Kumtukana Rais Samia hadharani ni uhaini

Mnajua uhaini ni nini au mnasa tu?
 
Je kuuza bandari za nchi sio huaini
 
Washughulikiwe Ili wawe na adabu wapuuzi wakubwa hao.
 
We Kenge kwerikweri.mtu anauza bandari Kwa nini asitukanwe.

Maana huyo ndo mhaini Namba Moja
 
Wapi nchi yetu ilipouzwa na kwa shillingi ngapi? Acha kukaririshwa maneno ya uongo Kama kasuku.
Acha mambo ya hovyo. Unategemea waiuze nchi na kupewa risiti kama bidhaa dukani!! Ongeza ufahamu ndg! Rasilimali za nchi wanapewa raia wa nje kwa bei za 10%
 
Kasome katiba kuhusu uhaini wewe. Kumkosoa rais si uhaini
 
Nonsense, uchawa utawaponza. Hizo kelele unazoziita matusi kwa wazalendo zina maana sana kuliko ninyi wachumia tumbo mliohongwa.
 
Ninaomba mamlaka husika ziingilie kati na kuwachukulia hatua wanaotoa matusi Kwa kisingizio Cha kutoa maoni.
Ninaomba mamlaka husika ziingilie kati na kuwachukulia hatua wanaouza Mali na raslimali za Taifa kwa maslahi yoa binafsi,huku wakileta ubaguzi wa ubinafsishaji wa bandari za Tanzania huku wakiacha baadhi ya bandari zingine za Tanzania Ni ubaguzi mkubwa mno kuwahi kutokea.
Yaani wachimbe madini ngaza waache ya mtwara ili iweje na huku mktaba unasema madini yote yaliyoko Tanzania.


Pia hizo hizo mamlaka zako ziwachukulie hatua ya kusamehe muwekezaji Kodi asilimia zote yaani hakuna kukatwa kitu huku mwananchi masikini akiumia na Kodi kila sehemu husika,hebu waza hili mwalimu akalipwa salary akakatwa Kodi,akaitoa benki akakatwa Kodi,akamtumia mamaye kijijini akakatwa Kodi,mamaye akaitoa akakatwa Kodi,mamaye akanunua sukari anywe chai akakatwa Kodi,yaani hela inakatwa Kodi mpaka tano ndipo mtu ananufaika na jasho lake.


Hizo mamlaka zako uziombe ama uziambie usiwe biased kuangalia or one sided area
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…