Kumsingizia Rais Magufuli ufisadi haiwezi kumzuia kupambana na mafisadi

Kwani CCM imeanza kulalamikiwa leo?
Hawajui hao ccm iliuza nyumba za taifa wakasema ufisadi ikanunua kivuko cha bagamoyo wakakamata meli ya samaki wakasema hivyo hivyo sasa wameanza na 1.5tirion yaani kila kitu wanalalamika
 
Uko sahihi 100% ndio maana tunataka kujua tril. 1.5 ziko wapi? Hao wapiga dili wameshafanya yao?!
 
Hizi ngonjera za marobot haziwezi kufuta upigaji wa 1.5trln.Mpigaji anapata wapi moral authority ya kupambana na ufisadi?Au unataka kuniambia apambane ili abaki mwenyew kupiga dili kubwa namna hyo?Inaumiza sana mtu aliyaaminiwa walau kumbe anataka abaki afisadi peke yake loh!!!!Taifa linaangamia kwa kuwa na viongozi wabinafs wasanii waongo!!!Wakati watumishi wengi wakiishi maisha ya kidigidigi yey anachezea hela tu!!!!Haki Mungu wa mapendo atamlipa kadri ya matendo yake ya kikatili.Ndio hafanikiw ktk mipango yake,kila plani anapigwa ngwara!By then unaweza kufanikiwa huku MAJORITY WANATESEKA KWA MATENDO YAKO?
 
Trilioni 1.5 kaiba nani? Mtaje huyo fisadi asiyefuata taratibu matumizi ya fedha za umma.
 
Yaani umesahau maandamanho ya da'Mange, vipi kamanda?
I think,on my opinion maandamano lazima yawe na objective sio fiesta.Lakini pia nia hubadilika kulingana na wakati.Katika historia ya nchi yetu haujawai kutokea ufisadi mkubwa wa mtu mmoja kupiga 1.5trln.Hii ni agenda kubwa ya kumpinga mpigaji anayejifanya anyosha nchi kumbe anajinyoshea mambo yake.
 
Mmeshikwa pabaya mkuu!! Huwezi tetea kitu cha aina hii hata kama unatumia masaburi kufikiri. Hapa ni pagumu mno!! Kumbuka 1.5trilion ni baada ya kufoji matumizi sana na ripoti kueditiwa zaidi ya mara mbili je wasingefoji na kuedit report si ingekuwa 3.2 trillion?
 
Sawa wee hutaki kueleza 1.5trillion ziko wapi unataka yapite!? Huu ni ufisadi mbaya katika historia ya nchi yetu. JK kwa miaka yote kumi jumla ya akina Escrow, Richmond etc jumla ni bil 784 tu na tulipiga kelele tukapata maelezo hata kama hayajitoshelezi. Wewe unatetea nini? Watanzania hawana haki ya kupata majibu kuhusu kodi zao? Kwa mwaka mmoja tsh 1.5trillion. Kwa miaka kumi tuliona 784billion! Au huyu bwana anapiga mwenyewe!!!?? Acha watanzania wadai majibu ya matumizi ya kodi zao!!
 
Ngoja chuma kije kumwaga cheche utawaona watakavyofyata mikia na kuanza kuongea aliyoyasema watasahau hizo trilioni kwa kuumbuka na uongo wao.
 
Hiyo nguvu ya kuongelea haya mambo sijui mnaitolea wapi mana Baba yenu kajificha ikulu nyie mnabwabwaja hapa
 
CCM mna roho mbaya sana,mmepangusa 1.5 Trillions hivi hivi???
 
Report ya CAG, imeandaliwa na upinzani Mkuu, ndiyo maana kuna tofauti kati ya makusanyo na matumizi
 
Siyo 1.5, tunahitaji report yenye ukaguzi wa chato airport, ununuzi wa ndege, na ujenzi wa ukuta ili tuhoji amount halisia
 
If you can not dazzle them with brilliance buffle them with bullshit.Zitto anajua watanzania walivyo wafuata mkumbo kama wanaimbishwa kwaya.
Toka 2005 wimbo ulikuwa ni kuibiwa ila 2015 tukaacha kuibiwa kwa kuwa mwizi alihamia kwetu na kuamua kuwa ndugu yetu.
Kama Zitto anamaanisha kweli tumeibiwa trillioni tano basi anajua pa kupeleka kesi.
 
sawa, hawa wa tubilioni tutawauliza kivyao baadaye.
kwanza tuanze na hawa wa matrilioni..... 1.5tr zi wapi??
 
Mkuu jingalao, hawa wamebanwa mbavu, ni sawa na bondia aliyewekwa kwenye kamba akipokea makonde mazito.

Vita ya kupambana na mabeberu na maslahi yao humu nchini sio ndogo, inahitaji kujitoa kwani adui anao vibaraka wengi tu.
Lazima wabanwe mbavu kupambana na mwz mwenye mamlaka mchezo
 
Sasa nimegundua..Prof Assad ndiye haswa mtu anayestahiki sala zetu! Na tutamuombea kwa mwenyezi mungu aendelee kufichua majizi yaliyokubuhu yakijificha kwenye nguvu za dola..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…