Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
CCM wakimsimamisha mh Samia apeperushe bendera ya CCM kwa nafasi ya urais kutapelekea CCM kushindwa katika uchaguzi huo na wapinzani watachukua nchi kirahisi maana mh watanzania bara wengi hatumuelewi na mbaya zaidi hata wana CCM wenzake hawamuelewi ndio maana wengi wameshaanza kumkataa mapema na kujiweka kando kabisa.
Kumuweka mtu mwengine awe mbadala wa Samia kutapelekea CCM kushindwa zaidi maana watapoteza asilimia kubwa ya kura za wazanzibar maana mtetezi wao kawekwa kando hivyo hata lile sekeseke la kusema muungano uvunjwe huenda likaanza upya.