johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
SureCCM iko madarakani kwa kutegemea msaada wa yombo vya dola. Bila wizi wa kura leo CCM ingelikuwa maiti. Jiwe akidondoka tu, CCM imekufa, maana imewakatili wengi, hawasemi kuogopa matokeo. ACT imeanzishwa na Zito, siyo Maalim hivyo it is there to stay! Nakubaliana na wewe kuwa Maalim alipendwa sana ZB, kupata mtu wa kumrithi might take time.
Bora ife Ufipa lakini siyo ACT wazalendo bwashee!Ikifa wewe utakuwa umepungikiwa na nini?
Kukosa kazi kwa umri wako ni hatari sanaBora ife Ufipa lakini siyo ACT wazalendo bwashee!
hivi huyu ni mzee? anyway inkataqzwa kuulza majina ya watuKukosa kazi kwa umri wako ni hatari sana
Rika la akina Mwigulu Nchembahivi huyu ni mzee? anyway inkataqzwa kuulza majina ya watu
Kwani hapa nakunywa mbege?!Kukosa kazi kwa umri wako ni hatari sana
Kwani hapa nakunywa mbege?!