Weka sababu zenye mashiko.
Biashara ya Tanzania hasa ya nguo inatakiwa itawaliwe na bidhaa zinazozalishwa ndani ya nchi na viwanda vya Tanzania sasa unapompa nafasi katika chombo cha kuendeleza biashara mtu ambaye yeye biashara anategemea kuingiza nguo za China huoni mgongano wa maslahi? Atasimamia maslahi ya Wachina au ya wenye viwanda vya nguo Tanzania?Weka sababu zenye mashiko kwanini unafikiri ni kukosa maono.
Hivyo viwanda vyenu vya nguo vinaweza kutosheleza mahitaji ya watanzania wote?Biashara ya Tanzania hasa ya nguo inatakiwa itawaliwe na bidhaa zinazozalishwa ndani ya nchi na viwanda vya Tanzania