Uchaguzi 2020 Kumsimamisha Lissu siku 7 ni fursa kwake au faida kwa Tume na CCM?


Huwezi kuamini baada ya Dkt. Manoti na wajuvi wenziwe wa kile chama chakavu kuona kumbe imekuwa fursa, wanatamani kumfungulia ili wamnyime ikiwezekana waibane fursa hiyo pia.

Wanavakiza ile rokota rokota ya makopo tu kukamilisha safari yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…