Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Jidanganye.Kura haziwezi kuiondoa ccm madarakani
She will face a Catastrophic Defeat even though she'll be declared the winner of the General Election of 2025.CCM wakimsimamisha mh Samia apeperushe bendera ya CCM kwa nafasi ya urais kutapelekea CCM kushindwa katika uchaguzi huo na wapinzani watachukua nchi kirahisi maana mh watanzania bara wengi hatumuelewi na mbaya zaidi hata wana CCM wenzake hawamuelewi ndio maana wengi wameshaanza kumkataa mapema na kujiweka kando kabisa.
Kumuweka mtu mwengine awe mbadala wa Samia kutapelekea CCM kushindwa zaidi maana watapoteza asilimia kubwa ya kura za wazanzibar maana mtetezi wao kawekwa kando hivyo hata lile sekeseke la kusema muungano uvunjwe huenda likaanza upya.
Hakika, hata aliyekuwa Rais wa Pili wa Tanzania Bw. Ali Hassan Mwinyi aliwahi kusema kwamba "wakati CCM tulipokubali Mfumo wa vyama vingi tulihakikisha kwamba hatushindwi."Kura haziwezi kuiondoa ccm madarakani
umejiandikisha?!🤣🤣Kura haziwezi kuiondoa ccm madarakani
Kwahiyo CCM haitakuja kutoka madarakani?She will face a Catastrophic Defeat even though she'll be declared the winner of the General Election of 2025.
Hakika, hata aliyekuwa Rais wa Pili wa Tanzania Bw. Ali Hassan Mwinyi aliwahi kusema kwamba "wakati CCM tulipokubali Mfumo wa vyama vingi tulihakikisha kwamba hatushindwi."
CCM wakimsimamisha mh Samia apeperushe bendera ya CCM kwa nafasi ya urais kutapelekea CCM kushindwa katika uchaguzi huo na wapinzani watachukua nchi kirahisi maana mh watanzania bara wengi hatumuelewi na mbaya zaidi hata wana CCM wenzake hawamuelewi ndio maana wengi wameshaanza kumkataa mapema na kujiweka kando kabisa.
Kumuweka mtu mwengine awe mbadala wa Samia kutapelekea CCM kushindwa zaidi maana watapoteza asilimia kubwa ya kura za wazanzibar maana mtetezi wao kawekwa kando hivyo hata lile sekeseke la kusema muungano uvunjwe huenda likaanza upya.
Marehemu Kingunge Ngombale Mwiru aliwahi kutamka kuwa kuiondoa ccm madarakani na hii Katiba iliyopo ni ndoto!Kura haziwezi kuiondoa ccm madarakani
Kwa kweli hafai kabisa kutuongoza imetosha!CCM wakimsimamisha mh Samia apeperushe bendera ya CCM kwa nafasi ya urais kutapelekea CCM kushindwa katika uchaguzi huo na wapinzani watachukua nchi kirahisi maana mh watanzania bara wengi hatumuelewi na mbaya zaidi hata wana CCM wenzake hawamuelewi ndio maana wengi wameshaanza kumkataa mapema na kujiweka kando kabisa.
Kumuweka mtu mwengine awe mbadala wa Samia kutapelekea CCM kushindwa zaidi maana watapoteza asilimia kubwa ya kura za wazanzibar maana mtetezi wao kawekwa kando hivyo hata lile sekeseke la kusema muungano uvunjwe huenda likaanza upya.
CCM wakimsimamisha mh Samia apeperushe bendera ya CCM kwa nafasi ya urais kutapelekea CCM kushindwa katika uchaguzi huo na wapinzani watachukua nchi kirahisi maana mh watanzania bara wengi hatumuelewi na mbaya zaidi hata wana CCM wenzake hawamuelewi ndio maana wengi wameshaanza kumkataa mapema na kujiweka kando kabisa.
Kumuweka mtu mwengine awe mbadala wa Samia kutapelekea CCM kushindwa zaidi maana watapoteza asilimia kubwa ya kura za wazanzibar maana mtetezi wao kawekwa kando hivyo hata lile sekeseke la kusema muungano uvunjwe huenda likaanza upya.
""TIME IS THE BEST TEACHER""She will face a Catastrophic Defeat even though she'll be declared the winner of the General Election of 2025.
Hakika, hata aliyekuwa Rais wa Pili wa Tanzania Bw. Ali Hassan Mwinyi aliwahi kusema kwamba "wakati CCM tulipokubali Mfumo wa vyama vingi tulihakikisha kwamba hatushindwi."
Kama isingekuwa hivyo Mama kushinda sio rahisiKura haziwezi kuiondoa ccm madarakani
katoboa siri, wakamfunguria m'bwaMarehemu Kingunge Ngombale Mwiru aliwahi kutamka kuwa kuiondoa ccm madarakani na hii Katiba iliyopo ni ndoto!
Hata upinzani ukishinda mgombea wao hawezi kutangazwa na hawatakuwa na mahala pakukimbilia isipokuwa barabarani 😂😂
Siri pekee ni kuwa wananchi sisi ni mazuzu tumekubali kuibiwa bila kuchukua hatua yeyote. CCM haina uzuri wowote zaidi ya walamba asali""TIME IS THE BEST TEACHER""
Vyama vya ukombozi kilichopo madarakani Africa kimebakia CCM pekee.
Ni Nini Siri ya hiki chama kubakia in power for so long time.
Sasa kama CCM imechokwa na wa Tz na chanzo cha kuing'oa ni uwepo wa mama Samia kwenye kinyang'anyiro cha Uraisi, uoni kama huu Uzi wako utawaamusha CCM kufikiria upya namna ya kumpata mgombea atakaewavunja ktk uchaguzi uo na kuzididimiza ndoto za hao watz unaowasema juu kuiondoa CCM?,CCM wakimsimamisha mh Samia apeperushe bendera ya CCM kwa nafasi ya urais kutapelekea CCM kushindwa katika uchaguzi huo na wapinzani watachukua nchi kirahisi maana mh watanzania bara wengi hatumuelewi na mbaya zaidi hata wana CCM wenzake hawamuelewi ndio maana wengi wameshaanza kumkataa mapema na kujiweka kando kabisa.
Kumuweka mtu mwengine awe mbadala wa Samia kutapelekea CCM kushindwa zaidi maana watapoteza asilimia kubwa ya kura za wazanzibar maana mtetezi wao kawekwa kando hivyo hata lile sekeseke la kusema muungano uvunjwe huenda likaanza upya.
Unazungumziaje magoli ya mkono na tume ya uchaguzi inayokubalika na chama kimoja tu?CCM wakimsimamisha mh Samia apeperushe bendera ya CCM kwa nafasi ya urais kutapelekea CCM kushindwa katika uchaguzi huo na wapinzani watachukua nchi kirahisi maana mh watanzania bara wengi hatumuelewi na mbaya zaidi hata wana CCM wenzake hawamuelewi ndio maana wengi wameshaanza kumkataa mapema na kujiweka kando kabisa.