naona kiswahili kinakusumbua, unawezaje kujibu hoja pasipo kujua kiswahili kwa ufasahaAnachokitafuta atakipata huyu Lissu wala asifikiri watu wamenyamaza basi wajinga. Serikali ina mkono mlefu sana
Safi kabisa mwache aende kumkatia shangazi yake ticket hapo Ubungo stendi hiyo kesho tunasubiri kuoana kwamba shangazi wa taifa anasafiri vyema hiyo kesho. Nasi tunasubiri kwa hamu sana jambo hili.KILA KITU ANACHOKIFANYA LISSU KIPO CALCULATED
Na Thadei Ole Mushi.
Kumzuia was a technical mistake again, Hizi siku 7 atazurura hapa Dar ambapo kuna wapiga kura 3.5 Milioni mpaka Milioni 4 Kwa kuingia mtaani inaweza kuendelea kuzivuna kwa njia Moja au nyingine.....
Mkono mlefu ukoje!?Anachokitafuta atakipata huyu Lissu wala asifikiri watu wamenyamaza basi wajinga. Serikali ina mkono mlefu sana
Karibu hapa vallensbaekSawa kabsaa
Pokea tano
Mi nipo Hapa Denmark nakula maisha kwanza
Mkuu ni kweli TL anajua ku provoke kitu ambacho ni kawaida kwa mawakili wasomi. Lakini pia hata yeye ni mwepesi sana kua provoked! Na hiki ndio kitu ambacho kuna watu wameshakijua kwake na wakati wowote kuanzia sasa wanaweza wakafanya kitu ambacho kikapelekea aka loose temper na hivyo kutoa sababu ya "kushughulikiwa"Lissu kila analolifanya lipo very Calculated. Ni mpinzani ambaye anajua ku provoke na yupo smart kwenye masuala ya Sheria na Kanuni
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye hii tweet nimeona member mwenzetu Kiduku Lilo amelike
Kwa lugha yetu,mkono mrefu,maana yake ni anaye dokoa dokoa au mwizi.Mkono mlefu ukoje!?
Huelewi? Hujasoma nahau? Hiyo maana yake serikali ina nguvu ya kumweka Lisu gelezani.Mkono mlefu ukoje!?
Kawaida ili shetani akutie nyavuni lazima akujaribu.Ukiingia yeye na wewe.Mkuu ni kweli TL anajua ku provoke kitu ambacho ni kawaida kwa mawakili wasomi. Lakini pia hata yeye ni mwepesi sana kua provoked! Na hiki ndio kitu ambacho kuna watu wameshakijua kwake na wakati wowote kuanzia sasa wanaweza wakafanya kitu ambacho kikapelekea aka loose temper na hivyo kutoa sababu ya "kushughulikiwa"
Hahhahajhahahaha mnataka jonijo afure kama simba aliyejeruhiwa1. aende mlimani city kununua wine
2. aende mbagala rangi tatu kutuma parcel mtwara
3. aende tandika kununua mitumba
4. aende tandale akaone nyumba aliyokuwa anakaa mzee akilimali
5 apande pantoni kwenda kuangalia uwanja wa yanga
6. akanunue samaki pale ferry
7. jumapili afike coco beach kuchota maji ya bahari
Upo kama akili zake fupiMkono mlefu ukoje!?
Kwahiyo sio mrefu ni mlefu!?Anachokitafuta atakipata huyu Lissu wala asifikiri watu wamenyamaza basi wajinga. Serikali ina mkono mlefu sana
Huelewi? Hujasoma nahau? Hiyo maana yake serikali ina nguvu ya kumweka Lisu gelezani.
Ume-panicAnachokitafuta atakipata huyu Lissu wala asifikiri watu wamenyamaza basi wajinga. Serikali ina mkono mlefu sana
Anachokitafuta atakipata huyu Lissu wala asifikiri watu wamenyamaza basi wajinga. Serikali ina mkono mlefu sana
Anachokitafuta atakipata huyu Lissu wala asifikiri watu wamenyamaza basi wajinga. Serikali ina mkono mlefu sana
Kati ya wana CCM wenye akili waliobaki nafikiri wewe ni wa kwanza!
Hahah...kizombie cha lumumba ss si usubiri kimpate ili ufurahiAnachokitafuta atakipata huyu Lissu wala asifikiri watu wamenyamaza basi wajinga. Serikali ina mkono mlefu sana
Inasikitisha sanaSasa walichofanya ccm ni nini wakati siku 7 za lissu zinaisha ,CCM zaidi ya kukutana na Rais wa malawi na nyimbo za taifa kurudiwa kama tenzi za rohoni hamna la zaidi
huyu Rais wa Malawi anakaa siku 3Inasikitisha sana
Tunaweza kusikia meko ana-resume kampeni kesho
Mlefu anasema ni nahau [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwahiyo sio mrefu ni mlefu!?