pastorletta
Senior Member
- Jan 9, 2011
- 195
- 121
Kwa mtu anayependwa unategemea kumsimamisha asihutubie kunapunguza idadi ya watakaomfuatilia hata akipumzika chini ya mnazi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
2810Ila Magufuli hata afanyeje kwa Lissu hatoboi.
Toka miaka 59 ya Uhuru bado una matatizo kibao ya utawala wa ccccccmmm lakin haukomi.Hamia ubelgiji kwa werevu
Kua mwerevu haihitajiki nihamie kwa watu.Hamia ubelgiji kwa werevu
Hope u mean Hon Pombe, right?Just One condom could have served the world from this rubbish
Ndio hivyo mkuuhata akijamba mtasema ni calculated
Hakika kujamba lazima upige hesabu,uko ktk mazingira gani,kwanza hujui harufu itakayotoka itawakera wengine kiasi gani. Inabidi usogee pembeni,km uko kwa usafiri wa imma unajibana mpaka uteremke.MKUU WEWE UNAACHIA TU WALA HUJALIOtherwise utakua unajamba hovyo sana wewe.hata akijamba mtasema ni calculated
Ukikubali kutofautisha matatizo yako binansfi na yale matatizo ya serikali utakua umeponaToka miaka 59 ya Uhuru bado una matatizo kibao ya utawala wa ccccccmmm lakin haukomi.
Wakilifanya hili, Majina yao yataandikwa kwenye kitabu cha kumbukumbu.Lissu atang'olewa kugombea uraisi.
Hawawezi?Wakilifanya hili, Majina yao yataandikwa kwenye kitabu cha kumbukumbu.
Dunia ya leo??
Hawawezi, unadhan nawao hawana akili???.Hawawezi?
Ulichokiandika hapo chote kinakuhusu wewe na na sio mimi unayeniwaziaKua mwerevu haihitajiki nihamie kwa watu.
Nko TZ na ni mwerevu , Lazima mjifunze kusimamia Haki, kusimamia kilicho sahihi..
Anachokitafuta atakipata huyu Lissu wala asifikiri watu wamenyamaza basi wajinga. Serikali ina mkono mlefu sana
Jina lako tu mkuu ni ushahidi tosha kuwa 🤒🤒 kitombise😂😂😂😂kwanini usiseme "ni fursa/hasara kwake au ni kwa faida kwa ccm na tume ya uchaguzi".
bandiko lako limeegemea upande mmoja hivyo siwezi kuchangia.
asanteni
Hamna loloteeee, weee ni takataka tu kama zilivyo nyingine, fukara tu asojitambua .Ulichokiandika hapo chote kinakuhusu wewe na na sio mimi unayeniwazia
Nakufananisha na mtu anayepata habari jirani yake amefiwa na wamekaa msiba akaenda kuwaomba mwili wa marehemu ili akazike kwake
Kama unamiliki nyumba?? Au Biashara yakueleweka kabisa ilosimama.Ulichokiandika hapo chote kinakuhusu wewe na na sio mimi unayeniwazia
Nakufananisha na mtu anayepata habari jirani yake amefiwa na wamekaa msiba akaenda kuwaomba mwili wa marehemu ili akazike kwake
Bahati mbaya kwenu,hyo serikali inayoisema baada ya wiki tatu zijazo itakuwa chini yake.Anachokitafuta atakipata huyu Lissu wala asifikiri watu wamenyamaza basi wajinga. Serikali ina mkono mlefu sana
Punguza jazba dogo usijepasuka mishipa ya moyo bure kwa hasira ya kutowahi kupanda ndege🤣🤣🤣Hamna loloteeee, weee ni takataka tu kama zilivyo nyingine, fukara tu asojitambua .
Wale wazee wa Kaleta ndege, ila kuipanda sasa mpaka unakufa...( nakupa changamoto)...