Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chama kilikua bado kidgo sana, ACT hakikuwa chama kinachoweza to makamu wa kwanza wa rais wa Zanzibar..nguvu ya maalim seif visiwani ipo wazi kabisa hata angehamia UDP wanzanzibar wangemfuata....maalim seif kuhamia ACT kuliiboost ACT na kuwa chama kikuu cha upinzani ZanzibarAcha uzushi, Maalim alikuwa wakuja, kakikuta chama kiko imara kabisa, Kisha akaenda kukikuwadia kwa masisiyemu na kukiharibu
Ikifa wewe utakuwa umepungikiwa na nini?
Wala hataongezewa chochoteIkifa wewe utakuwa umepungikiwa na nini?
Act ilianzishwa seif hakuwepo, haitakufa asipokuwepo.Maalim Seif alikuwa ndio nguzo ya CUF na alipohama CUF nayo ikawa imekufa " kimsingi "...
Mtu mzima lakini amekalia umbea balaaWala hataongezewa chochote
Wazanzibar wanaunganishwa na utaifa. Mwanasiasa yeyote anayepigania mamlaka kamili, wazanzibar watasimama naye.Kwa ili nakuunga mkono kabisa
Ni kweli na lipo wazi kabisa
ACT zanzibar ndio bay bay
Wale wapemba walimgeuza Maalim seif kama nabii wa wapemba.
Kitakacho tokea zanzibar hususani pemba
hama wapemba wataachana na siasa kabisa au watarudi cuf
Lakini kubaki ACT itakuwa ni jambo gumu sana
Walikwenda ACT kwa sababu seif kasema
Leo seif ayupo Uwanja wa siasa utawafanya cuf watawale siasa za zanzibar. Simba anaunguruma leo kalala simuoni tena jussa, wala mazurui, wala juma duni kuunguruma zanzibar.
Anapumzikaje kwa amani wakati ni juzi tu ametoka kupiga u-snitch wa hatari pamoja na genge lake? Apumzike alipojichagulia wakati wa uhai wake!Apumzike kwa amani mwendazake ACT Zanzibar kwaherini alikuwa na watu
.