huyu Lissu wala asifikiri watu wamenyamaza basi wajinga. Serikali ina mkono mlefu sana.
MlefuAnachokitafuta atakipata huyu Lissu wala asifikiri watu wamenyamaza basi wajinga. Serikali ina mkono mlefu sana.
Aliwahi kusikia senteso kama hiyo pahala fulani hivyo akaona ni rahisi tu kuiwasilisha kwa kuandikanaona kiswahili kinakusumbua, unawezaje kujibu hoja pasipo kujua kiswahili kwa ufasaha