Uchaguzi 2020 Kumsimamisha Lissu siku 7 ni fursa kwake au faida kwa Tume na CCM?

Uchaguzi 2020 Kumsimamisha Lissu siku 7 ni fursa kwake au faida kwa Tume na CCM?

Kwa mtu anayependwa unategemea kumsimamisha asihutubie kunapunguza idadi ya watakaomfuatilia hata akipumzika chini ya mnazi?
 
Hamia ubelgiji kwa werevu
Kua mwerevu haihitajiki nihamie kwa watu.

Nko TZ na ni mwerevu , Lazima mjifunze kusimamia Haki, kusimamia kilicho sahihi.

Mnajitwisha zigo kubwa la kuigizaa maisha kwaajili ya kufurahisha mitandao lkn mioyon mwenu mnamakovu balaa, njaaa kali, usikute hata unaishi kwa kubangaiza balaaaaa , misosi ulokua unaipata saizi hamnaa, njaaa naweee, eee na njaa

Kama una kazi ya serikal, unamiaka mitano hujaongezewaaa kitu, ulikopa benki, ukikatwa unabaki na laki mbili hamsini( usikute nahiyo nikubwa).

Bado mtaani unadaiwa, huna nyumba umepanga.

Mamaeeeee ACHENI UNAFIKI.
 
hata akijamba mtasema ni calculated
Hakika kujamba lazima upige hesabu,uko ktk mazingira gani,kwanza hujui harufu itakayotoka itawakera wengine kiasi gani. Inabidi usogee pembeni,km uko kwa usafiri wa imma unajibana mpaka uteremke.MKUU WEWE UNAACHIA TU WALA HUJALIOtherwise utakua unajamba hovyo sana wewe.
 
Kua mwerevu haihitajiki nihamie kwa watu.

Nko TZ na ni mwerevu , Lazima mjifunze kusimamia Haki, kusimamia kilicho sahihi..
Ulichokiandika hapo chote kinakuhusu wewe na na sio mimi unayeniwazia

Nakufananisha na mtu anayepata habari jirani yake amefiwa na wamekaa msiba akaenda kuwaomba mwili wa marehemu ili akazike kwake
 
Utamtisha nin wakt we unaogopa hata mwiba tuu jamaa amepigwa risas unamtishia nini nusu mzma nusu kifo
Anachokitafuta atakipata huyu Lissu wala asifikiri watu wamenyamaza basi wajinga. Serikali ina mkono mlefu sana
 
kwanini usiseme "ni fursa/hasara kwake au ni kwa faida kwa ccm na tume ya uchaguzi".
bandiko lako limeegemea upande mmoja hivyo siwezi kuchangia.
asanteni
Jina lako tu mkuu ni ushahidi tosha kuwa 🤒🤒 kitombise😂😂😂😂
 
Ulichokiandika hapo chote kinakuhusu wewe na na sio mimi unayeniwazia

Nakufananisha na mtu anayepata habari jirani yake amefiwa na wamekaa msiba akaenda kuwaomba mwili wa marehemu ili akazike kwake
Hamna loloteeee, weee ni takataka tu kama zilivyo nyingine, fukara tu asojitambua .

Wale wazee wa Kaleta ndege, ila kuipanda sasa mpaka unakufa...( nakupa changamoto).

Kwa ufupi, WanaCCM nchi hii mnaongoza kua na maisha ya ajabu, maisha takataka.

SISI Ambao tuna maisha, unaona tunapambania Uhuru, watu wawe huru kuhoji, kukosoa , Watu wafuate Sheria zote za Nchi hio.

Fukara huwa mtaji wa CCM miaka yote.
 
Ulichokiandika hapo chote kinakuhusu wewe na na sio mimi unayeniwazia

Nakufananisha na mtu anayepata habari jirani yake amefiwa na wamekaa msiba akaenda kuwaomba mwili wa marehemu ili akazike kwake
Kama unamiliki nyumba?? Au Biashara yakueleweka kabisa ilosimama.

ni bahati.
 
Anachokitafuta atakipata huyu Lissu wala asifikiri watu wamenyamaza basi wajinga. Serikali ina mkono mlefu sana
Bahati mbaya kwenu,hyo serikali inayoisema baada ya wiki tatu zijazo itakuwa chini yake.
 
Hamna loloteeee, weee ni takataka tu kama zilivyo nyingine, fukara tu asojitambua .

Wale wazee wa Kaleta ndege, ila kuipanda sasa mpaka unakufa...( nakupa changamoto)...
Punguza jazba dogo usijepasuka mishipa ya moyo bure kwa hasira ya kutowahi kupanda ndege🤣🤣🤣

Kwangu mashule, ndege, mabarabara, mahospitali yaliyojengwa sio anasa vyote ni mahitaji muhimu
 
Back
Top Bottom