Kumsimamisha Mh. Samia kugombea nafasi ya urais kutapelekea CCM kushindwa uchaguzi

Kumsimamisha Mh. Samia kugombea nafasi ya urais kutapelekea CCM kushindwa uchaguzi

Siri pekee ni kuwa wananchi sisi ni mazuzu tumekubali kuibiwa bila kuchukua hatua yeyote. CCM haina uzuri wowote zaidi ya walamba asali
Safari hii mzungu lazima aweke fund kufurusha CCM maana wame side na waarabu.

Ngoja tuone Kama watatoboa this time...ikitakiwa example ya chama kilicho kaa muda mrefu example ni CCM
 
Mkuu unaichukuliaje CCM? Kama ni ishu ya kura tu CCM ingelikuwa imeshatoka madarakani zamani sana
 
CCM wakimsimamisha mh Samia apeperushe bendera ya CCM kwa nafasi ya urais kutapelekea CCM kushindwa katika uchaguzi huo na wapinzani watachukua nchi kirahisi maana mh watanzania bara wengi hatumuelewi na mbaya zaidi hata wana CCM wenzake hawamuelewi ndio maana wengi wameshaanza kumkataa mapema na kujiweka kando kabisa.

Kumuweka mtu mwengine awe mbadala wa Samia kutapelekea CCM kushindwa zaidi maana watapoteza asilimia kubwa ya kura za wazanzibar maana mtetezi wao kawekwa kando hivyo hata lile sekeseke la kusema muungano uvunjwe huenda likaanza upya.
 

Attachments

  • EB1a2SzUcAANopf.jpg
    EB1a2SzUcAANopf.jpg
    77.8 KB · Views: 2
Sasa kama CCM imechokwa na wa Tz na chanzo cha kuing'oa ni uwepo wa mama Samia kwenye kinyang'anyiro cha Uraisi, uoni kama huu Uzi wako utawaamusha CCM kufikiria upya namna ya kumpata mgombea atakaewavunja ktk uchaguzi uo na kuzididimiza ndoto za hao watz unaowasema juu kuiondoa CCM?,
au unajitekenya mkuu?
Ccm wanaume lijari hakuna tena, huyo bibi kawaloga wamelala usingizi wa pono! Huoni bibi anaichezea Katiba yao anavyotaka!
Ccm hata siku moja Haijawahi kupata mgombea Urais kwa kuhonga wajumbe : bila ushindani!
HAIJAWAHI KUTOKEA😳😳
 
Back
Top Bottom