Uchaguzi 2020 Kumsimamisha Lissu siku 7 ni fursa kwake au faida kwa Tume na CCM?

Uchaguzi 2020 Kumsimamisha Lissu siku 7 ni fursa kwake au faida kwa Tume na CCM?

Anachokitafuta atakipata huyu Lissu wala asifikiri watu wamenyamaza basi wajinga. Serikali ina mkono mlefu sana
naona kiswahili kinakusumbua, unawezaje kujibu hoja pasipo kujua kiswahili kwa ufasaha
 
KILA KITU ANACHOKIFANYA LISSU KIPO CALCULATED

Na Thadei Ole Mushi.

Kumzuia was a technical mistake again, Hizi siku 7 atazurura hapa Dar ambapo kuna wapiga kura 3.5 Milioni mpaka Milioni 4 Kwa kuingia mtaani inaweza kuendelea kuzivuna kwa njia Moja au nyingine.....
Safi kabisa mwache aende kumkatia shangazi yake ticket hapo Ubungo stendi hiyo kesho tunasubiri kuoana kwamba shangazi wa taifa anasafiri vyema hiyo kesho. Nasi tunasubiri kwa hamu sana jambo hili.
 
Lissu kila analolifanya lipo very Calculated. Ni mpinzani ambaye anajua ku provoke na yupo smart kwenye masuala ya Sheria na Kanuni

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ni kweli TL anajua ku provoke kitu ambacho ni kawaida kwa mawakili wasomi. Lakini pia hata yeye ni mwepesi sana kua provoked! Na hiki ndio kitu ambacho kuna watu wameshakijua kwake na wakati wowote kuanzia sasa wanaweza wakafanya kitu ambacho kikapelekea aka loose temper na hivyo kutoa sababu ya "kushughulikiwa"
 
Anachokitafuta atakipata huyu Lissu wala asifikiri watu wamenyamaza basi wajinga. Serikali ina mkono mrefu sana
Mkono mlefu ukoje!?
Huelewi? Hujasoma nahau? Hiyo maana yake serikali ina nguvu ya kumweka Lisu gelezani.
 
Mkuu ni kweli TL anajua ku provoke kitu ambacho ni kawaida kwa mawakili wasomi. Lakini pia hata yeye ni mwepesi sana kua provoked! Na hiki ndio kitu ambacho kuna watu wameshakijua kwake na wakati wowote kuanzia sasa wanaweza wakafanya kitu ambacho kikapelekea aka loose temper na hivyo kutoa sababu ya "kushughulikiwa"
Kawaida ili shetani akutie nyavuni lazima akujaribu.Ukiingia yeye na wewe.
 
1. aende mlimani city kununua wine
2. aende mbagala rangi tatu kutuma parcel mtwara
3. aende tandika kununua mitumba
4. aende tandale akaone nyumba aliyokuwa anakaa mzee akilimali
5 apande pantoni kwenda kuangalia uwanja wa yanga
6. akanunue samaki pale ferry
7. jumapili afike coco beach kuchota maji ya bahari
Hahhahajhahahaha mnataka jonijo afure kama simba aliyejeruhiwa
 
Sasa walichofanya CCM ni nini wakati siku 7 za lissu zinaisha, CCM zaidi ya kukutana na Rais wa malawi na nyimbo za taifa kurudiwa kama tenzi za rohoni hamna la zaidi
 
Anachokitafuta atakipata huyu Lissu wala asifikiri watu wamenyamaza basi wajinga. Serikali ina mkono mlefu sana

Huelewi? Hujasoma nahau? Hiyo maana yake serikali ina nguvu ya kumweka Lisu gelezani.
Kwahiyo sio mrefu ni mlefu!?
 
Yaani wewe akili zipo kwenye vidole unatishia nani sasa kwa lisu mtasanda tu
Cha kukushauli achana na pombe Kali wazeee walio kuzidi umri na uwe unakunywa maji mengi ili moyo uelee Lumumba mmejaa vitisho tu mwaka huu mnalo mlijua itakuwa mtelezo .
Anachokitafuta atakipata huyu Lissu wala asifikiri watu wamenyamaza basi wajinga. Serikali ina mkono mlefu sana
 
Sasa walichofanya ccm ni nini wakati siku 7 za lissu zinaisha ,CCM zaidi ya kukutana na Rais wa malawi na nyimbo za taifa kurudiwa kama tenzi za rohoni hamna la zaidi
Inasikitisha sana

Tunaweza kusikia meko ana-resume kampeni kesho
 
Back
Top Bottom