Kumsingizia Rais Magufuli ufisadi haiwezi kumzuia kupambana na mafisadi

Kumsingizia Rais Magufuli ufisadi haiwezi kumzuia kupambana na mafisadi

Jamani CAG katamka wazi wazi kuwa wabunge wahoji serikali, Zitto ni Mbunge!
Kwa hiyo mnataka wabunge waeende kuhoji mapato na matumizi ya Halmashauri zao waachane na hoja za CAG?

Ushabiki wa hovyo kabisa huu!
CAG hakusema ripoti yake ipotoshwe...
 
Hili ni somo na tamko kwa vibaraka wa mafisadi waliozoea kuwazushia viongozi wa Serikali kuwa ni mafisadi ili wapate hela na kukaa kimya.

Style hii ya kihuni ni lazima ikomeshwe na wahusika wanyooshwe.

By the way mafisadi hawawezi kuiba tena na anayebisha ajaribu.

Hizi mbwembwe za kujidai kuna ufusadi wa trilioni 1.5 zitapita na mafisadi wataendelea kunyooshwa vilivyo.
Kwani haujasikia kuwa mwosha huoshwa. Anayeoshwa hawezi tena kuwaosha wenzie ila mwoshaji kuoshwa kunamhusu. Ni suala la muda tu.
 
"Mimi ndiye rais Mzalendo wa wanyonge na nataka masikini waishi kama malaika na matajiri waishi kama mashetani, naomba mniombee ili mungu anilinde niweze kuwapigania wanyonge masikini wa Nchi hii" Ghafla MZALENDO KAWAPIGA WANYONGE 1.5 TRILIONI hatari sana hii!
 
Ameshindwa kumwaga cheche kwenye siku 21 alizopewa na CAG yeye na wezi wenzie halafu Unatamani aje Akudanganye nini ??

Hv unategemea mwizi kujihukumu?? Acha ushamba ..sisi kama wananchi Watupaswi kumuogopa Anaetuibia .. Kisa anajua Kufoka ... Amfokee mke wake huko hapa Atueleze 1.5tr ziko wapi?
Kwanza amedharau Bunge kwa Kiburi tu .... Muogopeni nyie wehu huko ndani ya chama chenu lakini Sisi Lambda atuue atumalize wote.
poor you subirini cheche mtulie
sasa hizi mshasahau vyote vya nyuma mlivyokuwa mnavipigia kelele
 
Am very disapointed with you mr Pombe?Kweli unatuibia masikini tuliokuamini kumbe mwongo mtupu.Mungu anakuona
Siku akiondoka madarakani mtamkumbuka kama Jk ni swala la muda tu
 
Siku akiondoka madarakani mtamkumbuka kama Jk ni swala la muda tu
Utamkumbuka wew anayekulipa kwakuandika ujinga na ndugu zako.God forbid!!!Malaika wa mbinguni tujute kumkumbuka kwa lipi?Over my dead body,never!!!Otherwise atakumbukwa kwa kuweka record ya kupiga 1.5trln huku wananchi maskini wakiteseka kwa maisha magumu yy anatumia hela tu kama mali ya urithi.
 
Upinzani unakufa kwa kusimama kwenye hoja za uongo...
Mnaminya demokrasia, mmezuia mikutano ya hadhara, mmezuia maandamano, mmezuia Uhuru wa maoni, upinzani utakuaje?
CCM jnategemea jeshi la polisi na watu kama wewe
 
"Mimi ndiye rais Mzalendo wa wanyonge na nataka masikini waishi kama malaika na matajiri waishi kama mashetani, naomba mniombee ili mungu anilinde niweze kuwapigania wanyonge masikini wa Nchi hii" Ghafla MZALENDO KAWAPIGA WANYONGE 1.5 TRILIONI hatari sana hii!
Umenifanya nicheke pamoja kilio cha kupigwa 1.5trln na baba Jesca bila aibu
 
Mnaminya demokrasia, mmezuia mikutano ya hadhara, mmezuia maandamano, mmezuia Uhuru wa maoni, upinzani utakuaje?
CCM jnategemea jeshi la polisi na wajinga kama wewe
Kiki ya udikteta imeshabuma sasa mmekuja na kiki ya trilioni 1.5 nayo itabuma ila lazima nchi isonge na vibaraka lazima wakae pembeni.
 
Kiki ya udikteta imeshabuma sasa mmekuja na kiki ya trilioni 1.5 nayo itabuma ila lazima nchi isonge na vibaraka lazima wakae pembeni.
Hata ufanyeje wizi wa 1.5trln hauwezi kutusahaulisha ktk historia ya nchi hii.Wezi ndivyo walivyo wanachukia sana wezi wenzao ili wabaki wenyew.Ila jamaa kazidi hadi Zuma kamzidi kwa ufisadi huu
 
Ukweli haujawahi kumuacha mtu salama, Asante sana CAG kumbe bado wapo Watanzania Wazalendo!? Asante Mungu.
Hivi ile meli ya samaki ilishalipwa?
 
Hili ni somo na tamko kwa vibaraka wa mafisadi waliozoea kuwazushia viongozi wa Serikali kuwa ni mafisadi ili wapate hela na kukaa kimya.

Style hii ya kihuni ni lazima ikomeshwe na wahusika wanyooshwe.

By the way mafisadi hawawezi kuiba tena na anayebisha ajaribu.

Hizi mbwembwe za kujidai kuna ufusadi wa trilioni 1.5 zitapita na mafisadi wataendelea kunyooshwa vilivyo.
Kwa hiyo CAG ni mhuni?.Ngosha kaumbuka.Halafu mwambieni hii tabia yake ya kuchukuwa hela zetu na kuzitumia anavyotaka bila kufuata utaratibu wa kisheria aache mara moja.Hela za matumizi ya serikali zinapangiwa bungeni,siyo CHATTLE.
 
Kiki ya udikteta imeshabuma sasa mmekuja na kiki ya trilioni 1.5 nayo itabuma ila lazima nchi isonge na vibaraka lazima wakae pembeni.
We kibabu tuonyesheni pesa zetu zilipo,mtaani tumeshashtuka kuwa mmetupiga pasi ndefu! Aibu kubwa hii hadi shwetwanii anaogopa mfyuu.
 
Back
Top Bottom