Kumsingizia Rais Magufuli ufisadi haiwezi kumzuia kupambana na mafisadi

Umemsikiliza PolePole?Je ukimuuliza Assad anaeeza kusema 1.5 trilioni zilichukuliwa na mtu au taasisi flani?usiwe mdaku!
Kwani Assad si yupo hai?

Si mkamuulize?

Ninyi CCM ni wezi wa pesa na mali za umma kwa miaka mingi...hakuna Mtanzania asiyejua.
 
Hivi Jingalao nikuulize kaswali kadogo tu, wenzio waliopigwa ganzi wameanza kupata fahamu wanarejea kundini nafikiri unawafahamu hivi wewe utapona lini au jina linaumba tabia?
Sijawahi kuwa na wenzangu mimi!!
Always nasimama kwenye ukweli na maslahi ya Taifa na wanyonge
 
Simwamini tena...eti rais wa wanyonge?? Mbona kwenye 1.5 trilioni ameshikwa na kigugumizi??
 
mahakama ya mafisadi yaweza kuja kuwa tega nikutege
 
[HASHTAG]#bringbackour[/HASHTAG] trillion#...huwezi kutetea uzinzi wako eti mbona ata jilani yangu huwa anazini nje ya ndoa??
 
Fisadi mkuu yupo Chadema ...na ufisadi wake ulithibitishwa na Bunge
Hivi ile mahakama ya mafisadi imemfunga nani?...mwaka wa tatu sasa imefulia wateja?...yaani nyie majamaa maongo hatariii......sasa wananchi wamewajua maana mlikiwa mnajificha nyuma ya uzalendo kumbe ndo mafirauni ya ufisadi hatariii....#bringbackourtrillion#.....
 
Mshakunywa maji ya bendera ya kijani nyie,nguo kijani,mashuka kijani,damu kijani,ngozi kijani,akili kama mmekula mjani,
 
Kwani Assad si yupo hai?

Si mkamuulize?

Ninyi CCM ni wezi wa pesa na mali za umma kwa miaka mingi...hakuna Mtanzania asiyejua.
Aliyepotosha umma ni Assad?Mmeanza kukimbia kivuli chenu?
 
Njaa inafanya watu wasifikirie. Siku hizi baada ya kuona huku wameka watu wa vijiweni sitembeleo sana.
Ila nimegundua hujakunywa chai mpaka sasa. Pole sana.
we mfipa kumbe upooo... tulipeni 1.5 yetu mliyopiga ndani ya miaka 2 tu... je ikifika miaka 5 mtafikisha ngapi?
26042018 inakuhusu
 
Tuambie hizo hela ziliko tunyamaze suala si kujua tu.Wala hatunaga ubaya na kipenzi chako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…