Nampurukano
JF-Expert Member
- Jul 17, 2015
- 1,196
- 1,456
Duh!, huyu CAG kiboko anamsingizia hadi Rais aliye mteua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jambazi kuu ndio ataanza kujifunga mwenyewe kabla ya vijambazi vidogo kina jingalao na Barbarosa.Mahakama ya mafisadi iko wapi?
Kwani Assad si yupo hai?Umemsikiliza PolePole?Je ukimuuliza Assad anaeeza kusema 1.5 trilioni zilichukuliwa na mtu au taasisi flani?usiwe mdaku!
Sijawahi kuwa na wenzangu mimi!!Hivi Jingalao nikuulize kaswali kadogo tu, wenzio waliopigwa ganzi wameanza kupata fahamu wanarejea kundini nafikiri unawafahamu hivi wewe utapona lini au jina linaumba tabia?
[HASHTAG]#bringbackour[/HASHTAG] trillion#...huwezi kutetea uzinzi wako eti mbona ata jilani yangu huwa anazini nje ya ndoa??Uko sahihi Mkuu. By the way sasa hiviwameamua kusemea 1.5 trillion kwa sababu mbowe kapiga 24 bln kwa miaka miwili na wanaongea sana ili kuficha uovu huu. Zitto kala hela ya chama hadi kakimbia kupeleka ripoti ya mahesabu kwa CAG. Na pia kashirikiana na halmashauri yake kupiga hela hadi wamepata hati chafu. Na yeye anajificha kwenye 1.5 ili asionekane. Kuna mambulula amewapata ila kwa sisi werevu hamtupati ng'oooo. Hakuna wanasiasa Tanzania ila kuna waendesha Saccos tu na wapiga dili.
Hivi ile mahakama ya mafisadi imemfunga nani?...mwaka wa tatu sasa imefulia wateja?...yaani nyie majamaa maongo hatariii......sasa wananchi wamewajua maana mlikiwa mnajificha nyuma ya uzalendo kumbe ndo mafirauni ya ufisadi hatariii....#bringbackourtrillion#.....Fisadi mkuu yupo Chadema ...na ufisadi wake ulithibitishwa na Bunge
Mnashindwa nini kuwafunga au mnawaogopa??Lowasa na mbowe.
Wanarudia Rudia ripoti ya cagwanakuja na siasa nyepesi kabisa!
Una njaaa!Uchunguzi ulifanyika na fisadi akaonekana na adhabu akaipata
Simiyuyetu, chabruma, Chris lukosi, faizafoxy, lizabon, Ritz, TandaleOne,Kwani tulikuwa nani na nani?
Na huyo anayejifanya mzalendo huku anawaibia watanzania wanyonge trln 1.5trln bila aibu unafikir hatakufa kwa kutulaghai
we mfipa kumbe upooo... tulipeni 1.5 yetu mliyopiga ndani ya miaka 2 tu... je ikifika miaka 5 mtafikisha ngapi?Njaa inafanya watu wasifikirie. Siku hizi baada ya kuona huku wameka watu wa vijiweni sitembeleo sana.
Ila nimegundua hujakunywa chai mpaka sasa. Pole sana.
Tuambie hizo hela ziliko tunyamaze suala si kujua tu.Wala hatunaga ubaya na kipenzi chakoHili ni somo na tamko kwa vibaraka wa mafisadi waliozoea kuwazushia viongozi wa Serikali kuwa ni mafisadi ili wapate hela na kukaa kimya.
Style hii ya kihuni ni lazima ikomeshwe na wahusika wanyooshwe.
By the way mafisadi hawawezi kuiba tena na anayebisha ajaribu.
Hizi mbwembwe za kujidai kuna ufusadi wa trilioni 1.5 zitapita na mafisadi wataendelea kunyooshwa vilivyo.